USHAURI: Rais Magufuli vunja ATCL. Anzisha Tanzania Airways ama Kilimanjaro Airways

Hoja nzuri ila neno Kilimanjaro limetumika na linatumika sehemu nyingi hivyo basi ni vyema kuangalia na kubuni jina lingine tafauti.

Lakini hapa nadhani matatizo ya uongozi, ubunifu na fedha yamechangia zaidi.

Unaweza kuwa na jina nzuri lakini uendeshaji mbovu na kukosa mapato na wateja
 
Sioni haja ya kununua ndege mpya wakati watu ni wale wale,hiyo pesa ikanunue mbolea na mbegu sasa iwe zamu ya wakulima maana wasomi na wanasiasa ndio waliotufikisha hapa.
The President should liquidate ATCL and former Air Tanzania Corporation under entire new management and personnel else we are going to end up with another disaster.
 
Siku zote huwa naandika point. Sema wakati mwingine huwa naandika mambo usiyoyapenda
Acha ndugu mm sijaona point, kwani naona kuna sehemu unajichanganya. Kama unataka Shirika livunjwe je sababu hasa ni ipi? Je kukosa utambulisho kama ilivyo Kenya Airway, Rwandan Airway? Au ni kukosa ufanisi? Na kama ni kukosa ufanisi kubadili jina haitokuwa na maana na wakati Shirika litakuwa bado liko chini ya watu walewale waliocreate tatizo. Taratibu na kanuni za uendeshaji ni zilezile..you guy it's pointless. Na kama kubadili jina ni point je hiyo and Kilimanjaro Airway inakujaje? Je Kilimanjaro nayo ni nchi au. Kama ni utambulisho wa nchi kwa nini tena Kilimanjaro na wakati unaposema Tanzania na Kilimanjaro imo humo. Basi tufanye Tanganyika and Zanzibar Airway ............it's pointless again and again!!!!!
 
Kilimanjaro Airways sounds much better and.is palatable japo sitoki pande ile
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Nimetafakari sana juu ya hili shirika letu la ndege hasa baada ya madudu kibao yaliyoainishwa na CAG. Hakika nashawishika kusema kuwa Shirika hilo halina sababu ya kuwa hai mpaka sasa kwa sababu zifuatazo;
  1. Linakula fedha za walipakodi ilhali production yake ni ziro.
  2. Imejenga taswira mbaya na hivyo hata kama tutakuwa na ndege 100, halitaaminika tena na wadau wa usafiri wa anga.
  3. Jina la ATCL halitoi utambulisho wa moja kwa moja kwa nchi yetu tofauti na wenzetu wanaotumia Kenya Airways ama Rwandan Air
  4. Siku zote kipya kinyemi. Kama tutakuwa na shirika jipya la ndege litakuwa na ufanisi zaidi tofauti na kuweka mvinyo mpya kwenye glas ya zamani.
  5. Mentality ya wafanyakazi wa shirika hilo imejengeka katika kubebwa na kudekezwa hivyo hata kama tutaongeza ndege mwisho wa siku watahujumu tu
  6. Hawajatueleza kwa nini ndege zimepungua kutoka 9 hadi 2 na hivyo kama tukiendelea kuwanunulia ndege, tutaishia kwenda kwenye negative.
  7. Madudu yaliyobainishwa na CAG haiwezekani kulikarabati shirika hilo badala yake tunapaswa kulisambaratisha na hapo Mheshimiwa Rais utakuwa umejiwekea rekodi ya kuharibu kibaya ili kuwa na kizuri
Kwa mantiki hiyo, nakushauri Rais wangu fanya maamuzi sahihi. Hata kama utatumbua majipu yote yaliyoota hapo ATCL, vijipu uchungu vitaendelea kujitokeza na hivyo utajikuta unafanya kazi ya kukamua majipu tu kwa miaka yako 10 bila ya ufanisi wa shirika hilo. Wastaafishe watumishi wote wa ATCL, Anzisha shirika jipya, Tangaza nafasi za Ajira utaona jinsi watu kutoka Kenya Airways, Ethiopian Airways, FastJet, Precission Air na hata Rwandan Air watakavyomiminika kuomba kazi na hapo ndipo tutakapokuwa na shirika bora kabisa la ndege.

Nimalizie kwa kusema kuwa "KULINUNULIA NDEGE MPYA SHIRIKA LA ATCL NI SAWA NA KUPANDISHA GHOROFA KWENYE MSINGI WA NYUMBA ISIYO YA GHOROFA"
Ungefafanua katika ajira za Wafanyakazi itakuaje,
Wachukuliwe walewale wa ATCL ndio waende huko shirika jipya (Chupa mpya ila mvinyo wa zamani),
Au nao kupiga chini wote (Gharama kubwa za Kinua mgongo zitatumika)??
 
