USHAURI:Nimepiga ila bado anazingua

USHAURI:Nimepiga ila bado anazingua

Its my friend's story

Anafanya kazi kwenye shirika moja la pensheni, wakati anaanza kazi mwaka mmoja uliopita, walianza kazi na dada mmoja ambaye walitokea kuzoeana, baada ya muda jamaa akapiga sound kama kawaida dada akakataa kata kata baada ya jamaa kuinsist sana dada akamwambia ana mtu wake. Sasa last weekend jmosi huyu kaka akamkaribisha kwake dada akampikia na baada ya hapo wakawa wanaangalia movie basii jamaa akachombeza akala mzigo.Sasa j3 asubuhi dada akamtxt akamwambia. Asahau kilichotokea jmosi kwasababu anamtu wake.Sasa tunamshauri vip? aendelee ama aachane nae

Pengine huyo dada anamtaka jamaa ila anataka kujiwekea mazingira mazuri kuwadate wanaume wote wawili so ni jitihada za jamaa kumdatisha demu aje kwake au aguseguse demu aweke akili yake kwa jamaa wa mwanzo.
 
Its my friend's story

Anafanya kazi kwenye shirika moja la pensheni, wakati anaanza kazi mwaka mmoja uliopita, walianza kazi na dada mmoja ambaye walitokea kuzoeana, baada ya muda jamaa akapiga sound kama kawaida dada akakataa kata kata baada ya jamaa kuinsist sana dada akamwambia ana mtu wake. Sasa last weekend jmosi huyu kaka akamkaribisha kwake dada akampikia na baada ya hapo wakawa wanaangalia movie basii jamaa akachombeza akala mzigo.Sasa j3 asubuhi dada akamtxt akamwambia. Asahau kilichotokea jmosi kwasababu anamtu wake.Sasa tunamshauri vip? aendelee ama aachane nae

Atakua alimpapasa tu..........hamna demu anayesahau k*t*mbo cha uakika. Kama angemsugua vizuri lazima hiyo J3 cha kwanza angeenda kumsalimia kabla hata ya kufungua computer
 
Sasa ananga'ng'ania nin sasa..
Mwisho wake huyo yatamkuta yakumkuta..
 
Huyo dada kwa kweli hana mtu...., ndio maana akamjaribu jamaa kama yupo vizuri kunako 6 x 6. Damu kaona jamaa kachemka atomvumilia katika ndoa, vizuri dada umemsaidia kijana mweze2. Ukisikia mchezaji kaenda uingereza kujaribiwa soka la EPL ila kachindwa amerudishwa bongo...Ndio huyo jamaa alivyofanyiwa. Eti Lady Doctor Tia neno hapo....
 
Its my friend's story

Anafanya kazi kwenye shirika moja la pensheni, wakati anaanza kazi mwaka mmoja uliopita, walianza kazi na dada mmoja ambaye walitokea kuzoeana, baada ya muda jamaa akapiga sound kama kawaida dada akakataa kata kata baada ya jamaa kuinsist sana dada akamwambia ana mtu wake. Sasa last weekend jmosi huyu kaka akamkaribisha kwake dada akampikia na baada ya hapo wakawa wanaangalia movie basii jamaa akachombeza akala mzigo.Sasa j3 asubuhi dada akamtxt akamwambia. Asahau kilichotokea jmosi kwasababu anamtu wake.Sasa tunamshauri vip? aendelee ama aachane nae

hahahaha halafu atakuwa alipiga dry huyo.
 
sa unataka ashauriwe nin tena wakati keshaambiwa asahau?? Unataka tumwambie akumbuke?
 
Ijapokuwa performance ilikuwa zero Hapa ndipo garama ya penzi inapofahamiaka
1. Wako ofisi moja
2. Wivu utakuwa mkubwa
3. Demu atakuwa anamsoma Jamaa, kama kweli alikuwa na nia thabiti au alitaka kuchezea nyeti na kuondoka
4./........../
 
Sa anataka nini tena?
Kama ni Mzigo kala, na bado king'ang'anizi. Je kama angekuwa hajapa ata huo Mzigo si ndo angeendelea kufatilia zaidi ya ata ya Miaka 5+.....
 
Mwambie jamaa yako anywe mchuzi wa pweza bila kusahau supu ya makongoro! Jamaa yako gemu hawezi kampaka shombo mtoto wa watu.
 
Its my friend's story

Anafanya kazi kwenye shirika moja la pensheni, wakati anaanza kazi mwaka mmoja uliopita, walianza kazi na dada mmoja ambaye walitokea kuzoeana, baada ya muda jamaa akapiga sound kama kawaida dada akakataa kata kata baada ya jamaa kuinsist sana dada akamwambia ana mtu wake. Sasa last weekend jmosi huyu kaka akamkaribisha kwake dada akampikia na baada ya hapo wakawa wanaangalia movie basii jamaa akachombeza akala mzigo.Sasa j3 asubuhi dada akamtxt akamwambia. Asahau kilichotokea jmosi kwasababu anamtu wake.Sasa tunamshauri vip? aendelee ama aachane nae

umetekenya mwili badala ya kutekenya moyo...
 
One nyt stand, jamaa imemtoa roho
Mtu akikupa sex sio kwamba anakupenda
 
huyo jamaa sasa anataka nini kama k kesha pata amuache mtot wawatu na bwana yake.......na akimuacha ndo atakuja kujua kama je amemtega tu anatak uhakika au kweli ana mshikaji
 
one night sex sio lazima i-lead kwenye relationship. km walivyosema wenzako, inawezekana dada hakupagaishwa cku hiyo. au labda alitaka ku-taste tu aonje ladha tofauti, kashaonja kaona hakuna jipya.

wewe umeshawahi kukutana na ladha ngapi?
 
Back
Top Bottom