ushauri pliz: Nafikiria divorce

ushauri pliz: Nafikiria divorce

BIG THANX

Nimeanza kufikiria juu ya watoto

Mkuu nafikiri pia una hasira ambazo zilitokana na kupuuzwa/kuwa Neglected na jamaa hatimaye ukajijengea usugu na kutokujali!..I don't think kama mmefika level ya kuachana! What you guys need ni a certain kind of rehab! Kwanza jamaa aelewe majukumu yake like mume kwako,akujal na aonyeshe mapenz ya kweli! Pili wewe mwenyewe usamehe upuuzi wote wa jamaa na kuanza upya life.
Remember watoto wenu ni muhimu sana kuliko tofauti zenu!na mtakapoachana mtawa-athiri na watoto wenu!so pls mkuu fikiria vizur kwanza!
 
In life we live once only. Ni bora kuwa peke yako kuliko kuwa na mtu anaekufanya ujione upo peke yako. Better be alone and b happy than be with someone and be unhappy all your life. Some of us tumekuwa na mahusiano ambayo baadae yanakuwa ni majuto. Naamini hamkuoana kwa sababu ya upendo especially mumeo na kulazimika kufunga ndoa kwa sababu ya mimba au mtoto. Si shauri kuwa pekee lakini kama unafikiri you,ll be happy then go ahead but im afraid you will never get married again because sisi wanaume ni wachache ambao wapo tayari kuoa mke ambae kashazalishwa mtoto
 
Hali hii watu wengi sana wanateseka nayo, kufunga ndoa kwa kuifurahisha tu jamii ndo matokeo yake. Mimi naamini ndoa inapaswa ifungwe mioyoni kwanza yaani kuwe na true love kwanza ndipo wawili waende madhabahuni, otherwise ni mateso makubwa! Well, they say if you are in a ditch the best thing you should do is to stop diging! Tafakari sana kabla hujaamua kuivunja maana ikitokea ukaenda kutendwa na mwingine utajuta sana. Since tayari wewe ni used wife, very used actually, chances are you will never get 100% respect and trust from another man! Be careful my dada.
 
siwezi ishi na dume nisililiheshimu[/QUOTE]

Sasa huu ndio upumbavu ninao sema, kumbe majibu tayari unayo sasa unaomba ushauri gani tena? wewe huwezi kuishi nae kwanini umng'ang'anie?

huu ndio upumbuvu wa wenye akiri nyingi.

kwani hapo si nimeuliza swali? watu wananipa ushauri inform of answers we bwabwa hebu nipishe bana
 
Hali hii watu wengi sana wanateseka nayo, kufunga ndoa kwa kuifurahisha tu jamii ndo matokeo yake. Mimi naamini ndoa inapaswa ifungwe mioyoni kwanza yaani kuwe na true love kwanza ndipo wawili waende madhabahuni, otherwise ni mateso makubwa! Well, they say if you are in a ditch the best thing you should do is to stop diging! Tafakari sana kabla hujaamua kuivunja maana ikitokea ukaenda kutendwa na mwingine utajuta sana. Since tayari wewe ni used wife, very used actually, chances are you will never get 100% respect and trust from another man! Be careful my dada.

yaani ukisikia mwanaume bwabwa basi ndo wewe!

nani kakwambia mi natafuta divorce ili niolewe tena?

ofkoz am used men, ukiona kitu not used na kimekaa muda mrfu ujue kina kasoro .

basi mwenyewe unaona umetoa point kumbe debe tupu tu
 
In life we live once only. Ni bora kuwa peke yako kuliko kuwa na mtu anaekufanya ujione upo peke yako. Better be alone and b happy than be with someone and be unhappy all your life. Some of us tumekuwa na mahusiano ambayo baadae yanakuwa ni majuto. Naamini hamkuoana kwa sababu ya upendo especially mumeo na kulazimika kufunga ndoa kwa sababu ya mimba au mtoto. Si shauri kuwa pekee lakini kama unafikiri you,ll be happy then go ahead but im afraid you will never get married again because sisi wanaume ni wachache ambao wapo tayari kuoa mke ambae kashazalishwa mtoto

yani nyie ni wajinga sana halafu nimeanza kuhisi kwamba kuna a big number ya watoto mliotoka maybe chuo juzi juzi.

nani kazalishwa mtoto wewe, mimi nimezaa. labda mama yako ndo alizalishwa wewe na baba yako.

na hapo kwenye RED, mi nilishamwambia wakati ananio kwamba naingia kwenye ndoa becoz of kid, yeye ndo akanibembeleza akihahidi he will make me happy, so nikaona ni vema tu maana sikua na mtu yeyote zaidi yake.

Pia wanawake wengi tu wana watoto na wameolewa na wanaume wengine! Na wapo single ladies kibao with no kids and beutifull ila ndo hata boyfriend wa kuzugia hawana.
 
nikushauri kitu kimoja,wanaume sisi ni watu wa ajabu sana kwa sasa anaweza akajifanya kukutaka lakini ukishamuacha mumeo anaweza akakutema kwa kujiuliza maswali mengi Kama je ameweza kukurubuni na ukamuacha mumeo je akikuchukua na yeye ipo siku mtu atatokea na kukurubuni ukamuacha,

fikiria vizuri kabla ya kuchukua hatua
 
unataka kumuacha mumeo kwa sababu haumfeel? manake ni wazi cheatings zake hazijakukera.
ama unataka kumuacha kwa sababu unatakwa na huyo ex wako? ambae still anampenda mkewe na kuja kukubamba ni hadi aoteshwe. tafadhali fafanua nielewe kabla sijakushauri mibhange.
ameeen!
 
They say dont make decisions when you are mad. From this conversation nimeanza kupata picha what kind of a person you really are. There is no point in abusing someone. Tuliza kichwa think of your life, that of your chidren and your happiness. Then you may come up with a concrete solution. The future is in your hand, na haya ni maisha yako usiyaharibu kwa namna yoyote. I didn mean to flustrate you. Tunatambua wakati mgumu unaopitia
 
Mkuu nafikiri pia una hasira ambazo zilitokana na kupuuzwa/kuwa Neglected na jamaa hatimaye ukajijengea usugu na kutokujali!..I don't think kama mmefika level ya kuachana! What you guys need ni a certain kind of rehab! Kwanza jamaa aelewe majukumu yake like mume kwako,akujal na aonyeshe mapenz ya kweli! Pili wewe mwenyewe usamehe upuuzi wote wa jamaa na kuanza upya life.
Remember watoto wenu ni muhimu sana kuliko tofauti zenu!na mtakapoachana mtawa-athiri na watoto wenu!so pls mkuu fikiria vizur kwanza!

nahisi sijaeleweka na watu wengi.

kama ni kuonyeshwa mapenzi ananionyesha sana na ananipa space ya kuenjoy pia.

sijaeleweka kwa wengi bado maana wengi
 
ayanda pole kwa yaliyokusibu kwenye ndoa. ushauri wangu fuata moyo wako unataka niji bhaaaas.

bless.
 
Last edited by a moderator:
muwache tu huyo mume wako hafai dada ponda maisha usife na kisukari kutokana na mawazo tena umeshazaa funga kabisa kizazi uponde maisha.
Karibu
 
They say dont make decisions when you are mad. From this conversation nimeanza kupata picha what kind of a person you really are. There is no point in abusing someone. Tuliza kichwa think of your life, that of your chidren and your happiness. Then you may come up with a concrete solution. The future is in your hand, na haya ni maisha yako usiyaharibu kwa namna yoyote. I didn mean to flustrate you. Tunatambua wakati mgumu unaopitia

hatujanielewa kabisaaaaaaaaaaaaaa infact nahisi kama vile hii mada mmeongeza chumvi kibao tu.

am not frustrated at all, and trust me maandishi yangu ni tofauti na nilivyo kwa watu. Ukiniona live huwezi amini mi ndo Ayanda na pia home kwangu hakuna vita wala stress kabisa yaani mambo yapo baridiiiiiiii.

ndo maana naona niwaache muendelee na mada, kuna walionielewa kama 3 tu na ushauri wao kiukweli kabisa umenipa challenge na mtazamo tofauti.

kwaheri
 
Back
Top Bottom