ushauri pliz: Nafikiria divorce

ukijisikia kutukana we tukana tu, haina shobo

fyufyu fovyofivyo fafufakiiiiiiiuuu fufuffifio fafeffifofffooo ............. nimetukana tu yaani maana haina shobo!

mbona ndoa changa ndugu yangu, vp tena mbona watukatisha tamaa jamani???
 
yaani mtu anapoandika comment na kuniita WE MALAYA anakua ameshauri nini?

angalia matusi yangu yote yanelekeezwa kwa comment zipi?

mimi ukinitukana nitakutukana na waungwana nawashukuru sana.

HABARI NDO HIYO
Mh aisee kumbuka dawa ya moto sio moto rafiki. Kama wamekutukana mimi nadhani ni busara kunyamaza kimya na kuziacha/kuzipita comment zao bado hautadhurika na utaonyesha kua wewe ni mwenye hekima na busara nyingi. Najua wewe ni mtu msomi sana na pengine unajua mambo mengi , ningependa nikushauri kidogo pindi uombapo ushauri muombe mungu akusaidie uwe mvumilivu hasa unapokua offended na baadhi ya maushauri, chukua mfano wa kikwete anavyotukanwa , hivi angerudisha matusi ingekuaje. Pamoja na kwamba wewe ni wa mujini mno bado sie tunaotoka kusiko na umeme tunaweza kukushauri japo kwa nukta. I believe unayo busara.
 

HAPO KWENYE RED, we lazima utakua mtu wa mahesabu kwa sana.

ila unaonekana mstaarabu kwa maandishi yako.

wala haina haja ya ligi bana, ligi gani bila mkwanja?

najua unaelewa sana kuhusu watoto, ila ulikua kama vile unanijudge hivi, na mi siku zote mtu akinijudge namkumbusha kasoro zake pia.

kiukweli, hata mi sihitaji ligi.
 

LoL.....ni balaa ya kuoa mke wa mtu au kuolewa na mume wa mtu
 
this was good to hear from you.

unaendeleaje na mkeo

Tatizo lako unarukaruka na umekariri kuwa unajibu vibaya watu hasa walokujib tofaut na maono yako,si sahihi hata kidogo kusema eti "nimeshajua cha kufanya sa hiz najib wale wote walotukana na kujib vibaya" Hata kukaa kimya ni jib tosha. Nimeona wadau weng umewajib majib yasiyo mazuri hasa huku mwishon,si vyema.
 
fyufyu fovyofivyo fafufakiiiiiiiuuu fufuffifio fafeffifofffooo ............. nimetukana tu yaani maana haina shobo!

mbona ndoa changa ndugu yangu, vp tena mbona watukatisha tamaa jamani???


yaani majanga yoteeee ya ndoa dunia hii ndo uje ukatishwe tamaa na haya yangu?

hebu acha uongo wewe
 

you are too way nice jamani, lol halafu mkeo anakujibu nyodo lol

yaani type ya mwanaume cool kama hii ndo naipenda.

sasa sikiliza hakuna niliyemjibu vibaya kama hajatoa kejeli ama tusi, we angalia utagundua.

hawa wanaotukana nimeshawazoea kwahiyo ni jadi yangu kutukana anayenitukana.

sawa lakini, nitajifunza kukaa kimya lol.

aisee nimekupendaje na ushauri wako so cool and warm.

ila hujajibu swali langu.
 
yaani majanga yoteeee ya ndoa dunia hii ndo uje ukatishwe tamaa na haya yangu?

hebu acha uongo wewe

mwenzio bado nipo benchi napiga jeramba, bado kocha hajanipa namba kwenye kikosi cha kwanza yaani ndoa!

ila na wewe ayanda mboan hivyo sasa, huoni kuwa mnatutisha sie underground, jamani miaka 4 tu ndo haina tena ladha?

au sema jamaa anapiga mzigo chini ya kiwango, pengine ningeweza hata kufikiria, sema ukweli wako ayanda!
 
Last edited by a moderator:

Heeeh!............
 
LoL.....ni balaa ya kuoa mke wa mtu au kuolewa na mume wa mtu

utaoaje mke wa mtu bana, mke wa mtu huwezi oa mara ya pili ila unaweza oa ex-wife ya mtu.

kuhusu mume wa mtu, mbona wanawake wa kiislamu wanaolewa na waume za watu?

hata kwenye african culture, wanawake walikua wanaolewa na waume za watu?
 
Heeeh!............

wala usishangae hapo bwana kaka.

hebu abgalia alichokiandika, sasa hapo ningetoa jibu gani.

yaani mtu anatukana sehemu za uzazi za kike kweli jamani?

na mimi ikabidi nimjibu kwa lugha hiyo hiyo.
 


HIVI UNADHANI NAONA AIBU KUFUNGUKA AMA?

Sijui kwanini watu wengi mnawaza sex, mimi kwangu sex is a non issue kabisa.
 

Tafuta mchungaji au Sheikh akuombee wewe una mapepo ya ngono.
 

Well said!
 


nadhani nimekosea kutaja age ya 42 maana imewapeleka wengi chaka mpaka kama hamielewi hivi!

ah sasa Kafman huyu katoa ushauri gani?

mimi naona ananilaumu tu.

wacha ninyamaze.
 
Mama au mwanamke mwenzangu please waangalie watoto wako,km wewe ulilelewa na wazazi wawili naomba na kukusihi wape watoto nao haki zao,kwani hakuna ndoa iliyo perfect kila ndoa ina mikwaluzo ndani yake,pia hata wazazi wako walivumiliana wakakulea wewe pamoja,hebu anza kumwonea wivu na kumpenda sana mumeo na kumfanyia suprise kibao uone km hajamsahau huyo kimada wake,wanaume wote wanafanana inategemea unampetipeti vipi ili nawe ufanyiwe vizuri ufurahi,usiivunje ndoa yako kwa mikono yako dada yangu utajutia.Una 30s sasa bado kidogo huo mvuto utapotea ,usijidanganye.Kuna umri ukifika lazima ukae ulipo hata kama kimazoea,pia km umesahau jikumbushe siku ya kwanza ulipokutana nae ulifurahiaje,na uyarudishe yale mapenzi .Anza kutoka na mumeo out kama mwanzoni .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…