mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 17,121
- 53,134
vyama vya KATAA NDOA na CHAPUTA vitaondolewa🤣Hii ni Secular State mkuu, tukianza kuleta upuuzi wa dini watakuja mashahidi wa yehova watasema tusitumie pesa kabisa kwa sababu zinatoka kwa shetani