Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,939
- 43,569
hivi wewe, huu uzi nimerusha tangu saa nne asubuhi unadhani mpaka saa hizi sijapata jibu nililokua nalitaka?
mi nshapata ushauri. Kuanzia saa nane watu wengi wanakua wamejichokea either na kazi or mengineyo so najua wanaishia kunitukana na siku zote mi huwa ukinitukana nakutukana tu.
hebu fungua uzi mwingine we vipi, bwabwa tu.
tukanaa we hadi uchoke wabongo si ndo mlivyo hata bungeni ni matusi.
calm down ayanda. usitegemee response inayofanana kutoka kwa kila member.
Last edited by a moderator: