ushauri pliz: Nafikiria divorce

ukianalise sana kuhusu maisha hautafanya kitu, go for what you want hakuna anayejua vizuri unavyojisikia zaidi yako mwenyewe, na mambo ya kusingizia watoto watapata shida tuache, kwa hivyo watoto wanadeserve wazazi wanaoishi kama hawa?

kwani tunaishije?

yani tunaishi vizuri sana kama wazazi na marafiki ila si kama wapendanao.

wengine vichwa vyenu vigumu kuelewa.

Nimegundua wote wenye ushauri wa maana either wamepitia haya ama ni waungwana by nature, watoto wadogo ndo mmejaa hapa JF
 
Si bure
unaweza kuwa Na tatizo la akili au mapepo. KAOMBEWE..! Najutia muda niliotumia kuccoment Na Mtu huyu..
 

Pole sana dada, naona uliolewa kwa kufuata mkumbo ati flani kaolewa na wewe ulazimishe ndoa madhara yake ndo haya, kaa chini uimalishe ndoa yako hivyo hivyo
 
mmmh! mie huyu sitaki hata kuseme neno manake keshanchafua sasa nikifungua hili bakuli langu, hali ya hewa na uzi wake utafungiwa bureee............

We fungua tu hilo bakuli, kwani uzi wangu ukifungiwa nitapoteza nini cha maana hapa.

ideas nilizokua nataka nimeshazipata toka kwa waungwana 5 tangu asubuhi, sasa hivi najirusha tu hapa for funny.

dont take life too serious wewe
 
Pole sana dada, naona uliolewa kwa kufuata mkumbo ati flani kaolewa na wewe ulazimishe ndoa madhara yake ndo haya, kaa chini uimalishe ndoa yako hivyo hivyo

haya nimekusikia, basi wenyewe ambao hamjaolewa mnafarijika maskini.

mnafurahi wenyewe kusikia majanga ya ndoa

ha ha ha ha ha
 
Si bure
unaweza kuwa Na tatizo la akili au mapepo. KAOMBEWE..! Najutia muda niliotumia kuccoment Na Mtu huyu..

ha ha ha ha ha lazima ujute ila ndo hivyo, utake usitake uzi unaonzishwa na Ayanda lazima utaufungua hata kama hutacomment.

usiku mwema
 
mwache tu aendelee kufikiria twin wangu maana kufikiri ndio kazi ya ubongo

kwahiyo na wewe umeingia king.

ha ha ha mi nishapata nilishataka just muda mfupi baada ya kurusha huu uzi, sasa endeleeni kunizoga hadi mchoke.
 
basi kama nyie wote hamtaki kumshauri huyu, twen zetu Mtwara

mwenzangu hao hawawezi kwenda popote watabaki hapa hapa kupoteza muda kwenye uzi wa Ayanda.

this can real fun
 
Mungu tu atusaidie maana ukiangukia mikononi mwa kurumbembe kama hiki halafu ukafunga nalo ndoa kabisa umekwisha!Kwa lilivyo na lugha chafu halitakaa litulie na mtu, Mungu atuepushe nalo tu kwa kweli. Namwonea huruma aliyelioa!I lost my time kusoma lithred lake nikidhani ni mtu kweli anataka ushauri kumbe yaleyale!! ¤*¥!
 
Ndoa ina miaka minne haum-feel mwenzio mpaka unataka divorce. Ukibadilisha mume kila baada ya miaka minne mpaka unastaafu utakuwa umeolewa na wanaume si chini ya 10!!! Mwanzo mlipendania nini mpaka mkaoana? Tatizo lingekuwa kwa mmoja wenu ningekushauri tafuta kilichopungua kwenye mahusiano yenu mjaribu kukihuisha. Kwa sababu ni kwa wote hiyo siyo rahisi, na ninaamini mking'ang'aniana sana mtakuja fanyana kitu kibaya. Achaneni tu. Tatizo wewe unamtamani mume wa mtu na mwenzio anatembea na mke wa mtu! Sijui hata mfanyeje? Hao mnaodhani mnawapenda wangekuwa single ningekushauri umrudie wako na mwezio aendelee na huyo anayekucheat nae. Sidhani kama ni vizuri kuishi na mtu ambaye mmeshaboana kwa maisha yenu yote yaliyobaki, life is short!!!
 

thanx alot. Huu ni ushauri wa 6 wa maana.

kungekua na watu wenye akiri kama zako naona bongo ingekua New york.

Tatizo mibongo mingi inapenda bifu na matusi hata na watu wasiowaona.
 

nimekuelewa kiana, thanx
 

hivi wewe, huu uzi nimerusha tangu saa nne asubuhi unadhani mpaka saa hizi sijapata jibu nililokua nalitaka?

mi nshapata ushauri. Kuanzia saa nane watu wengi wanakua wamejichokea either na kazi or mengineyo so najua wanaishia kunitukana na siku zote mi huwa ukinitukana nakutukana tu.

hebu fungua uzi mwingine we vipi, bwabwa tu.

tukanaa we hadi uchoke wabongo si ndo mlivyo hata bungeni ni matusi.
 

Dah, nimeshindwa kucomment, pole sana inaonekana umechooooooooka mbaya hasa kwa sentensi yako ya mwisho, dah!!
 
kwa hya uliyo yaandika naamini una hitaji ushauri mwingine zaidi ya huu unao pewa hapa
 
kwa hya uliyo yaandika naamini una hitaji ushauri mwingine zaidi ya huu unao pewa hapa

ofkoz, ninapata kule chamber hapa napita kuangalia matusi ya wananchi maana wabongo kwa kutukana na kuponda tupo juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…