Ushauri .. nimenunua noah min bus kwa ajili ya biashara

Ushauri .. nimenunua noah min bus kwa ajili ya biashara

Sina mda mrefu kwenye biashara ya babalishe lakini naona uzuri wa biashara hii ukipata point nzuri... huwezi amini huna siku mpaka unapata faida 50,000/ kujiajiri kuzuri sana .....
 
Back
Top Bottom