Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,789
- 4,833
Hayatuhusu. This is your private business.
pengine hayakuhusu wewe mkuu ,wengine tunahisi kuguswa na kuhusika kabisa na hili suala.
Hayatuhusu. This is your private business.
Pamoja na hayo alichojibu baada ya kumtaka kumfaham aliyenae ni hiki,
1. Huna haja ya kufaham marafiki zangu ulishajulikan kwa ndugu zangu basi.
2. Huyu nlianza nae mahusiano kabla yako
3. Nina uwezo wa kuwa hata na wanawake 10 ni maisha yangu.
Naumia sana wandugu sijui la kufanya, ameomba msamaha kuwa ni shetan tu kampitia. Nishaurini ndugu zangu nifanye nn na maumivu haya makali nliyonayo.
Asanteni.
Kufumbatia maji kama jiwe ni ujinga.....!!! Kusoma hujui... Hata picha huoni mdogo wangu???
Mh! na wewe nawe ndio mambo gani ya kumshauri mwenzioWee utakuwa mwanamke mzuri sana wa kuoa atiii. Hebu ona hizi mambo;
Asee hebu njoo huku kwangu buanaa....wee ndo wa kuoa atii
- Una hela za kumtunza (una mzidi mshahara mara 3),
- Unakuta meseji za wapenzi unatulia,
- Unapigiwa simu kuna mwanamke ndani unaomba ruhusa ya kwenda,
- Unamkuta na mtu ndani na maneno machafu juu bado hujajua cha kuamua,
- Unaonekana una dalili za kurudi tena akija kupiga goti vizuri!!!
Mkuu ikiwa wewe kweli hujawahi kushiriki tendo hilo basi uwe wa kwanza kumtupia jiwe huyo binti.... Unajua kila jambo linawakati wake?? Huu siyo wakati wa kumshambulia kwa kushirikiana ngono na yule kijana muhuni.... Hata malaya wanaojiuza wakienda kupimwa na kukutwa nao huwahawashambuliwi.... Wanapewa nasaa kawaida tu... Anza na familia yako... Then wakiacha kufanya ngono kabla ya ndoa hamia mitandaoni sasa
Shekh mbona mkali???? Ni kweli ni hairuhusiwi kugegedana kabla ya ndoa ila ni ngumu sana kuishi bila hiyo kitu... Mahusiano hayatafika popote... Dada zetu hawa wanamambo mengi sana.. Usipomgegeda wewe wenzio watamgegeda tu... Hilo ndo tatizo haswaaaaa... Kwanza sisi tunaambiwa yeyeto akimtazama mwanamke kwa kumtamani tu kishazini naye... Kwa mustakabali huo basi wanaume wote vijana kwa wazee uzinifu ni dhambi yetu ya asili coz kwa siku unaweza kuwatamani hata wanawake 10 tofauti....Aliye kataza sex kabla ya ndoa sio mimi au familia yangu, ni Mungu, ukiwa unataka kumrushia mawe Mungu, we mrushie yeye sio mimi, si unaona vipi wewe kichaa.
Afu kwenye familia yangu, si unajua Babu yangu aliowa wake wanne, sijui kama hakuna wanamna hio lakini nikija wakuta. Ujuwe Al shabab hafai kitu, watajuta kuzaliwa.
Pole mdogo wangu.
Mi nakushauri umsamehe, ila sasa ujue huyo shetani aliempitia ni sehemu ya familia yenu. Kwa hiyo usiumie tena, delete maumivu kabisaa..
Si amesema alikuwa nao 4 kabla hako? Huyo ni mmoja wao? Muombe kwa kumbembeleza akukutanishe na hao 3 waliokutangulia ili hata ukikutana nao uwape heshima yao. Hao ndo waliomcoach mpenzio hadi akafikia kiwango cha L.Messi. Wape heshima zao na wakitaka kupima kiwango alichonacho sasa waruhusu tu ili wajue bado ana pumzi.
Harusi ni lini? Utushirikishe tuchangie na kama utahitaji matron na patron, mimi na paw tuko tayari. Tutajigharamia nguo na pia tutawasindikiza fungate kwa gaharama zetu
Every case should be judged on its own merits.Kosa la mwingine halihalalishi kosa lako.Wote ni wezi uyu Katoty na huyo anayemwita mpenzi wa zamani wa mtarajiwa wake huyo,Ninachoona hapa ni mwizi kutaka asiibiwe na mwizi mwezie.Ila kizuri ninachokiona hapa mleta mada anasema alimfumania na mpenzi wa zamani hivyo nothing much to worry ila kitu kingine tunachoweza ku-note hapa huyu si mpenzi wa zamani kama bado wanaendelea ni bora Katoty ukamwita uyo mdada mpenzi mtangulizi wa mtarajiwa wako kwani wanafanya mapenzi hadi leo.Kikubwa Katoty kaa na uyu mtarajiwa wako mujadili the way forward kwani yalotokea yameshatokea ili mufikie maamuzi/uamuzi wa pamoja kwa mustakabali wa maisha yenu ya baadae.
Umeongea point nzuri sana.Shekh mbona mkali???? Ni kweli ni hairuhusiwi kugegedana kabla ya ndoa ila ni ngumu sana kuishi bila hiyo kitu... Mahusiano hayatafika popote... Dada zetu hawa wanamambo mengi sana.. Usipomgegeda wewe wenzio watamgegeda tu... Hilo ndo tatizo haswaaaaa... Kwanza sisi tunaambiwa yeyeto akimtazama mwanamke kwa kumtamani tu kishazini naye... Kwa mustakabali huo basi wanaume wote vijana kwa wazee uzinifu ni dhambi yetu ya asili coz kwa siku unaweza kuwatamani hata wanawake 10 tofauti....
Halafu tukirudi upande wenu nyinyi mnafundishwa siyo kufanya tu.. Bali msiikaribie zinaaa kabisahhh...!!!! Kwa mantiki hiyo basi kuangalia pono... Phonesexing... Kuzungumzia mambo haya ya uzinifu tayari tunadhambi machoni pa mwenyezi Mungu... Narudia tena.. Kila mtu hapa ni mchafu.. Aliye msafi basi amtupie huyu mwali jiwe...
Huu ushauri wako inaonyesha unahasira ila umeweza ku control hizo hasira ndo ukatoa ushauri kama huu. mwenye akili ataelewa unamaanisha niniPole mdogo wangu.
Mi nakushauri umsamehe, ila sasa ujue huyo shetani aliempitia ni sehemu ya familia yenu. Kwa hiyo usiumie tena, delete maumivu kabisaa..
Si amesema alikuwa nao 4 kabla hako? Huyo ni mmoja wao? Muombe kwa kumbembeleza akukutanishe na hao 3 waliokutangulia ili hata ukikutana nao uwape heshima yao. Hao ndo waliomcoach mpenzio hadi akafikia kiwango cha L.Messi. Wape heshima zao na wakitaka kupima kiwango alichonacho sasa waruhusu tu ili wajue bado ana pumzi.
Harusi ni lini? Utushirikishe tuchangie na kama utahitaji matron na patron, mimi na paw tuko tayari. Tutajigharamia nguo na pia tutawasindikiza fungate kwa gaharama zetu