USHAURI:Nimepiga ila bado anazingua

USHAURI:Nimepiga ila bado anazingua

Aendelee na nini sasa wakati demu keshaona shombo tupu hamna kitu wewe unafikiri jamaa angemtoa supu ya mifupani demu angepindua hata kama angekuwa ana malaika wake!

siku hizi naona stress zimepungua,,,,,,,,,,

huyu jamaa kwei atakuwa mtia shombo , sioni ni kwa jinsi gani nimgegede mwanamke mara moja halafu aje na blah blah ya ana mtu wake,,,,,,,,,,,,
 
Asiye shukuru kwa dogo hata kubwa halimfai.....kapewa hiyo jmos anataka mpka j3!!!!!huyo demu ameshamwambia ana mtu wake,,sasa yeye maswal yakuendelea nae anayapata wapi???au kisa kaonjeshwa ndo anaona kakubaliwa??wengine hawana hiyana anakupa tu lakin ndo hataki mahusiano na ww tena aftr game!!!!

ukikunwa vizuri mbona after game utamtafuta tu,,,,,,,,,,,,,,,,
 
huyo mdada hafai kama ana mtu wake kwa nini alimruhusu jamaa aingie kwenye himaya yake?hajui kama amechezea hisia za mwenzie?anajua malipo ya kuchezea hisia za mtu?mwambie huyo mwenzio aende na yeye akamharibie kwa huyo mtu wake ili wawe pasu kwa pasu,kwani inaonekana hayuko siriasi na uhusiano wake.

Hawezi kwenda haribu kwanza ataonekana mnafiki tu nkatoswa ndo maana analeta unafiki,all in all kwa sababu jamaa alikuwa na usongo sana na demu inaonesha hakufanya kazi vizuri
 
si ushamega kisela, kiu imeisha kama si kupungua.....sepaaaa.
 
Its my friend's story

Anafanya kazi kwenye shirika moja la pensheni, wakati anaanza kazi mwaka mmoja uliopita, walianza kazi na dada mmoja ambaye walitokea kuzoeana, baada ya muda jamaa akapiga sound kama kawaida dada akakataa kata kata baada ya jamaa kuinsist sana dada akamwambia ana mtu wake. Sasa last weekend jmosi huyu kaka akamkaribisha kwake dada akampikia na baada ya hapo wakawa wanaangalia movie basii jamaa akachombeza akala mzigo.Sasa j3 asubuhi dada akamtxt akamwambia. Asahau kilichotokea jmosi kwasababu anamtu wake.Sasa tunamshauri vip? aendelee ama aachane nae

Hiyo inawezekana kabisa. Jamaa yake atakuwa mbali so alimkubalia coz sex is healthy na inapaswa kufanywa at least once per month.
 
nna uhakika huyo jamaa hakugusa panapotakiwa....demu atakuwa anatema mate kla akimwona mshkaji..kachafuliwa
 
its my friend's story

anafanya kazi kwenye shirika moja la pensheni, wakati anaanza kazi mwaka mmoja uliopita, walianza kazi na dada mmoja ambaye walitokea kuzoeana, baada ya muda jamaa akapiga sound kama kawaida dada akakataa kata kata baada ya jamaa kuinsist sana dada akamwambia ana mtu wake. Sasa last weekend jmosi huyu kaka akamkaribisha kwake dada akampikia na baada ya hapo wakawa wanaangalia movie basii jamaa akachombeza akala mzigo.sasa j3 asubuhi dada akamtxt akamwambia. Asahau kilichotokea jmosi kwasababu anamtu wake.sasa tunamshauri vip? Aendelee ama aachane nae


hapo kwenye red, afanye hivo mara kwa mara.
 
makubwa ivi anataka ushauri au kibao?????nani kakuambia kutia ndo umekubaliwa?akili yake ni ndogo sana one nyt sex haina relation na kuaza mahusiano.............ale nduki cos hta mech hawez ndo mana huyu mdada kamtext hamtaki
 
Terms and condition apply
kwa kifupi huyo jamaa ako{ingawa ni wewe umeuliza kiujanja}hakum.t.o.m.b.a huyo demu vizuri,mademu hua wanakawaida ya kuwa na dharau pale wanapokua hawajatiwa vizuri.
 
siku hizi naona stress zimepungua,,,,,,,,,,

huyu jamaa kwei atakuwa mtia shombo , sioni ni kwa jinsi gani nimgegede mwanamke mara moja halafu aje na blah blah ya ana mtu wake,,,,,,,,,,,,

Hebu mwambie bhana hata demu mwenyewe aliachia mzigo kwa lengo hilo hilo kuona kama kuna cha moto hapo abadili mawazo lakini kaona hamna kitu mbwa aliye hai ni heri kuliko simba aliyekufa
 
Mwambie aache hizo swagger, atafute dem wake atulie... Anaogopa nini kuwa na mpenzi mmoja wa kudumu
 
Back
Top Bottom