- Thread starter
- #141
ukianalise sana kuhusu maisha hautafanya kitu, go for what you want hakuna anayejua vizuri unavyojisikia zaidi yako mwenyewe, na mambo ya kusingizia watoto watapata shida tuache, kwa hivyo watoto wanadeserve wazazi wanaoishi kama hawa?
kwani tunaishije?
yani tunaishi vizuri sana kama wazazi na marafiki ila si kama wapendanao.
wengine vichwa vyenu vigumu kuelewa.
Nimegundua wote wenye ushauri wa maana either wamepitia haya ama ni waungwana by nature, watoto wadogo ndo mmejaa hapa JF