Ushauri: Nimemfumania na mwanamke ndani kwake

Pole sana bidada. Kuumia tena kwa maumivu makali sana katika hali kama hii ni kitu cha kawaida sana. Mie kwa ushauri wangu usipoteze muda wako na huyu jamaa hasa kwa kutilia maanani kauli zake hapo kwenye rangi nyekundu. Pole sana.

Habari za asubuhi wana JF, natumani mu wazima. Naombeni msaada na ushauri wenu katika hili:

Mimi ni msichana wa miaka 26, nina mchumba tuliyedumu miaka 2 sasa kuanzia 2011 tulipomaliza chuo pamoja.

Nafanya kazi bank na yeye anasoma masters huku akifundika shule moja hapa jijini. Wakati tunaanza mahusiano kila mmoja alikuwa wazi kuhusu historia yake ya mahusiano ambapo mimi sikuwa kuwa na mpenz ila yeye aliwahi kuwa nao watatu. Tulikubaliana kuwa pamoja na tufunge ndoa mwakani 2014 na utambulisho tayari umefanyika.

Mara nyingi nakuta message za mapenz kwny sim yake kutoka kwa wapenzi wake wa zamani ila alikuwa mwepesi kuomba msamaha na kukiri kuacha na anasema hana mpango nao ni mawasiliano tu. Lakini hakuacha tabia hii alifuta majina zikaonekana namba tu na yupo makini sn na sim yake hata bafuni alikuwa anaenda nayo.

Hajawahi hata kunitoa out, hata nguo hajawahi kuninunulia na kwa sabab nina kazi nalipwa 3 times more ya mshahara wake sikuona shida sana.

Kinachoniumza ni hiki, miezi 2 iliyopita amenibadilikia sana mawasiliano hafifu just gmorning and g9t, nliumia sn ckujua nn kinaendelea. Nikapeleleza kumbe mpenzi wake wa zamani analala kwake siku ambayo mimi sijaenda. Juzi nikapigiwa simu na majirani zake kuwa huyo kuna mdada kaja kwa bf wako. Nikampigia simu kuwa 'nataman kuwa nawe leo' akaniambia nimechoka kweli naona tuonane kesho. Mimi nikaenda nikawakuta akaanza kutahamaki na kupanic.

Pamoja na hayo alichojibu baada ya kumtaka kumfaham aliyenae ni hiki:
1. Huna haja ya kufaham marafiki zangu ulishajulikana kwa ndugu zangu basi.
2. Huyu nilianza nae mahusiano kabla yako
3. Nina uwezo wa kuwa hata na wanawake 10 ni maisha yangu.

Naumia sana wandugu sijui la kufanya, ameomba msamaha kuwa ni shetani tu kampitia. Nishaurini ndugu zangu nifanye nini na maumivu haya makali nliyonayo.

Asanteni.
 
Last edited by a moderator:
Mungu anakupenda kwa kukuonyesha tabia ya huyo mtu kabla hamjafunga ndoa. Achana naye hima
 
usiombe ushauri wowote fanya maamuzi wewe mwenyewe kama ulivyochukua maamuzi ya kuwa naye bila kuomba ushauri hapa JF, kwanza nikuulize swali.. KWA NINI MNAZINI KABLA YA KUFUNGA NDOA?
 
Pole bidada..dalili ya mvua ni mawingu.kutokana na hayo majibu its crystal clear that hajali feelings zako na pia anasema sorry just because umegundua and he doesnt mean it..ushauri wangu..toka nduki shosti unafuga ukimwi ndani.na mshukuru Mungu kwa kukuondolea janga hilo.usimsamehe achana nae
 
Let him go girl! What's wrong with you girl! U got good career and well educated!They're plenty of great guys out there, are you driven with your feelings rather than your head? Probably he knows your weakness and he's using it to hurt you, c'mon grow up act like a lady and stop being a dumb fool.
 
Pole mdogo wangu.
Mi nakushauri umsamehe, ila sasa ujue huyo shetani aliempitia ni sehemu ya familia yenu. Kwa hiyo usiumie tena, delete maumivu kabisaa..

Si amesema alikuwa nao 4 kabla hako? Huyo ni mmoja wao? Muombe kwa kumbembeleza akukutanishe na hao 3 waliokutangulia ili hata ukikutana nao uwape heshima yao. Hao ndo waliomcoach mpenzio hadi akafikia kiwango cha L.Messi. Wape heshima zao na wakitaka kupima kiwango alichonacho sasa waruhusu tu ili wajue bado ana pumzi.

Harusi ni lini? Utushirikishe tuchangie na kama utahitaji matron na patron, mimi na paw tuko tayari. Tutajigharamia nguo na pia tutawasindikiza fungate kwa gaharama zetu
King hapa umegonga nyundo ya hatari. Hutaki ujinga kabisa. Hebu fikiria una binti kama huyu, si unaweza kuchanganyikiwa!
 
Mamaa pole saana natamani ningekuona nikakuliwaza but sina jinsi but unaitaji moyo shupavu asa kwa kipindi hiki kigumu ila usijali nitafute nikufariji tumia email hii kunitumia mawasiliano (kilumitech@gmail.com) tutazungumza zaidi pole mamaaa
 
Habari za asubuhi wana JF, natumani mu wazima. Naombeni msaada na ushauri wenu katika hili:

Mimi ni msichana wa miaka 26, nina mchumba tuliyedumu miaka 2 sasa kuanzia 2011 tulipomaliza chuo pamoja.

Nafanya kazi bank na yeye anasoma masters huku akifundika shule moja hapa jijini. Wakati tunaanza mahusiano kila mmoja alikuwa wazi kuhusu historia yake ya mahusiano ambapo mimi sikuwa kuwa na mpenz ila yeye aliwahi kuwa nao watatu. Tulikubaliana kuwa pamoja na tufunge ndoa mwakani 2014 na utambulisho tayari umefanyika.

Mara nyingi nakuta message za mapenz kwny sim yake kutoka kwa wapenzi wake wa zamani ila alikuwa mwepesi kuomba msamaha na kukiri kuacha na anasema hana mpango nao ni mawasiliano tu. Lakini hakuacha tabia hii alifuta majina zikaonekana namba tu na yupo makini sn na sim yake hata bafuni alikuwa anaenda nayo.

Hajawahi hata kunitoa out, hata nguo hajawahi kuninunulia na kwa sabab nina kazi nalipwa 3 times more ya mshahara wake sikuona shida sana.

Kinachoniumza ni hiki, miezi 2 iliyopita amenibadilikia sana mawasiliano hafifu just gmorning and g9t, nliumia sn ckujua nn kinaendelea. Nikapeleleza kumbe mpenzi wake wa zamani analala kwake siku ambayo mimi sijaenda. Juzi nikapigiwa simu na majirani zake kuwa huyo kuna mdada kaja kwa bf wako. Nikampigia simu kuwa 'nataman kuwa nawe leo' akaniambia nimechoka kweli naona tuonane kesho. Mimi nikaenda nikawakuta akaanza kutahamaki na kupanic.

Pamoja na hayo alichojibu baada ya kumtaka kumfaham aliyenae ni hiki:
1. Huna haja ya kufaham marafiki zangu ulishajulikana kwa ndugu zangu basi.
2. Huyu nilianza nae mahusiano kabla yako
3. Nina uwezo wa kuwa hata na wanawake 10 ni maisha yangu.

Naumia sana wandugu sijui la kufanya, ameomba msamaha kuwa ni shetani tu kampitia. Nishaurini ndugu zangu nifanye nini na maumivu haya makali nliyonayo.

Asanteni.

yaani anakujibu huo utumbo kwa jeuri halafu anakuambia shetani alimpitia..........

shetani my as.s...............

hapo hupendwi , huheshimiwi na wala huthaminiwi..........

chapa lapa ,,,,,,, na wewe hebu tafuta hata ladha ya dushulele zingine , tena unaweza kuta hata hajui kitu ila kwasababu umekuwa naye yeye tu basi ukaona umeridhika naye.
 
duh!!!!!!!!!! Kama tamthiliya vile.

Ila pole sana.
Sijawahiga kutoa pole kwa mambo yanayohusu malalamiko ya kimahusiano zaidi huwa ninakandia ila kwa hii hakika imeniumiza mno hvyo nalazimika kutoa POLE NYINGI kwako.

Tafakari mwenyewe kwa umakini juu ya yote yaliyotokea then chukua hatua mwafaka.
 
Pole mdogo wangu.
Mi nakushauri umsamehe, ila sasa ujue huyo shetani aliempitia ni sehemu ya familia yenu. Kwa hiyo usiumie tena, delete maumivu kabisaa..

Si amesema alikuwa nao 4 kabla hako? Huyo ni mmoja wao? Muombe kwa kumbembeleza akukutanishe na hao 3 waliokutangulia ili hata ukikutana nao uwape heshima yao. Hao ndo waliomcoach mpenzio hadi akafikia kiwango cha L.Messi. Wape heshima zao na wakitaka kupima kiwango alichonacho sasa waruhusu tu ili wajue bado ana pumzi.

Harusi ni lini? Utushirikishe tuchangie na kama utahitaji matron na patron, mimi na paw tuko tayari. Tutajigharamia nguo na pia tutawasindikiza fungate kwa gaharama zetu

ARE U Seriously???????????????????????? kwa ushauri huu?????????? ingekuwa wewe umepata hayo unashauriwa hivi ungekuali????? Embu vaa viatu vya mwenzio, feel anavyofeel sasa, camon girl!!!That is BIG NOOOOOOOOOO!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Pole sana bi.dada mapenzi ndio yalivyo sema uBlind hauwezi kuwepo kwa matukio anayokuonesha ni dhahir hakutaki maana haiwezekani ukute nsg za mapenzi halafu yeye aone ni kawaida tu na kana kwamba haitoshi anakuletea m/mke ndani sasa dada huyo ni husband yo be kweli au unajidanganya nafsi yako? Kifupi hawezi kuwa mume maana hajakuheshimu hata kidogo kukuletea m/mke mwenzako ndani ikiwa mmeshatambulishana hadi kwa wazaza.

Piga moyo konde na sali sana umuombe Mungu akupe Mume mwema.
 
Mamaa pole saana natamani ningekuona nikakuliwaza but sina jinsi but unaitaji moyo shupavu asa kwa kipindi hiki kigumu ila usijali nitafute nikufariji tumia email hii kunitumia mawasiliano (kilumitech@gmail.com) tutazungumza zaidi pole mamaaa

Kweli we noma mkuu na Email juu,,ulikuwa unamsubiria yeye nn muda wote?
 
Una miaka 26 na una mwanamme kwa miaka 2, huyu tu unaomzungumzia hapa, hatujui wengine wa kabla yake, pengine uliupoteza usichana wako miaka 10 nyuma na unajiita msichana? una uhakika na usichana wako?

Sasa umemfumania nini? kwani ni mumeo? wewe ulipoweza kumvulia kufuli yako kabla hajakuoa ulifikiri kuwa wengine hatoweza kuwarubuni wakavua kufuli zao kama alivyokurubuni wewe?

Watu kama wewe ndio mnaohalalisha kuzini wakati dini zote zinakataza.

Nenda kapime.

Safi dada, japo hard core sana!
 
KATOTY, Ni heri umeona mapema wakati inwezekana kutengana ukapata amani ndani yako kuliko ingekua umeshafunga ndoa na pengine una Watoto nae, Achana nae na endelea na maisha yako
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom