Nenda Jordan utakutana na watu waliopo uchumi was Kati mtashare mambo mengi sana.Wakuu naomba ushauri tajwa hapo juu nisije shindwa ku graduate masters kwa wakati
Ok mkuuNenda Jordan utakutana na watu waliopo uchumi was Kati mtashare mambo mengi sana.
Masters ya nini?Wakuu naomba ushauri tajwa hapo juu nisije shindwa ku graduate masters kwa wakati
Hawezi akakutana na watu wa kaliba hiyo UDOM?Nenda Jordan utakutana na watu waliopo uchumi was Kati mtashare mambo mengi sana.
Bachelor ulichukulia wapi?Wakuu naomba ushauri tajwa hapo juu nisije shindwa ku graduate masters kwa wakati
Master ya education Management and administrationMasters ya nini?
Nenda UDOMMaster ya education Management and administration
Lisoma udom, nimesikia tetesi kuwa udom eti unapewa supervisor 02 ambao kila mmoja anakushauri tofauti.Bachelor ulichukulia wapi?
Kama ni Chuo cha umma basi safari hii uende private and vice versa, lakini usiuamini sana ushauri wangu.
Nenda UDOM
Nilisoma udom, ok nashukuru kwa ushauuri mkuuBachelor ulichukulia wapi?
Kama ni Chuo cha umma basi safari hii uende private and vice versa, lakini usiuamini sana ushauri wangu.
Huko Kuna masikini wengi Sana so uwiano utakataa kubalance.Hawezi akakutana na watu wa kaliba hiyo UDOM?
Ni
Lisoma udom, nimesikia tetesi kuwa udom eti unapewa supervisor 02 ambao kila mmoja anakushauri tofauti.
Masters ni tofauti na bachelor, wapo watu mchanganyiko ambapo baadhi yao ni waajiriwa wa taasisi mbalimbali.Huko Kuna masikini wengi Sana so uwiano utakataa kubalance.
OkThanks
M A Education management and administrationMasters ya nini?
Masters ni tofauti na bachelor, wapo watu mchanganyiko ambapo baadhi yao ni waajiriwa wa taasisi mbalimbali.
Lakini hata ngazi za chini, nako kuna watoto wa vigogo pia. Kulikuwa na tetesi kuwa mmoja wa watoto wa "mkubwa" fulani alishawahi kusoma hapo. Na huyo alifahamika kirahisi kwa vile mzazi wake alikuwa maarufu.
Kuna vigogo wasio maarufu, watoto wao wanasoma huko.
Nimekuelewa miuuBachelor ulichukulia wapi?
Kama ni Chuo cha umma basi safari hii uende private and vice versa, lakini usiuamini sana ushauri wangu.
TrueMasters ni tofauti na bachelor, wapo watu mchanganyiko ambapo baadhi yao ni waajiriwa wa taasisi mbalimbali.
Lakini hata ngazi za chini, nako kuna watoto wa vigogo pia. Kulikuwa na tetesi kuwa mmoja wa watoto wa "mkubwa" fulani alishawahi kusoma hapo. Na huyo alifahamika kirahisi kwa vile mzazi wake alikuwa maarufu.
Kuna vigogo wasio maarufu, watoto wao wanasoma huko.
Udom sio chuo Kama unahitaji kukutana na watu makini Soma Jordan ,Tumain na kidogo ifm vyuo vya serikali kuna masikini wengi sana so ningumu kubadilishana mawazo .Masters ni tofauti na bachelor, wapo watu mchanganyiko ambapo baadhi yao ni waajiriwa wa taasisi mbalimbali.
Lakini hata ngazi za chini, nako kuna watoto wa vigogo pia. Kulikuwa na tetesi kuwa mmoja wa watoto wa "mkubwa" fulani alishawahi kusoma hapo. Na huyo alifahamika kirahisi kwa vile mzazi wake alikuwa maarufu.
Kuna vigogo wasio maarufu, watoto wao wanasoma huko.
Umethibitisha kama hiyo taarifa ni kweli? Ujue kuna watu ni "much know", anaweza akakuelekeza jinsi ya kurusha ndege wakati hata ndege hajawahi kuiona. Kwa hiyo, AKILI YA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO.Ni
Lisoma udom, nimesikia tetesi kuwa udom eti unapewa supervisor 02 ambao kila mmoja anakushauri tofauti.
Na ajiandae kisaikolojia. Kile ni chuo kikubwa kieneo tu.Nenda UDOM, ni chuo kikubwa, kina miundombinu mingi, walimu wa kutosha, utakutana na watu wengi sana wapya UDOM,