USHAURI : Nimempa mimba mwanafunzi

USHAURI : Nimempa mimba mwanafunzi

Nipo hali ngumu sana. Nimejisahau mtoto kanasa kitu aisee. Nimemshauri akatoe lakini amegoma kata kata kabisa! Sijui ana lengo gani kwangu. Ni kwamba nilijisahau kwakuwa nilikula bia sana hiyo siku.

Mm nina familia na ndoa ya kanisani kabisa.

Hali si hali kabisa. Sijui wife akijuw itakuwaje aisee. Ni mkali balaa.

Tuliopitia haya majanga tupeane maujuzi ya kujinasua na 30 years selo.

Asanteni.
Jiue utakuwa umesolve tatizo
 
Hukujisahau.

Ulidhamiria, kwakuwa kimenasa ndio unatafuta kijisababu.

Huyo Mwanafunzi kanifurahisha kwa Msimamo wake, na wewe usiendelee kumlazimisha acholopoe.

Ndio imeshatokea, wewe subiri matokeo.

Kama ungekuwa unamuheshimu MKEO usingetoka na MWANAFUNZI.

Kama ungekuwa unaiheshimu NDOA yako usingetoka na MWANAFUNZI.

Kama ungekuwa unaiheshimu FAMILIA yako usingetoka na MWANAFUNZI

Kama ungekuwa kweli unampenda MKEO usingetoka na MWANAFUNZI.
 
Mimba co ugonjwa.ila kimbia tuuuu la cvyo utaishia segerea
 
Nipo hali ngumu sana. Nimejisahau mtoto kanasa kitu aisee. Nimemshauri akatoe lakini amegoma kata kata kabisa! Sijui ana lengo gani kwangu. Ni kwamba nilijisahau kwakuwa nilikula bia sana hiyo siku.

Mm nina familia na ndoa ya kanisani kabisa.

Hali si hali kabisa. Sijui wife akijuw itakuwaje aisee. Ni mkali balaa.

Tuliopitia haya majanga tupeane maujuzi ya kujinasua na 30 years selo.

Asanteni.
Mtafute doctor nenda nae mwambie muende mkacheki km kweli ana mimba.ukifika ongea na Dr mpe vdonge mimba iharbike
 
Kubaliana na mkeo
Na yeye akajitongozeshe kwa baba wa mtoto wa shule akiliwa tu kesi imeisha
 
Badala ya kuanza/kutoroka unakuja jf kuanzisha uzi,kuja kushtuka polisi wako mlangoni kwako,
ANGALIZO:Jela sio kuzuri kabisa kama huamini muangalie singasinga Seth na Bilionea Rugemalila walivyo sana,usije sema hukuonywa

🙂🙂🙂
 
Nenda polisi katoe taarifa. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu
 
Nipo hali ngumu sana. Nimejisahau mtoto kanasa kitu aisee. Nimemshauri akatoe lakini amegoma kata kata kabisa! Sijui ana lengo gani kwangu. Ni kwamba nilijisahau kwakuwa nilikula bia sana hiyo siku.

Mm nina familia na ndoa ya kanisani kabisa.

Hali si hali kabisa. Sijui wife akijuw itakuwaje aisee. Ni mkali balaa.

Tuliopitia haya majanga tupeane maujuzi ya kujinasua na 30 years selo.

Asanteni.
Heri hata ukali wa mkeo kuliko ukali mh Waziri Mkuu. nakushauri ujiandae kisaikolojia maana jela kaka, kama ulikuwa tungi au laa jela ipo tu.
 
Kama upo dar nenda segelea, kama upo tbr nenda uyui kama upo mby nenda Rwanda jipeleke mapema ni wakat Wa kuvuna ulichopanda, una mke alaf unatafuta watoto? Ungekuwa karibu ningekuwa nmekukamata kwa lazima
Hahahahaaha kwakweli ni bora ajipeleke mwenyewe kuliko kuanza kusumbuana na vyombo vya Dola
 
Wakati unafanya upuuzi wako ulitushilikisha?basi hayo majanga yako kamshilikishe mkuu wa police ulipo alafu rais alisema mfanyishwe kazi usiku na mchanaa nakutakia maisha mema jera ila unaweza kutoa namba ya familia yako tuwe tunasaidia watoto nauli yakwenda shule
 
Nipo hali ngumu sana. Nimejisahau mtoto kanasa kitu aisee. Nimemshauri akatoe lakini amegoma kata kata kabisa! Sijui ana lengo gani kwangu. Ni kwamba nilijisahau kwakuwa nilikula bia sana hiyo siku.

Mm nina familia na ndoa ya kanisani kabisa.

Hali si hali kabisa. Sijui wife akijuw itakuwaje aisee. Ni mkali balaa.

Tuliopitia haya majanga tupeane maujuzi ya kujinasua na 30 years selo.

Asanteni.
itapendeza ukaendeleze huo ufuska wako selo
 
Ukifika tu jela wafungwa wenzako watakuuliza kulikoni mwenzetu kosa gani limekuleta humu wewe wajibu niujambazi ila ukiwajibu kuwa umempa mwanafunzi mimba ujue imekula kwako watakula kiboga hicho mpaka utaomba po!
 
hongera sana, maana sasa tunaotia mimba ni wachache sana!
 
Ingekuwa mimi ndio wewe. ningetangulia Gerezani kabisa,.. ningeenda segerea mapema kabla hata ya kesi kuanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom