Tembomtata
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 266
- 427
Its my friend's story
Anafanya kazi kwenye shirika moja la pensheni, wakati anaanza kazi mwaka mmoja uliopita, walianza kazi na dada mmoja ambaye walitokea kuzoeana, baada ya muda jamaa akapiga sound kama kawaida dada akakataa kata kata baada ya jamaa kuinsist sana dada akamwambia ana mtu wake. Sasa last weekend jmosi huyu kaka akamkaribisha kwake dada akampikia na baada ya hapo wakawa wanaangalia movie basii jamaa akachombeza akala mzigo.Sasa j3 asubuhi dada akamtxt akamwambia. Asahau kilichotokea jmosi kwasababu anamtu wake.Sasa tunamshauri vip? aendelee ama aachane nae