Ayanda pole sana mdada,ila nawe umri wa kuolewa umewahi sana...sisi tuna miaka kama iyo hata sijaanza kuwaza kuoa,si kwamba maisha magumu,hapana kila kitu kitu kipo,gari,makaz bora na kazi nzuri...anyway hapo hakuna reverse na nakushauri ukomae na uyo tu. Vijana hatuelewek utajuta zaidi,mayb kama una hamu na mweusi mayb kama mim,tafta kijana akupe vya kukupa alaf urudi kwa mumeo mwepeeesi basi. Alaf eti unamtaka mme wa mtu,utauawa bure...ndoa yako ikushinde then unataka ukabomoe ya mwenzio?vibaya ivo,tutafte ambao hawajaoa kuliko kuua familia za wenzio...nadhan apa nimeeleweka.
Naomba namba yake
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
sikusema umshauri amuache mkewe
nimesema mueleze kuwa unafikiria divorce ili ajue
since yeye ndie muhimu kwako for now
na maamuzi yako yanamhusu
mtoa maada inaonekana unahitaji ushauri amabao tayari ulishajishauri mwenyewe,mtu akitoa ushauri tofauti ambao uko tofauti na mawazo yako basi unakuwa mkali,kama vipi ungejaribu kuingia fb ukutanane na 20s nadhani wale ni wafariji wazuri sana kimapenzi,lakini huku 90% wako kwenye ndoa hivyo ukileta post ambazo hazina utajibiwa simple san,nimeona watu wengi sana waliokushauri unawajibu kiukali san,pole sana hii ni jf wan great thinkers
dada Ayanda una maana gani? kwa nini impossible?
Ayanda! Ashakua mwanaume suruali kumbe!!?
mwenzangu wee cjui kazaaje na mwanaume suluari
unataka kumuacha mumeo kwa sababu haumfeel? manake ni wazi cheatings zake hazijakukera.
ama unataka kumuacha kwa sababu unatakwa na huyo ex wako? ambae still anampenda mkewe na kuja kukubamba ni hadi aoteshwe. tafadhali fafanua nielewe kabla sijakushauri mibhange.
nitanyamaza wala sitakujibu
seems like someone i know tena kwa karibu tu.
ah naogopa bwana hebu nikuache maana sitaki surprizes kama za kwenye movie za kinigeria.
Kafman sounds like kaf.....
sisomagi vitabu na wala usipoteze nguvu kunielimisha kuhusu hilo.Najua umuhimu wa vitabu sana ila sisomi na wala sina hiyo hobby kabisa.
Pole dada yangu -heshima kwa chaguo lako
hivi kuna mahali nimesema nataka kubomoa familia ya mtu?
je ina kwani huyu mume wa mtu hajui kwamba ana mke? na je yeye anavyotembea na mke wa mtu ina maana anataka kubomoa ndoa yangu?
hebu acha utoto wewe.
mi siwezi tembea na bachelor hata siku moja, wa kazi gani mie mtu asie na majukumu na tena wewe ushasema ni mtoto wa kishua ndo kabisa unaonekana tegemezi home.
Mume wa mtu simuachi ngo na wala sitauwa kwani huyu mke wa mtu anayetembea na mume wangu mbona bado yupo hai?
Mbona unanishitua.......hebu nitajie eneo unalohis tuliwahi kutana.
sasa ayanda, mbona unakuwa na hasira ivo? ni wapi nimekwambia mi wa kishua?kumili gari ndo ukishua?gari zipo mpaka miliono4/5 na ni kwa ubishi haiitaji kuwa tajiri, nyumba na mengine ni pamoja na kujipanga vema kimaisha wala si ukishua...Eti mi tegemezi home!una maana hata kazi zangu anatumwa mtu ofsini kwangu kutokea home ili afanye kazi zangu au??usiwe unatafsiri vibaya ivo..eti mtu asiye na majukumu,una maana unataka kuchukua majukumu au kupata unachokitaka?kaa ukijua kuwa hata upinge vipi ila kuchukua mme/mmke wa mtu tayari ki kubomoa nyumba ya mwenzio na ni laana, haijalishi ni mazingira gani...Nazidi kukueleza kuwa KOMAA na mmeo usitake kuua familia za wengine...ni dhairi shairi kama hakuna hamu kati yenu basi japo chepuka kidogo ila urudi ulee watoto si kukimbia nyumba uliyoitengeneza wewe...Chukua kilicho bora achana ushauri usiopenda na hiyo haiitaji hasira wala frustration,ni ayo tu....
mimi huwa nasema kila siku,hakuna kosa kubwa kama kuolewa na mwanaume kwa sababu iliyo tofauti na MAPENDO YA DHATI TOKA MOYONI! maana huwezi ku pretend kwa muda mrefu,matokeo yake ndio haya ayanda.pole kwa mateso unayopata.pia unajua huo uvumilivu umeisha kabisa kwa sababu na ww una mtu wa pembeni,na nahisi amekujua udhaifu wako ameamua kujituma kisawasawa!hilo ni kosa,jipime uvumilivu wako kwa mumeo ukiwa huna mtu wa pembeni.yawezekana bado unauwezo wa kuishi nae.halafu kuhusu kutukanwa,shoga mbona watu wanatukanwa sana tu na mahawara,ss ww umeshaijua namba ya hawara na unajua sms ikiingia ni matusi,ss ww unaisoma ya nini au unapokea cm ya nini?si kujitafutia mapresha yasiyo na sababu! hawa wanaume ni zaidi ya tuwafikiriavyo kabla ya ndoa,unadhani siku ukiolewa mama yako anapolia unadhani analia kwa furaha,shoga analia anajua unaenda kukutana na milima na mabonde na makorongo kibaaaao!