Pilot_In_Command
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,507
- 3,454
Nipo hali ngumu sana. Nimejisahau mtoto kanasa kitu aisee. Nimemshauri akatoe lakini amegoma kata kata kabisa! Sijui ana lengo gani kwangu. Ni kwamba nilijisahau kwakuwa nilikula bia sana hiyo siku.
Mm nina familia na ndoa ya kanisani kabisa.
Hali si hali kabisa. Sijui wife akijuw itakuwaje aisee. Ni mkali balaa.
Tuliopitia haya majanga tupeane maujuzi ya kujinasua na 30 years selo.
Asanteni.
HONGERA.. alaf LUGOLA unajua alisema nini kwa watu wanaofungwa gerezani??