Ushauri: Nisome chuo DIT au nijiajiri kwenye kilimo?

edimkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
212
Reaction score
139
Habarini wana ndugu naombeni msaada. Mimi ni mwalimu wa shule ya sekondari , elimu yangu ni diploma nafundisha masomo ya science yaani physics na hesabu, mpaka sasa kuna mambo mawili yananitatiza nataka kwenda kusoma maana nikiangalia maisha ya ualimu siyaelewi lakini najua sitoweza kupata chuo kutokana na ufaulu wangu nina div 3 point 15 PCM .

Sasa nataka nianze na diploma ya angalau maswala ya engineering. Sasa wakuu wazo jingine linakuja kwamba nijiajiri kwa kilimo tu mambo yatakwenda sawa na umri wangu unasogea just 29yrs, sasa wakuu naweza pata chuo DIT kwa hayo matokeo?

Au niingie kwenye kilimo tuu maana watu wanamaliza vyuo bado wanahangaika na ajira nifanyeje jamani ualimu umenichosha jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sifahamu sana kuhusu DIT ila vipi umewaza kwenda kusomea kilimo? Badala ya kuifanya kama wewe unaweza somea kilimo kisha ukaajiliwa huku unafanya project zako binafsi hutojutia,nenda special course za kilimo kama horticulture,irrigation engeneering and mechanization. Ingia website ya kilimo tazama vigezo na vyuo ila zaidi nakushauri horticulture pale horti Tengeru,ajira nyingi sana za horticulture na kujiajiri binafsi ushindwe tu mwenyewe
 
Kukimbia umande nako kuna gharama zake! By the way, tangu mababu zetu waanze kulima, ni wangapi wametajirikia kwenye kilimo?
Umri sio kesi, hawa maprofesa wengi unaowaona wamepata PhD zao wakiwa na miaka hamsini hivi! So kwa wewe mwenye 29 bado una 'margin of time' ya kutosha kusoma...
 
Mkuu usimkatishe tamaa...saizi kilimo pia kinatoa sana watu aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama nguvu za kusoma bado unazo ......soma ....usisubiri mpaka akili ianze kuchoka
 
Kuwa na msimamo kama umeshachagua ualimu komaa nao mbona kuna walimu wengi matajiri cha msingi jiongezee
 
Ckushauri kuacha ualim kusoma uinjinia utajuuutaa....!!!! Ktk kusoma kufeli kupo pia kashkash za kusoma co ndg aisee kwa we uliwah na kuajiriwa na ndo utajuta sn chamcng fundsha uku unalima kilimo kitakutoa mdgmdg ucjal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wana ndugu naombeni msaada. Mimi ni mwalimu wa shule ya sekondari , elimu yangu ni diploma nafundisha masomo ya science yaani physics na hesabu, mpaka sasa kuna mambo mawili yananitatiza nataka kwenda kusoma maana nikiangalia maisha ya ualimu siyaelewi lakini najua sitoweza kupata chuo kutokana na ufaulu wangu nina div 3 point 15 PCM .

Sasa nataka nianze na diploma ya angalau maswala ya engineering. Sasa wakuu wazo jingine linakuja kwamba nijiajiri kwa kilimo tu mambo yatakwenda sawa na umri wangu unasogea just 29yrs, sasa wakuu naweza pata chuo DIT kwa hayo matokeo?

Au niingie kwenye kilimo tuu maana watu wanamaliza vyuo bado wanahangaika na ajira nifanyeje jamani ualimu umenichosha jamani
Endelea na ajira yako hayo mambo ya engineering achana nayo kabisa utakuja juta badae
Au kana inawezekana kasome degree ya ualimu kwa cheti cha diploma
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ckushauri kuacha ualim kusoma uinjinia utajuuutaa....!!!! Ktk kusoma kufeli kupo pia kashkash za kusoma co ndg aisee kwa we uliwah na kuajiriwa na ndo utajuta sn chamcng fundsha uku unalima kilimo kitakutoa mdgmdg ucjal

Sent using Jamii Forums mobile app
Alime kwa mvua zipi ndugu? Acha kupotosha kumbuka elimu ni tool muhimu sana ,kwa elimu yake aliyonayo akilima sasa hivi nitofauti sana na akienda kuongeza elimu....atakuwa smarter than ....Usiiache elimu ipite

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wana ndugu naombeni msaada. Mimi ni mwalimu wa shule ya sekondari , elimu yangu ni diploma nafundisha masomo ya science yaani physics na hesabu, mpaka sasa kuna mambo mawili yananitatiza nataka kwenda kusoma maana nikiangalia maisha ya ualimu siyaelewi lakini najua sitoweza kupata chuo kutokana na ufaulu wangu nina div 3 point 15 PCM .

Sasa nataka nianze na diploma ya angalau maswala ya engineering. Sasa wakuu wazo jingine linakuja kwamba nijiajiri kwa kilimo tu mambo yatakwenda sawa na umri wangu unasogea just 29yrs, sasa wakuu naweza pata chuo DIT kwa hayo matokeo?

Au niingie kwenye kilimo tuu maana watu wanamaliza vyuo bado wanahangaika na ajira nifanyeje jamani ualimu umenichosha jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
Umefanya vyema sana kuuliza humu ..maaana swali hili kama ungeuliza walimu wenzio peke yake 90% wangekuambia Fanya kazi na ulime...maana ni waoga sana wa kuthubutu..ni kwamba binafsi mdogo wangu alikuwa katika hali kama yako ila aliachakazi na hivi sasa ni civil engineer..usiangalie kuwa sasa graduate wengi wako mtaani,jiangalie wewe na uweke mkakati mzuri sana pindi umalizapo chuo unaingiaje katika ushindani wa soko LA ajira...lakini pia Engineering science watu ni wachache sana ndo maana kama ni mfatiliaji wa karibu graduate wengi wa fani hizo wanahamahama sana makazini tafsiri yake ni kuwa kazi zipo nyingi,wanashindwana maslahi tu...Kilimo pia ni jambo zuri ila kwa sasa ukikifanya ni tofauti na pindi urudipo shule na umalizapo shule ujikite katika kilimo...Kuwa na uthubutu usiwasikilize walimu wenzio hapo 10% wako strong ila 90% waoga sana na wanalugha za vitisho....iyo takwimu yangu niliyoifanya...

Lakini sasa mkuu matokeo yangu yanafaa nisomee diploma maana siwezi pata kwa degree,vipi nianze diploma au nilisiti nipate sifa za kusoma degree engineering?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umefanya vyema sana kuuliza humu ..maaana swali hili kama ungeuliza walimu wenzio peke yake 90% wangekuambia Fanya kazi na ulime...maana ni waoga sana wa kuthubutu..ni kwamba binafsi mdogo wangu alikuwa katika hali kama yako ila aliachakazi na hivi sasa ni civil engineer..usiangalie kuwa sasa graduate wengi wako mtaani,jiangalie wewe na uweke mkakati mzuri sana pindi umalizapo chuo unaingiaje katika ushindani wa soko LA ajira...lakini pia Engineering science watu ni wachache sana ndo maana kama ni mfatiliaji wa karibu graduate wengi wa fani hizo wanahamahama sana makazini tafsiri yake ni kuwa kazi zipo nyingi,wanashindwana maslahi tu...Kilimo pia ni jambo zuri ila kwa sasa ukikifanya ni tofauti na pindi urudipo shule na umalizapo shule ujikite katika kilimo...Kuwa na uthubutu usiwasikilize walimu wenzio hapo 10% wako strong ila 90% waoga sana na wanalugha za vitisho....iyo takwimu yangu niliyoifanya...

Sent using Jamii Forums mobile app
Maana wengine wananishauli nianze tu diploma kwamba kusoma hakuna mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom