ushauri pliz: Nafikiria divorce

ushauri pliz: Nafikiria divorce

Actually I dont have problems at all.

I have duties to handle in my life and I have got deadlines, kwahiyo kwa sasa nakimbizana na ishu nyingine za maisha as i said time is moving very fast.

kwahiyo ishu ninayohandle sasa ni plans for children and kula bata( si unajua ujana maji ya moto!, nachelea yasije poa).

marital issues nimeweka pending.

Ok, challenges may be....maji ya moto yanaunguza pia lakini...
 
Ayanda ayanda ayanda, umeanza tena!!! nilikukataza umerudia angalia ulivyopandisha pressure wakati mwenyewe ulisema:
Sasa povu la nini? Ayanda huishi vituko na matusi. Acha hizo tulia dada yangu.

yaani hapa ndo nimetulia ati!

sasa pata picha nikiwa sijatulia
 
Labda anahitaji a distraction right now
na a thing by the side it can be a very good distraction, trust me..
na wewe mzima?au wahitaji a distraction pia?lol

Ohoo....its Ayanda kwenye topic.....mie buheri wa afya, no distractions required....
 
Sinza mori

Sinza no,nilidhan labda Kurasini,Kimara,Mbezi.....ninavyohis mie ni kuwa labda tumewah kutana huko kanda ya ziwa wakat nasoma,and I thing your region of origin is Ka.ge.ra.
 
ha ha ha sorry i meant ukinywa
Asante kwa kujirekebisha pengine utarekebisha na tabia yako ya kusema ovyo na ndo maana mme anakushinda ayanda. Usipende kuwa jamvi la wageni Ayanda. Tabia yako mbaya na kwa bahati mbaya hukuchapwa na wazazi wako ndo maana uko hivyo. Mgeukie muumba
 
Sinza no,nilidhan labda Kurasini,Kimara,Mbezi.....ninavyohis mie ni kuwa labda tumewah kutana huko kanda ya ziwa wakat nasoma,and I thing your region of origin is Ka.ge.ra.
Ayanda anatokea sehemu ambayo hawafundi. Huyu ni mtu anatokea kando ya mlima Kilimanjaro. Namfahamu sana maana mdogo wake tulikuwa tunasoma wote. Anatakiwa kuja kwetu kusini akafundwe-unyao
 
yaani tangu mwezi huu uanze nimekuwa nawaza sana divorce. Naona ndoa yangu ipo ipo tu, yaani hakuna maudhi wala furaha. Natambua wazi ana mtu wake ampendae tatizo huyo dada ni wife ya mtu pia ila na yeye huyo dada ni wazi keshamchoka mumewe kutokana na kusex na mume wangu kitandani kwa mumewe.

Na mi pia, nimshadate wengi tu tangu nina 19 yrs hadi sasa nikitafakari ndoa yangu na mi mwenyewe natamani ningeolewa na jamaa mmoja ambae ana 42 yrs maana hadi leo sijaona mwanaume wa ukwee kama huyu. Ana kauli, mkali kiasi, mcheshi na akipiga nje anapiga kimahesabu yani wife wake kumstukia aoteshwe.


Sasa jamaa ananitaka sana hadi leo, ana watoto 3. Mi nafikiria sijui ndoa yangu ife tu maana sioni faida wala hasara ya hii ndoa wala siwezi sema nampenda na wala simchukii hubby, simfeel chochote yani hata akinigusa ni kama nimeguswa na mwanangu wa kiume tu.

jamani naombeni ushauri ndoa yangu ina 4 yrs only.

ukijisikia kutukana we tukana tu, haina shobo

hautaki divorce kwa sababu ya mumeo kukucheat, bali unataka urudiane na mtu wako wa 42 years sasa tukupe ushauri gani na decision umeishafanya. pole, chukua hatua in which you will be happy. (una watoto???)
 
pole, sounds like mixed feelings. ila kuna jambo sijaelewa hapo, why did you get married???
 
hii topic imenipita sana hata cha kuchangia nakosa ila nikutakie kila la heri mtoa mada ayanda kwa uamuzi utakaochukua, its too late for me to advise for now
 
Ayanda anatokea sehemu ambayo hawafundi. Huyu ni mtu anatokea kando ya mlima Kilimanjaro. Namfahamu sana maana mdogo wake tulikuwa tunasoma wote. Anatakiwa kuja kwetu kusini akafundwe-unyao

Nadhan amekupata! Ngoja aje tuone.
 
Sinza no,nilidhan labda Kurasini,Kimara,Mbezi.....ninavyohis mie ni kuwa labda tumewah kutana huko kanda ya ziwa wakat nasoma,and I thing your region of origin is Ka.ge.ra.

no i come from iringa, kanda ya ziwa maybe ya nchi jirani.

unanitisha yaani i dont believe this.

so what now?umekasirika?
 
wewe niachie huyo ayanda mimi nammudu tu. Nitahakikisha anaacha kuigawa kama njugu. CC Nivea, King'asti, Snowhite, Smile etc

nani kakwambia nagawa kama njugu wewe, kwani wewe nimekupa. Yani kumpa mtu mmoja nje ndo nimegawa kama njugu?

hebu niondokee
 
Nadhan amekupata! Ngoja aje tuone.

ndo nshakuja sasa, watu wengine sijui mkoje. aliyewaambia sijafundwa nani?

kwanza nimeshachoka kujibizana na watu nisiowajua maana nahisi kuna majini humu ndani
 
wewe niachie huyo ayanda mimi nammudu tu. Nitahakikisha anaacha kuigawa kama njugu. CC Nivea, King'asti, Snowhite, Smile etc

nyoooooo uniduu wewe labda nikiwa maiti sio mzima hivi.
 
Back
Top Bottom