Ushauri: Shemeji anamshika makalio dada mbele yangu

Waswahili walisema akufukuzae hakwambii toka.

Shemeji yako hakutaki hapo,hama haraka sana kabla hujamkuta siku anamkula dadako kwenye kiti.
Narudia tena hama
Me ndo maana sina dada,nadhani asingeolewa,maana nna wivu hatari!
 
Habari wana JF

Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.

Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.

Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.

Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.

Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.

Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.

Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu
Kwa hiyo na ww unataka ushikwe matako sio.. Upumuliwe kisogoni sio
 
Dogo soma alama za nyakati, shemeji yako amekuchoka miaka miwili yote hiyo akutunze tu? Anakufanyia makusudi ili uone haibu ama kushikwa na hasira uhame hapo nyumbani. Hivi unasubiri nini kuhama, huoni haibu kweli kusikia dada yako analilia dushe linavyomkolea?
 
Ukisoma kati kati ya mstari unagundua kuwa Hii ni story ya kutunga!!!!...

Inakuwaje Mtu mzima mwenye akili timamu uhangaishwe na jambo hilo kwenye akili yako!!!?.....

Think big take control of your destiny
 
Habari wana JF

Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.

Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.

Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.

Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.

Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.

Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.

Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu
Na ulivyo fanana na dadako mbona unahasara!!
 
Hapo hilo lishemela lako inabidi aongeze na glass 2 za maziwa mtindi..tangawizi ya kutafuna na kipande cha muhogo...hiyo siku lazima usikie kilio cha dadako akiwa anagegedwa....
 
Habari wana JF

Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.

Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.

Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.

Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.

Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.

Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.

Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu
Maisha yao! Ukumbuke kuwa hukupaswa kuwa hapo!
 
Mkuu umepewa lift tu hapo pambana upate getho lako unabebwa halafu unataka umpangie mwenye rum ratiba ya kulala? Sister kafata show la kibabe mwache jamaa ale haki yake
 
Habari wana JF

Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.

Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.

Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.

Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.

Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.

Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.

Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu
Mleta mada leo umejichanganya kuliko ulivyowahi kujichanganya.Yaani wazaramo wanakwambia Umekunya umeyajaza.Duuuh

Kwahiyo lengo lako lilikuwa kutuonyesha kuwa una ID mbili??au

Uliona uvivu kutafuta heading za thread zako yaani heading moja maudhui tofauti,maana hapa unamuonea wivu shemeji yako na kule kwenye Uzi pacha unaomba ushauri wa shule what is wrong with you.
 
Miaka miwili kwa shemeji au na matatizo ya kiafya unaattend matibabu mkuu?!! ...Muache shemeji ajilie vyake wewe nawe tafuta wakwako
 
Mleta mada leo umejichanganya kuliko ulivyowahi kujichanganya.Yaani wazaramo wanakwambia Umekunya umeyajaza.Duuuh

Kwahiyo lengo lako lilikuwa kutuonyesha kuwa una ID mbili??au

Uliona uvivu kutafuta heading za thread zako yaani heading moja maudhui tofauti,maana hapa unamuonea wivu shemeji yako na kule kwenye Uzi pacha unaomba ushauri wa shule what is wrong with you.
Sijakusoma mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom