Ushauri: Nimemfumania na mwanamke ndani kwake

Ushauri: Nimemfumania na mwanamke ndani kwake

Yani ni kweli hujui la kufanya hadi sasa?

Ni wazi unaona uwezi kuishi bila yeye na hilo ndio tatizo ndio maana unacho tafuta ni kuambiwa msamehe japo wewe ulisha fanya maamuzi ya kuendelea nae.

Yani una stahili viboko.

Hata hivyo msome King'asti kaongea kila kitu unachotaka.
 
Last edited by a moderator:
kama nimempata vizuri kasema kua yeye"binti"huyo ndo mwanaume wake wa kwanza sasa shutuma zote hizo za nini jamani wakati binti amejitahidi sana kujitunza kwa kipindi chote hicho?hilo la kujidai eti chupi uvue ukiingia kwenye ndoa hua siliafiki hata robo,haya ukaingia huko ndani ukakutana na bomu la nyukilia utamlilia nani?haya yeye akawa safi hafu wewe ukawa sio type yake kwanini asiwakumbuke hao wa zamani?unadhani ndoa ndio itabadilisha ukweli?lazima mjuane kabla ya kuingia huko ndani weakness zenu pamoja na strength zenu.
Bidada uamuzi uko kifuani kwako kama uko tayari kumvumilia hiyo tabia yake vizuri endelea nae ila kama huwezi you better pack your stuffs and leave,kwani msikia uchungu kwa kumuacha ni wewe na msikia raha kwa kumvumilia pia niwewe,chukua maamuzi magumu as we know the hardest decision to make is whether we quit or try hard,ni hayo tu
 
DAH! Pole sana mdada, hizo ndo changamoto za mapenzi, ila utazame tena moyo wako uone ana nafasi gani ndani yako, kisha jaribu kuutazama moyo wake kupitia matendo yake uone una nafasi gani kwake, then changanua kupitia matukio tangu muanze mahusiano uone kama anakuthamini kwa kiasi gani, then fanya maamuzi, kumuacha inauma ila sio mwisho wa mapenzi, but kukubwa ni kwamba hana hofu ya Mungu na ndo maana anafanya matendo kama hayo bila woga na kuthubutu kunena maneno hayo, if you can 'let go and let God' its better than to wait for more suffering while there so many looking for commited women out there. fanya maamuzi kabla hujachelewa ila uwe na busara na muombe Mungu akusaidie pindi unapotaka kufikia maamuzi yako. kuwa jasiri na endelea kuwa mwaminifu ila cha msingi 'kila asubui na jioni, piga magoti muombe Mungu akupe mume anayekupenda na kukuthamini kama ulivyo bile kujali ulicho nacho au we ni nani, mwambie Mungu kila kitu kuhusu mume unayemtaka na uamini hivyo Mungu ni mwaminifu na atakujibu kwa kua tayari anaona mateso na maumivu unayoyaapata' pole kwa yote yalokukuta ila usiwaze, meachie Mungu, pata mda wa kufurahi na kufanya mambo mengine ya kimaisha. ahsante
 
pole sana ndugu..
huyo ajaandikiwa wako..
omba mungu chapa kazi sana na spend time na marafiki zako wakuondoe upweke..
Mungu hamtupi mja wake,,mwakani tuu utapata kijana perfect ,,kwa jina la yesu nakuombeaa:amen::amen:
 
Hayo majibu tu tosha kukamata na kutupa kuleeeee na kuchapa lapa la nguvu
 
Habari za asubuhi wana JF, natumani mu wazima. Naombeni msaada na ushauri wenu katika hili:

Mimi ni msichana wa miaka 26, nina mchumba tuliyedumu miaka 2 sasa kuanzia 2011 tulipomaliza chuo pamoja.

Nafanya kazi bank na yeye anasoma masters huku akifundika shule moja hapa jijini. Wakati tunaanza mahusiano kila mmoja alikuwa wazi kuhusu historia yake ya mahusiano ambapo mimi sikuwa kuwa na mpenz ila yeye aliwahi kuwa nao watatu. Tulikubaliana kuwa pamoja na tufunge ndoa mwakani 2014 na utambulisho tayari umefanyika.

Mara nyingi nakuta message za mapenz kwny sim yake kutoka kwa wapenzi wake wa zamani ila alikuwa mwepesi kuomba msamaha na kukiri kuacha na anasema hana mpango nao ni mawasiliano tu. Lakini hakuacha tabia hii alifuta majina zikaonekana namba tu na yupo makini sn na sim yake hata bafuni alikuwa anaenda nayo.

Hajawahi hata kunitoa out, hata nguo hajawahi kuninunulia na kwa sabab nina kazi nalipwa 3 times more ya mshahara wake sikuona shida sana.

Kinachoniumza ni hiki, miezi 2 iliyopita amenibadilikia sana mawasiliano hafifu just gmorning and g9t, nliumia sn ckujua nn kinaendelea. Nikapeleleza kumbe mpenzi wake wa zamani analala kwake siku ambayo mimi sijaenda. Juzi nikapigiwa simu na majirani zake kuwa huyo kuna mdada kaja kwa bf wako. Nikampigia simu kuwa 'nataman kuwa nawe leo' akaniambia nimechoka kweli naona tuonane kesho. Mimi nikaenda nikawakuta akaanza kutahamaki na kupanic.

Pamoja na hayo alichojibu baada ya kumtaka kumfaham aliyenae ni hiki:
1. Huna haja ya kufaham marafiki zangu ulishajulikana kwa ndugu zangu basi.
2. Huyu nilianza nae mahusiano kabla yako
3. Nina uwezo wa kuwa hata na wanawake 10 ni maisha yangu.

Naumia sana wandugu sijui la kufanya, ameomba msamaha kuwa ni shetani tu kampitia. Nishaurini ndugu zangu nifanye nini na maumivu haya makali nliyonayo.

Asanteni.

Dah...akili za wanawake bwana (ingawa si wote), sasa we endelea kulazimisha kua nae ili akuoe alafu baadae ujinyonge ama ufe na presha.
 
Huyo si mwanaume bali SHETANI.Huhitajiri ushauri mwingi zaidi ya kumpiga chini na kutema mate chini kama vile umeona mavi ya uharo.Wanaume wako wengi sana tuliza akili utapata mwingine.Huyo atakuteketeza kiakili na kimwili !!!!.
 
Hakupendi sasa zungumza nae ama usuke au kunyoa maana ni heri kuvunja uchumba kuliko kusubiri mfunge ndoa kisha ivunjike hakika utaumia sana sana!
 
NAOMBA USOME HII NA UIELEWE VIZURI

ROMANCE MATHEMATICS

Smart man + smart woman = romance
Smart man + dumb woman = affair
Dumb man + smart woman = marriage
Dumb man + dumb woman = pregnancy
______________________________
OFFICE ARITHMETIC

Smart boss + smart employee = profit
Smart boss + dumb employee = production
Dumb boss + smart employee = promotion
Dumb boss + dumb employee = overtime
_____________________________

SHOPPING MATH

A man will pay $20 for a $10 item he needs.
A woman will pay $10 for a $20 item that she doesn't need.
_____________________________

GENERAL EQUATIONS & STATISTICS

A woman worries about the future until she gets a husband.
A man never worries about the future until he gets a wife.
A successful man is one who makes more money than his wife can spend.
A successful woman is one who can find such a man.
_____________________________

HAPPINESS

To be happy with a man, you must understand him a lot and love him a little.
To be happy with a woman, you must love her a lot and not try to understand her at all.
______________________________

LONGEVITY

Married men live longer than single men do, but married men are a lot more willing to die.
______________________________

PROPENSITY TO CHANGE

A woman marries a man expecting he will change, but he doesn't.
A man marries a woman expecting that she won't change, and she does.
_____________________________

DISCUSSION TECHNIQUE

A woman has the last word in any argument.
Anything a man says after that is the beginning of a new argument.
_____________________________

HOW TO STOP PEOPLE FROM BUGGING YOU ABOUT GETTING MARRIED
Old aunts used to come up to me at weddings, poking me in the ribs and cackling, telling me, "You're next." They stopped after I started doing the same thing to them at funerals.

We ni mkali, Mkuuu
 
kwanini ninyi wanawake mkikutana na matatizo huwa mnashindwa cha kufanya???

kwa hiyo uko radhi kuendelea kumuona huyo jamaa mwenye fake masters akiendelea kufanya usenge mbele yako?

what a ----!!!!!
 
Pole sana na sitamani nije kukuona tena ukirudi kuomba ushauri. Hiyo ni dalili mbaya na uzinzi ni tabia hatoacha huyo. Kama unafurahia basi fungen ndoa ila kama ni tabia za kukukera bora uachane nae. Kama ana kipato cha manati anakufanyia hivyo cku akiwa na uwezo mzuri atakujia na madem wawil ndan na kuomba umpishe agegede.
 
Habari za asubuhi wana JF, natumani mu wazima. Naombeni msaada na ushauri wenu katika hili:

Mimi ni msichana wa miaka 26, nina mchumba tuliyedumu miaka 2 sasa kuanzia 2011 tulipomaliza chuo pamoja.

Nafanya kazi bank na yeye anasoma masters huku akifundika shule moja hapa jijini. Wakati tunaanza mahusiano kila mmoja alikuwa wazi kuhusu historia yake ya mahusiano ambapo mimi sikuwa kuwa na mpenz ila yeye aliwahi kuwa nao watatu. Tulikubaliana kuwa pamoja na tufunge ndoa mwakani 2014 na utambulisho tayari umefanyika.

Mara nyingi nakuta message za mapenz kwny sim yake kutoka kwa wapenzi wake wa zamani ila alikuwa mwepesi kuomba msamaha na kukiri kuacha na anasema hana mpango nao ni mawasiliano tu. Lakini hakuacha tabia hii alifuta majina zikaonekana namba tu na yupo makini sn na sim yake hata bafuni alikuwa anaenda nayo.

Hajawahi hata kunitoa out, hata nguo hajawahi kuninunulia na kwa sabab nina kazi nalipwa 3 times more ya mshahara wake sikuona shida sana.

Kinachoniumza ni hiki, miezi 2 iliyopita amenibadilikia sana mawasiliano hafifu just gmorning and g9t, nliumia sn ckujua nn kinaendelea. Nikapeleleza kumbe mpenzi wake wa zamani analala kwake siku ambayo mimi sijaenda. Juzi nikapigiwa simu na majirani zake kuwa huyo kuna mdada kaja kwa bf wako. Nikampigia simu kuwa 'nataman kuwa nawe leo' akaniambia nimechoka kweli naona tuonane kesho. Mimi nikaenda nikawakuta akaanza kutahamaki na kupanic.

Pamoja na hayo alichojibu baada ya kumtaka kumfaham aliyenae ni hiki:
1. Huna haja ya kufaham marafiki zangu ulishajulikana kwa ndugu zangu basi.
2. Huyu nilianza nae mahusiano kabla yako
3. Nina uwezo wa kuwa hata na wanawake 10 ni maisha yangu.

Naumia sana wandugu sijui la kufanya, ameomba msamaha kuwa ni shetani tu kampitia. Nishaurini ndugu zangu nifanye nini na maumivu haya makali nliyonayo.

Asanteni.

Pole sana... KATOTY!
Ni PM nikuondolee upweke huyo jamaa hakufai kabisa Dada!

Condition:If and only if wewe sio MCHAGGA!
 
Last edited by a moderator:
swadakta mkuu umenena vyema,hii story inauongo mtupu ndani yake,inaonekana tatizo ni outing,na nguo hamna kitu hapa.
....naona kila mtu ameitazama kwa upande mmoja...ukiangalia hayo majibu aliyopewa hapo chini kwenye hiyo story kunaonekana kuna tatizo....katupa one sided story ili kuseek sympathy
 
swadakta mkuu umenena vyema,hii story inauongo mtupu ndani yake,inaonekana tatizo ni outing,na nguo hamna kitu hapa.
Unadhani mtu atamsingizia fumanizi mchumba wake kisa nguo na outing?!! Akili umeiweka wapi? Yeye amesimlia tukio la kumfumania mchumba na majibu aliyopewa wewe unataka asimulie nini nje ya anachohitaji ushauri kukihusu. Angalieni mnapomjibu mtu mwenye shida, kwa kosa gani astahili kujibiwa utumbo vile
 
Hivi wanawake huwa mna akili gani? unaonaje ukimshauri huyo jamaa yako mwenye uwezo wa kuwafolenisha kumi wa jinsia yako aje humu atupe upande wake wa story.
 
pole sana rafiki! Mi nachoweza kukuambia ni kuwa kunguru hafugiki!
 
Hayo mapenzi ya maria clara yanawaumiza wengi sana. Yaani mnaendelea kulana lkn ndoa baada ya miaka 7?' Mbona ndoa ni kitu kidogo sana? Na kama kuchunguzana chunguzanini huku hakuna kugusana sio mnaanza uroda halafu utegemee mtu aje akuoe baada ya miaka 3 wakati kuna watoto kila siku wanazaliwa na wanamvuto kuliko fedha. Tuacheni mambo ya kuiga. Mapenzi kabla ya ndoa ni matatizo na haramu. Ila kama ukionyesha msimamo na kama anakupenda atafanya jitihada yandoa mapema ili asikukose, eti kama maziwa unapata yanini ufuge ng'ombe?
 
pole sana mamaa ki ukweli kuna mabo mengine unatiwa kua na msimamo kwa ajili yako na ndugu zako pia kam ulikua unafumani sms akafikia hatua ya kubadili namba huyo sio kiukweli utamsamehe leo next tym atakuletea ukimwi utakua umepata faida gani hiyo ni tabia yake maana hata majibu aliyokupa yanajionyesha fanya maamuzi magumu achana na hilo balaa uwe na amani usije kupat majuto zaidi ya hay namaliza kwa kusema pole sanaa kua na msimamo
 
Kashakulipa. Sepa.
Habari za asubuhi wana JF, natumani mu wazima. Naombeni msaada na ushauri wenu katika hili:

Mimi ni msichana wa miaka 26, nina mchumba tuliyedumu miaka 2 sasa kuanzia 2011 tulipomaliza chuo pamoja.

Nafanya kazi bank na yeye anasoma masters huku akifundika shule moja hapa jijini. Wakati tunaanza mahusiano kila mmoja alikuwa wazi kuhusu historia yake ya mahusiano ambapo mimi sikuwa kuwa na mpenz ila yeye aliwahi kuwa nao watatu. Tulikubaliana kuwa pamoja na tufunge ndoa mwakani 2014 na utambulisho tayari umefanyika.

Mara nyingi nakuta message za mapenz kwny sim yake kutoka kwa wapenzi wake wa zamani ila alikuwa mwepesi kuomba msamaha na kukiri kuacha na anasema hana mpango nao ni mawasiliano tu. Lakini hakuacha tabia hii alifuta majina zikaonekana namba tu na yupo makini sn na sim yake hata bafuni alikuwa anaenda nayo.

Hajawahi hata kunitoa out, hata nguo hajawahi kuninunulia na kwa sabab nina kazi nalipwa 3 times more ya mshahara wake sikuona shida sana.

Kinachoniumza ni hiki, miezi 2 iliyopita amenibadilikia sana mawasiliano hafifu just gmorning and g9t, nliumia sn ckujua nn kinaendelea. Nikapeleleza kumbe mpenzi wake wa zamani analala kwake siku ambayo mimi sijaenda. Juzi nikapigiwa simu na majirani zake kuwa huyo kuna mdada kaja kwa bf wako. Nikampigia simu kuwa 'nataman kuwa nawe leo' akaniambia nimechoka kweli naona tuonane kesho. Mimi nikaenda nikawakuta akaanza kutahamaki na kupanic.

Pamoja na hayo alichojibu baada ya kumtaka kumfaham aliyenae ni hiki:
1. Huna haja ya kufaham marafiki zangu ulishajulikana kwa ndugu zangu basi.
2. Huyu nilianza nae mahusiano kabla yako
3. Nina uwezo wa kuwa hata na wanawake 10 ni maisha yangu.

Naumia sana wandugu sijui la kufanya, ameomba msamaha kuwa ni shetani tu kampitia. Nishaurini ndugu zangu nifanye nini na maumivu haya makali nliyonayo.

Asanteni.
 
Hakuna kitu kizuri kama heshima na kujitambua. Maadam amediriki kutamka bayana manenoo ambayo yanaumiza basi tambua hapo huna chako. Mpishe ukae pemben anza maisha mapya bila yeye. Walau angeshtuka na kujutia ungeweza walau kuamin huyo bwana shetan waliongozana nae kwa muda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom