Nipo hali ngumu sana. Nimejisahau mtoto kanasa kitu aisee. Nimemshauri akatoe lakini amegoma kata kata kabisa! Sijui ana lengo gani kwangu. Ni kwamba nilijisahau kwakuwa nilikula bia sana hiyo siku.
Mm nina familia na ndoa ya kanisani kabisa.
Hali si hali kabisa. Sijui wife akijuw itakuwaje aisee. Ni mkali balaa.
Tuliopitia haya majanga tupeane maujuzi ya kujinasua na 30 years selo.
Asanteni.
Mzee baba unaconsider ukali wa wife wako badala ya kifungo cha maisha jela, are you serious?
Nadhani hilo tendo kalifanya jirani yako, ila umekuja humu kupima upepo.
Katika kesi za ovyo ovyo na zenye matokeo mabaya ni hiyo ya kwako ya ukibaka na ingelikuwa ni ugonjwa tungelinganisha na kisonono.
Ugonjwa ambao ukiupata hauwezi kuomba ushauri kwa watu usiowajua kwa kuwa ni ugonjwa la aibu .
Hilo ni la kwako baba, hakuna mtu aliyestaarabika atakayeunguza nishati yake ya kichwa kubangua bongo ili kukusaidia kibaka.
Na sasa hivi Mzee Kangi anavyolazimisha wafungwa walime bila kupumzika, unakuwa haujitaki ama hilo halitakuhusu mkuu?
Hivi mwanaume matured kabisa, unaweza ukakasamamba katoto ka shule kimapenzi bila woga wowote, sijui kwa kujiamini nini!
Maana sheria za adhabu za kosa hilo zipo wazi mno na kila mtu anazielewa kama beti za wimbo wa taifa!
Kwa hili sikushauri mkuu, pita nalo utalimaliza mwenyewe mbele kwa mbele.
Mungu tena!