Mbwana mohamedi
Senior Member
- Aug 1, 2018
- 141
- 151
Hayo majanga chakufanya wewe kula Kona kwanza uka sikilizieNipo hali ngumu sana. Nimejisahau mtoto kanasa kitu aisee. Nimemshauri akatoe lakini amegoma kata kata kabisa! Sijui ana lengo gani kwangu. Ni kwamba nilijisahau kwakuwa nilikula bia sana hiyo siku.
Mm nina familia na ndoa ya kanisani kabisa.
Hali si hali kabisa. Sijui wife akijuw itakuwaje aisee. Ni mkali balaa.
Tuliopitia haya majanga tupeane maujuzi ya kujinasua na 30 years selo.
Asanteni.
ni vyema unaenda kukidhi haja zao.