We unadhani kubadili jina kwenye taasisi za kiserikali nikama kulala na kuamka? Lazima utabadilishe na sheria pia.. mchakato ni mrefu wala sio mdogo. Kama kuna wazembe wafukuzwe kazi... tu
 
Mi naomba iandikwe marealle,halafu kama uko marangu mtoni,kirua,mandaka ,scolastica,kilema,mwika ,hadi karibia old moshi.tutapanga route za hizo ndege ziende sehem gani
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Nimetafakari sana juu ya hili shirika letu la ndege hasa baada ya madudu kibao yaliyoainishwa na CAG. Hakika nashawishika kusema kuwa Shirika hilo halina sababu ya kuwa hai mpaka sasa kwa sababu zifuatazo;
  1. Linakula fedha za walipakodi ilhali production yake ni ziro.
  2. Imejenga taswira mbaya na hivyo hata kama tutakuwa na ndege 100, halitaaminika tena na wadau wa usafiri wa anga.
  3. Jina la ATCL halitoi utambulisho wa moja kwa moja kwa nchi yetu tofauti na wenzetu wanaotumia Kenya Airways ama Rwandan Air
  4. Siku zote kipya kinyemi. Kama tutakuwa na shirika jipya la ndege litakuwa na ufanisi zaidi tofauti na kuweka mvinyo mpya kwenye glas ya zamani.
  5. Mentality ya wafanyakazi wa shirika hilo imejengeka katika kubebwa na kudekezwa hivyo hata kama tutaongeza ndege mwisho wa siku watahujumu tu
  6. Hawajatueleza kwa nini ndege zimepungua kutoka 9 hadi 2 na hivyo kama tukiendelea kuwanunulia ndege, tutaishia kwenda kwenye negative.
  7. Madudu yaliyobainishwa na CAG haiwezekani kulikarabati shirika hilo badala yake tunapaswa kulisambaratisha na hapo Mheshimiwa Rais utakuwa umejiwekea rekodi ya kuharibu kibaya ili kuwa na kizuri
Kwa mantiki hiyo, nakushauri Rais wangu fanya maamuzi sahihi. Hata kama utatumbua majipu yote yaliyoota hapo ATCL, vijipu uchungu vitaendelea kujitokeza na hivyo utajikuta unafanya kazi ya kukamua majipu tu kwa miaka yako 10 bila ya ufanisi wa shirika hilo. Wastaafishe watumishi wote wa ATCL, Anzisha shirika jipya, Tangaza nafasi za Ajira utaona jinsi watu kutoka Kenya Airways, Ethiopian Airways, FastJet, Precission Air na hata Rwandan Air watakavyomiminika kuomba kazi na hapo ndipo tutakapokuwa na shirika bora kabisa la ndege.

Nimalizie kwa kusema kuwa "KULINUNULIA NDEGE MPYA SHIRIKA LA ATCL NI SAWA NA KUPANDISHA GHOROFA KWENYE MSINGI WA NYUMBA ISIYO YA GHOROFA"
Hahahahaha hata wewe leo unasema haya Liz!!!!Yep yamekukumba leo mbona mengine bado hamuyaoni mnatanga maji kwenye kinu bado?
 
Naunga Mkono hoja ATCL liondoke...1. Mt. Kilimanjaro Airways/Fly Kilimanjaro kama mjumbe hapo juu alivosema
2. Serengeti Airways
3. Air Tanzania
4. Tanzair nk hata kama haya mabaya mtafutage mazuri basi maana hilo jina ATCL ni kama lina gundu!!!
 
Naunga mkono hoja kwa 100%, hata nembo ya twiga haujakaa vyema maana Twiga wapo kila nchi hata hata Dubai wanazo twiga..nembo nzuri ya taifa ingekuwa Mlima Kilimanjaro au Ngorongoro/Serengeti...Ningeshauri tuondoe Twiga tuweke Kilimanjaro maana ndio utambulisho mzuri wa Mtanzania. Zamani KQ walianza kuweka Kilimanjaro ila naona sasa wamekuwa wapole baada ya kuona tunakuja kwa kasi...
UNAONGEA NN NDEGE NNE ZA KQ ZINA KINA MLIMA KILIMANJARO
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Nimetafakari sana juu ya hili shirika letu la ndege hasa baada ya madudu kibao yaliyoainishwa na CAG. Hakika nashawishika kusema kuwa Shirika hilo halina sababu ya kuwa hai mpaka sasa kwa sababu zifuatazo;
  1. Linakula fedha za walipakodi ilhali production yake ni ziro.
  2. Imejenga taswira mbaya na hivyo hata kama tutakuwa na ndege 100, halitaaminika tena na wadau wa usafiri wa anga.
  3. Jina la ATCL halitoi utambulisho wa moja kwa moja kwa nchi yetu tofauti na wenzetu wanaotumia Kenya Airways ama Rwandan Air
  4. Siku zote kipya kinyemi. Kama tutakuwa na shirika jipya la ndege litakuwa na ufanisi zaidi tofauti na kuweka mvinyo mpya kwenye glas ya zamani.
  5. Mentality ya wafanyakazi wa shirika hilo imejengeka katika kubebwa na kudekezwa hivyo hata kama tutaongeza ndege mwisho wa siku watahujumu tu
  6. Hawajatueleza kwa nini ndege zimepungua kutoka 9 hadi 2 na hivyo kama tukiendelea kuwanunulia ndege, tutaishia kwenda kwenye negative.
  7. Madudu yaliyobainishwa na CAG haiwezekani kulikarabati shirika hilo badala yake tunapaswa kulisambaratisha na hapo Mheshimiwa Rais utakuwa umejiwekea rekodi ya kuharibu kibaya ili kuwa na kizuri
Kwa mantiki hiyo, nakushauri Rais wangu fanya maamuzi sahihi. Hata kama utatumbua majipu yote yaliyoota hapo ATCL, vijipu uchungu vitaendelea kujitokeza na hivyo utajikuta unafanya kazi ya kukamua majipu tu kwa miaka yako 10 bila ya ufanisi wa shirika hilo. Wastaafishe watumishi wote wa ATCL, Anzisha shirika jipya, Tangaza nafasi za Ajira utaona jinsi watu kutoka Kenya Airways, Ethiopian Airways, FastJet, Precission Air na hata Rwandan Air watakavyomiminika kuomba kazi na hapo ndipo tutakapokuwa na shirika bora kabisa la ndege.

Nimalizie kwa kusema kuwa "KULINUNULIA NDEGE MPYA SHIRIKA LA ATCL NI SAWA NA KUPANDISHA GHOROFA KWENYE MSINGI WA NYUMBA ISIYO YA GHOROFA"
MPWA SHIKAMOO POPOTE ULIPOOO
BINAFSI NISINGEPENDA KUDEAL NA SWALA LA BRANDING NK...KUNA MAMBO MENGI ATCL WANAITAJI KUFANYA BEFORE KUJAHUKO..NINGEFURAHI UNGENIONYESHA TUNAMALIZAJE MADENI YA ATCL BEFORE LKN FOR TWIGA N OTHER MAKOROKOCHO...UNA MAWAZO MAZURI..LAKINI USICHOKIJUA N MLANGO WA GIZA..KABLA YA KUFIKIRIA KUWAONDOA WAFANYAKAZI

NIONYESHE MWANGA WAPI SERKL ITAPATAHELA KULIPA WANAOONDOKA

KABLAYAKUWAFUKUZA AMA KUWAONDOA SAWA WAZOJEMA NENDA ULIZA WAPIWANAPATA PESA ZA PPF AMBAZO AZIJALIPWA MIAKA KADHAA LAKN ZINAKATWA....

UKITAKA ZAIDI KUJUA NAME AMA HAYOMAJINA AYA MSINGISANA NISAIDIR KUJUA ZILE KESI MAHAKAMANI VS ATCL ZINAISHAJE NA ZILEHUKUMU MNASAIDIAJE KULIPA WANANCHI...

OUT OF THAT JIULIZE KUNA MARUBANI WAKO ZAIDI YA 20 WA BOEING NYUMBAN MDAWOTE SERIKL IMESHINDWA KUWALIPA KIINUA MGONGO NAKUWAPUMZISHA MPAKA WANAPOPATA NDEGE KUBWA MWAKA WA SITA SAIDIA WANAPATA WAPI HELA ZAKUWALIPA...

WAPO MA ENGN ZAIDI YA SABA AMA NANE WANAENDELEA KAZI BADAA YAKUSTAAFU WENGINE WANA MIAKA 65+ WAMERUDISHWA KAZINI SABABU YAKUKOSA PESA ZAKUWALIPA VIINUA MGONGO TOA MSAADA NAO WANAPATAPESA WAPI WAONDOKE...

NEXTY NTAKUPA JINA KAMILI
 
Hoja nzuri ila neno Kilimanjaro limetumika na linatumika sehemu nyingi hivyo basi ni vyema kuangalia na kubuni jina lingine tafauti.

Lakini hapa nadhani matatizo ya uongozi, ubunifu na fedha yamechangia zaidi.

Unaweza kuwa na jina nzuri lakini uendeshaji mbovu na kukosa mapato na wateja

Mkuu jina zuri kabisa ni Air Chato au Chato Airways
 
What is in a name? Cha muhimu ni uadilifu na kuwazuia akina nyoka mwenye makengeza kuwaa ndikia mikataba basi
 
Naunga mkono hoja, itakuwa safi sana kuvunja majina machafu ambayo yamelilifilisi taifa letu kama ATCL !!
Hahaaa ATC imefilisika ikaja atcl NAyo mnaamini inafilisika mnahisi kunajina lisiloifilsi??jina sioo sababu ,..
 
Back
Top Bottom