Mkuu uko wapi nikuelekeze ofisi ya RPC? Pale wanawasaidiaga sana watu wa aina yako. Usijali kama huna nauli nakutumia boda jeupe la Konstebo, lile pikipiki lao huwa lina speed mpaka 250KM/hr, so litakuwahisha. Kikubwa uwe ushatoa kabisa mkanda na uvae malapa. Usipoteze hela ya kunyolea para, pale wananyoaga bure kabisa na msosi wanakupa free asee.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.