Ushauri: Nimemfumania na mwanamke ndani kwake

Ushauri: Nimemfumania na mwanamke ndani kwake

Ana take advantage ya kuwa wakwanza...ukiendelea naye ndio utajua kwa nini ulizaliwa mwanamke...

Afu sijuhi kwa nini wasichana wanaoolewa na first lovers uwa wana bugi...huna experience unadhani yeye ndo mwanaume pekee duniani...hawa jamaa wengi shukuruni zero wewe badala ya kumove on na ku explore dunia unatulia nae kama umewekewa gundi....

eti ameomba ,msamaha...maneno ya hovyo aliyotamka ameyasafisha kwa lugha ipi mpaka uuite 'msamaha' kama si tu wewe umejitoa ufahamu.


kweli experience is a good teacher,

sasa ulitaka na yeye avurugwe na wangapi ndo ajione amekomaa sasa na aweze kuolewa?

lol..funny!!!!!!
 
Nashkuru sana kwa ushauri wenu wa hekima na busara wana jf, naahidi kuufanyia kazi.

kaizer; natamani sana kurrespond ila ndipo ofisin kazi zimenibana hata sasa ni lunch time ndo nmeweza kujibu.
KATOTY pole sana..hapa usijishauri mara mbili...chapa mwendo
 
Last edited by a moderator:
abusive type fellow...atakusumbua sana.....lakini huo mstari kwamba hajakutoa out wala kukununulia chochote na unamzidi mshahara kwa nini umeuweka kwenye hii story....nina walakini kidogo hapo...usikute umetupa one side of story
 
Una miaka 26 na una mwanamme kwa miaka 2, huyu tu unaomzungumzia hapa, hatujui wengine wa kabla yake, pengine uliupoteza usichana wako miaka 10 nyuma na unajiita msichana? una uhakika na usichana wako?

Sasa umemfumania nini? kwani ni mumeo? wewe ulipoweza kumvulia kufuli yako kabla hajakuoa ulifikiri kuwa wengine hatoweza kuwarubuni wakavua kufuli zao kama alivyokurubuni wewe?

Watu kama wewe ndio mnaohalalisha kuzini wakati dini zote zinakataza.

Nenda kapime.

muda mwingne unajitambua kumbe... Ila ukiacha kushabikia chama cha masela utakua bright sana.
 
abusive type fellow...atakusumbua sana.....lakini huo mstari kwamba hajakutoa out wala kukununulia chochote na unamzidi mshahara kwa nini umeuweka kwenye hii story....nina walakini kidogo hapo...usikute umetupa one side of story

swadakta mkuu umenena vyema,hii story inauongo mtupu ndani yake,inaonekana tatizo ni outing,na nguo hamna kitu hapa.
 
Kwanza kabisa pole sana kwa yaliokukuta,nakushauri achana nae songa mbele na maisha yako,umemaliza chuo umeshapata kazi,tengeneza maisha yako kwanza,utampata aliye wako atakayekupenda na kukuheshimu.Usitumie kutambulishwa kama kigezo cha kuona ndiyo mwisho wa maisha,hakuna jipya.Nenda kapime afya yako ,hata kama kuumizwa kupo ili watu waumie,lakini utu wako ni wa thamani sana na wa kwanza kuuheshimu ni wewe mwenyewe,usipojijali hakuna atakayekusaidia kujijali,wewe ni wa thamani sana,hakuna jeraha lisilopona hata kama maumivu ni makali kiasi gani.SONGA MBELE.
 
Na wewe tafuta bwana mwingine halafu jifumanishe kwa huyo mchumba wako then subiri atakachofanya nawe kubaloana nalo tu ila ngoma droo
 
Haujachelewa bdo sicy, muhim ni kumuacha na kuendlea na maisha yako hakufai huyo angekuwa wa maana angejutia kosa na hata kukuomba msamaha bt ukwel ni kwamba ukimfumania mpenz wako hakuna lingne zaid ya kuachana nae
 
Mkuu ikiwa wewe kweli hujawahi kushiriki tendo hilo basi uwe wa kwanza kumtupia jiwe huyo binti.... Unajua kila jambo linawakati wake?? Huu siyo wakati wa kumshambulia kwa kushirikiana ngono na yule kijana muhuni.... Hata malaya wanaojiuza wakienda kupimwa na kukutwa nao huwahawashambuliwi.... Wanapewa nasaa kawaida tu... Anza na familia yako... Then wakiacha kufanya ngono kabla ya ndoa hamia mitandaoni sasa


umeongea vema mkuu. hawa wanafiki wakubwa.wenzako ana shuda unaanza kumlaumu. ndio mnafanya watu wajiue nyie. sijui wakijiuwa mtasambaza dini gani. huuyu kama sio alkaida ni talibani na kama sio talibani ni boko haramu au m23 na kama huku kote hayuko ni extremist asiyestahili kuishi katika dunia yetu ya upendo na kuthaminiana
 
lohhhh...wanaume ni wachache siku hizi usiwe mchoyo wenzio nao wanataka kufaid loh!kidogo kula na mwenzio.
 
Una miaka 26 na una mwanamme kwa miaka 2, huyu tu unaomzungumzia hapa, hatujui wengine wa kabla yake, pengine uliupoteza usichana wako miaka 10 nyuma na unajiita msichana? una uhakika na usichana wako?

Sasa umemfumania nini? kwani ni mumeo? wewe ulipoweza kumvulia kufuli yako kabla hajakuoa ulifikiri kuwa wengine hatoweza kuwarubuni wakavua kufuli zao kama alivyokurubuni wewe?

Watu kama wewe ndio mnaohalalisha kuzini wakati dini zote zinakataza.

Nenda kapime.[/QUOTE

wewe nae unamcrush mwenzako as if wewe uliolewa au bado ni bikra..stop being ignorant kiasi hicho...je wajua watotot wako au wadogo zako kama bado ni mabikra,japo hawajaoa/kuolewa...you are always weird ..sijui wewe ni kiumbe wa aina gani.!!
 
Habari za asubuhi wana JF, natumani mu wazima. Naombeni msaada na ushauri wenu katika hili:

Mimi ni msichana wa miaka 26, nina mchumba tuliyedumu miaka 2 sasa kuanzia 2011 tulipomaliza chuo pamoja.

Nafanya kazi bank na yeye anasoma masters huku akifundika shule moja hapa jijini. Wakati tunaanza mahusiano kila mmoja alikuwa wazi kuhusu historia yake ya mahusiano ambapo mimi sikuwa kuwa na mpenz ila yeye aliwahi kuwa nao watatu. Tulikubaliana kuwa pamoja na tufunge ndoa mwakani 2014 na utambulisho tayari umefanyika.

Mara nyingi nakuta message za mapenz kwny sim yake kutoka kwa wapenzi wake wa zamani ila alikuwa mwepesi kuomba msamaha na kukiri kuacha na anasema hana mpango nao ni mawasiliano tu. Lakini hakuacha tabia hii alifuta majina zikaonekana namba tu na yupo makini sn na sim yake hata bafuni alikuwa anaenda nayo.

Hajawahi hata kunitoa out, hata nguo hajawahi kuninunulia na kwa sabab nina kazi nalipwa 3 times more ya mshahara wake sikuona shida sana.

Kinachoniumza ni hiki, miezi 2 iliyopita amenibadilikia sana mawasiliano hafifu just gmorning and g9t, nliumia sn ckujua nn kinaendelea. Nikapeleleza kumbe mpenzi wake wa zamani analala kwake siku ambayo mimi sijaenda. Juzi nikapigiwa simu na majirani zake kuwa huyo kuna mdada kaja kwa bf wako. Nikampigia simu kuwa 'nataman kuwa nawe leo' akaniambia nimechoka kweli naona tuonane kesho. Mimi nikaenda nikawakuta akaanza kutahamaki na kupanic.

Pamoja na hayo alichojibu baada ya kumtaka kumfaham aliyenae ni hiki:
1. Huna haja ya kufaham marafiki zangu ulishajulikana kwa ndugu zangu basi.
2. Huyu nilianza nae mahusiano kabla yako
3. Nina uwezo wa kuwa hata na wanawake 10 ni maisha yangu.

Naumia sana wandugu sijui la kufanya, ameomba msamaha kuwa ni shetani tu kampitia. Nishaurini ndugu zangu nifanye nini na maumivu haya makali nliyonayo.

Asanteni.
Achana nae huyo zemfala hayo
 
wewe nae unamcrush mwenzako as if wewe uliolewa au bado ni bikra..stop being ignorant kiasi hicho...je wajua watotot wako au wadogo zako kama bado ni mabikra,japo hawajaoa/kuolewa...you are always weird ..sijui wewe ni kiumbe wa aina gani.!!

Mkuu kama ulikuwa na mimi...anajidai yeye bikra na anajua kujitunza kumbe ni maneno ya kwenye mitandao jioni usishangae yuko KONA BAR au BUGURUNI
 
Back
Top Bottom