Ushauri: Nimemfumania na mwanamke ndani kwake

Ushauri: Nimemfumania na mwanamke ndani kwake

Habari za asubuhi wana JF, natumani mu wazima. Naombeni msaada na ushauri wenu katika hili:

Mimi ni msichana wa miaka 26, nina mchumba tuliyedumu miaka 2 sasa kuanzia 2011 tulipomaliza chuo pamoja.

Nafanya kazi bank na yeye anasoma masters huku akifundika shule moja hapa jijini. Wakati tunaanza mahusiano kila mmoja alikuwa wazi kuhusu historia yake ya mahusiano ambapo mimi sikuwa kuwa na mpenz ila yeye aliwahi kuwa nao watatu. Tulikubaliana kuwa pamoja na tufunge ndoa mwakani 2014 na utambulisho tayari umefanyika.

Mara nyingi nakuta message za mapenz kwny sim yake kutoka kwa wapenzi wake wa zamani ila alikuwa mwepesi kuomba msamaha na kukiri kuacha na anasema hana mpango nao ni mawasiliano tu. Lakini hakuacha tabia hii alifuta majina zikaonekana namba tu na yupo makini sn na sim yake hata bafuni alikuwa anaenda nayo.

Hajawahi hata kunitoa out, hata nguo hajawahi kuninunulia na kwa sabab nina kazi nalipwa 3 times more ya mshahara wake sikuona shida sana.

Kinachoniumza ni hiki, miezi 2 iliyopita amenibadilikia sana mawasiliano hafifu just gmorning and g9t, nliumia sn ckujua nn kinaendelea. Nikapeleleza kumbe mpenzi wake wa zamani analala kwake siku ambayo mimi sijaenda. Juzi nikapigiwa simu na majirani zake kuwa huyo kuna mdada kaja kwa bf wako. Nikampigia simu kuwa 'nataman kuwa nawe leo' akaniambia nimechoka kweli naona tuonane kesho. Mimi nikaenda nikawakuta akaanza kutahamaki na kupanic.

Pamoja na hayo alichojibu baada ya kumtaka kumfaham aliyenae ni hiki:
1. Huna haja ya kufaham marafiki zangu ulishajulikana kwa ndugu zangu basi.
2. Huyu nilianza nae mahusiano kabla yako
3. Nina uwezo wa kuwa hata na wanawake 10 ni maisha yangu.

Naumia sana wandugu sijui la kufanya, ameomba msamaha kuwa ni shetani tu kampitia. Nishaurini ndugu zangu nifanye nini na maumivu

haya makali nliyonayo.

Asanteni.
Pole saana, usiwe mjinga huyo jamaa ni mzinzi, achana naye kabisaa, utakufa na ukimwi ukimfatilia!! Mume mzuri anatoka kwa Bwn!! Go'd day!!
 
Mbona hukutakiwa kuja mbali kote kuja kuomba ushauri achana nae..
 
Madem watu wa ajabu sana. Hapo anasuburi ndoa ifungwe halafu ndio aanze kufight kutoka. Maana ya uchumba ni kupata muda wa kusomana tabia, ili mkiona hamwezani kila mtu achukue time yake mapema. Unachofanya hapo ni kwamba unajidanganya kuwa wewe ni bora kuliko hao, kumbe ukweli anaujua mshikaji. Na kwa dalili anazoonyesha wewe si lolote si chochote kwake kwa sababu kipindi cha uchumba ndio huwa tunaficha makucha ambayo tunayaonyesha baadae. Tumia muda huu unaoita wa uchumba vizuri.
 
Huyo hakutaki in feature atakutesa na utajuta, kufahamika kwako kwao hiyo ni danganya toto, nakushauri kaa mbali naye hakuna shetani hapo hata shetani anashangaa kwa kusingiziwa hivo the man his not for you. afu magonjwa ni mengi atakuuwa. tulia Mungu atakusaidia utapata mtu atakaye kupenda na kukuthamini na utayafurahia maisha ya mapenzi.
anakuona wa nini lkn kuna mtu anasema atakupata lin...
 
1383407317405.jpg
 
mdudu(HIV) anakunyemelea we jifanye pendapenda tuuu.
 
nionavyo mimi, huyu jamaa hana mapenzi na wewe zaidi ya kukufanya ATM yake, sidhani kama kuna haja ya kuuliza hapa jf kama hutaki kuumizwa zaidi. M'delete' haraka sana toka kwenye harddisk yako!!
 
Una miaka 26 na una mwanamme kwa miaka 2, huyu tu unaomzungumzia hapa, hatujui wengine wa kabla yake, pengine uliupoteza usichana wako miaka 10 nyuma na unajiita msichana? una uhakika na usichana wako?

Sasa umemfumania nini? kwani ni mumeo? wewe ulipoweza kumvulia kufuli yako kabla hajakuoa ulifikiri kuwa wengine hatoweza kuwarubuni wakavua kufuli zao kama alivyokurubuni wewe?

Watu kama wewe ndio mnaohalalisha kuzini wakati dini zote zinakataza.

Nenda kapime.

Dada sijaona mahali aliposema ameshazini na huyo jamaa. Kwani we ulikutunaje na mwanaume wako? Au ndo unataka kusema hujaolewa na bado ni bikira?mbona dada wa watu anaonekana yupo serious na uhusiano wake na hana haja ya kuendelea kuzini ila anataka ndoa?toa ushauri na uache roho mbaya na siyo kila maisha uliyopitia wewe ya kuchezewa na wengine wameyapitia
 
Habari za asubuhi wana JF, natumani mu wazima. Naombeni msaada na ushauri wenu katika hili:

Mimi ni msichana wa miaka 26, nina mchumba tuliyedumu miaka 2 sasa kuanzia 2011 tulipomaliza chuo pamoja.

Nafanya kazi bank na yeye anasoma masters huku akifundika shule moja hapa jijini. Wakati tunaanza mahusiano kila mmoja alikuwa wazi kuhusu historia yake ya mahusiano ambapo mimi sikuwa kuwa na mpenz ila yeye aliwahi kuwa nao watatu. Tulikubaliana kuwa pamoja na tufunge ndoa mwakani 2014 na utambulisho tayari umefanyika.

Mara nyingi nakuta message za mapenz kwny sim yake kutoka kwa wapenzi wake wa zamani ila alikuwa mwepesi kuomba msamaha na kukiri kuacha na anasema hana mpango nao ni mawasiliano tu. Lakini hakuacha tabia hii alifuta majina zikaonekana namba tu na yupo makini sn na sim yake hata bafuni alikuwa anaenda nayo.

Hajawahi hata kunitoa out, hata nguo hajawahi kuninunulia na kwa sabab nina kazi nalipwa 3 times more ya mshahara wake sikuona shida sana.

Kinachoniumza ni hiki, miezi 2 iliyopita amenibadilikia sana mawasiliano hafifu just gmorning and g9t, nliumia sn ckujua nn kinaendelea. Nikapeleleza kumbe mpenzi wake wa zamani analala kwake siku ambayo mimi sijaenda. Juzi nikapigiwa simu na majirani zake kuwa huyo kuna mdada kaja kwa bf wako. Nikampigia simu kuwa 'nataman kuwa nawe leo' akaniambia nimechoka kweli naona tuonane kesho. Mimi nikaenda nikawakuta akaanza kutahamaki na kupanic.

Pamoja na hayo alichojibu baada ya kumtaka kumfaham aliyenae ni hiki:
1. Huna haja ya kufaham marafiki zangu ulishajulikana kwa ndugu zangu basi.
2. Huyu nilianza nae mahusiano kabla yako
3. Nina uwezo wa kuwa hata na wanawake 10 ni maisha yangu.

Naumia sana wandugu sijui la kufanya, ameomba msamaha kuwa ni shetani tu kampitia. Nishaurini ndugu zangu nifanye nini na maumivu haya makali nliyonayo.

Asanteni.

Pole sana sister:
Me nakushauli achana nae sababu huko mbele atakuliza hadi utajuta..... Kutambulishwa sio hoja. achana nae and i hope good mens wako wengi na utapata mzuri zaidi yake.
 
Nilikuwa nasoma kwa nje, umenifanya niingie ndani..
Hiv we FaizaFoxy hivi ni mtu wa wapi ?
Matatizo na kujisahau tumeumbiwa nayo, kama kweli wewe ni mkamilifu endelea kushushia maudhi mwenzio lakin bora wewe una amani na ndoa/maisha yako.
Amesha sema YEYE HAKUWA NA MWANAUME ILA JAMAA ALIKUWA NAE WATATU, we unaanza kuleta majungu yako ya kuhisi hapa!
Kama una halilisha "Ubaya Ubaya" we m'baya kuliko hata mnyama wa porini!
Hata kama alipoteza usichana wake mapema (japo amesema hakuwai), yawezekana hakuwa anajielewa na mazingira, na hakuwa nae huyu wasasa akamsaliti, sahiv yuko serious anataka maisha wewe unashangilia!!
Utazaa na utakuwa na watoto tena wakike. Hujui watakuwa vipi.
 
Last edited by a moderator:
bora umemwambia, manake huyu mwanamke inaonekana ana roho ya mtumba saaana..
 
Unajua nikupe na siri kidogo ukishaona BF wako ameweza kuleta mwanamke ndani ya room amabayo wewe kama mhusika mkuu wa hapo jua hapo tena ni majanga
Cha pili sioni sababu ya nyie kuendelea kuwa wapenzi wakati tayari mpo na fursa nzuri ya kuhimili maisha ya ndoa labda tu swali kwako kwanini mliamua kupanga harusi au ndoa 2014?
Kisha nitaendelea na Ushauri wangu kwa kina
 
Nilikuwa nasoma kwa nje, umenifanya niingie ndani..
Hiv we FaizaFoxy hivi ni mtu wa wapi ?
Matatizo na kujisahau tumeumbiwa nayo, kama kweli wewe ni mkamilifu endelea kushushia maudhi mwenzio lakin bora wewe una amani na ndoa/maisha yako.
Amesha sema YEYE HAKUWA NA MWANAUME ILA JAMAA ALIKUWA NAE WATATU, we unaanza kuleta majungu yako ya kuhisi hapa!
Kama una halilisha "Ubaya Ubaya" we m'baya kuliko hata mnyama wa porini!
Hata kama alipoteza usichana wake mapema (japo amesema hakuwai), yawezekana hakuwa anajielewa na mazingira, na hakuwa nae huyu wasasa akamsaliti, sahiv yuko serious anataka maisha wewe unashangilia!!
Utazaa na utakuwa na watoto tena wakike. Hujui watakuwa vipi.

Wewe u punguani kwa uhalisia wake.

Nani alimtuma akavue kufuli yake kabla ya kuolewa, ni wewe au dini yako?

Kama "jamaa" yako huyo kisha sema alikuwa ana wanawake wengine kwanini nisimwabie akapime? ana uhakika gani kuwa ni mzima kwenye ngono za watu wengi.

Kuwa makini wewe, yeyote yule anaefanya upuuzi na ni mtu mzima ni wa kukemewa si wa kuonewa huruma hata kidogo. Umuonee huruma ili iweje? kama kayakanyaga aendelee na yeye kuyasambaza?

Akapime halafu alinde tupu yake.
 
Unataka tukushauri nini?

Wanaume wameisha?

Hebu jipende na kujithamini mwenyewe

Hakufai huyo
 
Back
Top Bottom