Nichukue hatua gani kwa huyu shemeji yangu, kashakuwa mwiba kwenye ndoa yangu

Ndenji five

JF-Expert Member
Nov 1, 2021
1,985
3,083
Ama kweli tenda wema nenda zako, na leo yamenikuta, ni miaka mitano sasa tokea nilipomchukua, mke wangu na mdogo wake, ambae ni wa kike, tukaishi kwa upendo na amani, huyu mdogo wake nilimchukulia kama mdogo wangu, wa tumbo moja na kila nilipopata nafasi ya kusafiri kikazi nilikuwa siachi kuwabebea zawadi na mke wangu, lakini baada ya muda mambo yalibadilika, shemeji akawa ameanza vimitego vya kichokozi, na bila kusita nilikuwa namuonya, kuhusu tabia zake nisizipendi, ikapita muda hatimaye siku dada yake yuko kazini mimi nikiwa nimejipumnzisha akawa ameniingilia chumbani akiwa mtupu.

Nikalaani kile kitendo na kufikisha taarifa kwa dada yake, ila kilichofuata sikuamini, shemeji akaanza kusema namtaka kimapenzi, na hata zile zawadi nilizokuwa nanunulia, zilikuwa, kama za kumshawishi, dada yake kwa kutochunguza ukweli, akaamini na mwisho nikaonekana mimi ni mkosaji suala likaenda kwa mshenga, ili kuokoa ndoa yangu nikakiri makosa, japo inaniuma sana kusingiziwa kitu ambacho sijafanya, wakuu nipo njia panda?
 
Hiii nchi ina makumbafu mengi yaan unakataaa msosi wallahi shukur mungu upo mbali ningekuzaba makofi! Haya lete namba sasa tumsaidie huyo binti tumkate kitu yake
Vijana wa skuizi wana ulemavu mkubwa sana wa fikra...😂
Ukiona umeoa na ukapewa shemeji yako wa kike aje amsaidie dada yake, nivizuri kujiongeza. Vijana hawaelewi maanayake na wanashindwa kujiongeza kabisa walahi...🤣
 
Ama kweli tenda wema nenda zako, na leo yamenikuta, ni miaka mitano sasa tokea nilipomchukua, mkewangu na mdogo wake, ambae ni wakike, tukaishi kwa upendo na amani,huyu mdogo wake nilimchukulia kama mdogo wangu,wa tumbo moja na kila nilipo pata nafas ya kusafiri kikazi nilikuwa siachi kuwabebea zawadi na mkewangu, lakini baada ya muda mambo yalibadilika, shemeji akawa ameanza vimitego vya kichokozi, na bila kusita nilikuwa namuonya, kuhusu tabia zake nisizipendi, ikapita muda hatimaye siku dada ake yuko kazini mimi nikiwa nimejipumnzisha akawa ameniingilia chumbani akiwa mtupu, nikalaani kile kitendo na kufikisha taarifa kwa dada yake, ila kilichofuata sikuamin, shemeji akaanza kusema namtaka kimapenzi, na hata zile zawadi nilizokuwa nanunulia, zilikuwa, kama za kumshawishi, dada yake kwa kutochunguza ukweli, akaamini na mwisho nikaonekana mm ni mkosaji suala likaenda kwa mshenga, ili kuokoa ndoa yangu nikakiri makosa, japo inaniuma sana kusingiziwa kitu ambacho sijafanya, wakuu nipo njia panda?
Hivi mke ulipataga. Si juzi tu ulitangaza kutafuta mke?
 
Mle... ndo namna rahisi ya kutoka hapo njia panda ulipo
 
Tukusaidie nn
 
We ulikubalije kosa ambalo hujalitenda?

Ulikaaje vikao akiwa bado yupo kwako? Kwanini hukumtimua?

Kitu gani kilikufanya ukubali kosa ambalo hukulifanya IN THE NAME OF kuokoa ndoa yako?

Ulitishiwa nini hadi ukubali jambo ambalo hujalifanya?

Huyo shemeji yako, alikuwa na ushahidi gani kuthibitisha kuwa umemtaka kimapenzi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom