hahahhhhah! kisha amalizie na outing ya dinner lemon tree hotel kila week end, na shopping ya nguo malaika......lol!
Kuna manzi nimekutana naye ofisi 1 town, nimem mind kwa mmego tu,
nimemuomba namba yake kwa kuzuga kuwa kuna huduma ningehitaji hapo ofisini kwao
akanipa ....mimi sasa ni domo zege sijui kabisa kupiga sound...
Nimepanga nimrushie kilo by tigo pesa ili nimlainishe ...
Wataalamu wa haya mambo, hii mbinu inaweza kunisaidia kufanikisha malengo??
Hatua ya kwanza unatoa hela,unless huyo dada anauza hicho kitu,by the time unakuja kupata unachokitaka utakuwa umetumia hela ambayo ingetosha kabisa kuanza mradi wa maendeleo ambao ungepunguza tatizo la ajira hata kwa kuajiri mtu mmoja....jifunze kuongea na jiamini,na sio kutumia hela zako kidogo....laki ni hela kidogo sana.
kwani siwameshafahamiana mpaka namba za simu wakageana...?
Weweee, love is expressed in giving ujue!
hapana bwana wewe utaliwa hela yako bure.....tuma text kwamba ningependa tufahamiane
Reasonable giving....you do not just give, recipient mwenye akili na anayejielewa atajiuliza....huyu kiumbe nisiyemjua kaona nini kwangu hadi anitumie hela mapema hii hata majina yangu pengine hayajui....cheap!
wicked mind dwelling in wicked world; waisrael walikula mana jangwani bila kujiuliza zimetoka wapi na conditions zikoje. Huyo recipient akiwa honest and innocent kama mtoto mchanga atachukua tu na kushukuru Mungu kuwa kumbe bado kuna viumbe wema ambao Mungu anawatumia kuleta blessings in times of need! LOL
Kuna manzi nimekutana naye ofisi 1 town, nimem mind kwa mmego tu,
nimemuomba namba yake kwa kuzuga kuwa kuna huduma ningehitaji hapo ofisini kwao
akanipa ....mimi sasa ni domo zege sijui kabisa kupiga sound...
Nimepanga nimrushie kilo by tigo pesa ili nimlainishe ...
Wataalamu wa haya mambo, hii mbinu inaweza kunisaidia kufanikisha malengo??Last edited by Boflo; Today at 11:47.
Imani za watu zimepungua sana kaunga,hatuko kwenye dunia ambayo tuna maisha ya neema kivile...binafsi maisha na mitihani niliyokutana nayo haijanifundisha kuipenda na kuipokea bure ya namna yoyote kwa tabasamu bali kwa maswali na utafiti wa kutosha....i can only reflect my life na reality ya sasa na si ya waisrael,maisha yamebadilika....Kaunga nae amebadilika...lol
Siamini penzi la kuhonga huwa halidumu kwani utafikia wakati ambapo utachoka na unafiki wenu nyote. Swali langu kwanini umm'ege tu mtoto wa watu khalafu umwachie maumivu? Maana ukimgusa yeye anana wewe ndiye wake kabisa sasa kumbe wewe tayari umekwisha kuandaa exit plan! It is not fair, at all.
He he he he he, how dare you Boflo??? lol
Natamani hizo PM mwenzio,zitanipa furaha tu natumai...pls upload them....:yo:
Haste mama, ngoja atoe go aahead nishushe mistari yake; very tempting walahi!
Love is giving tena giving what you cherish the most na give in humility (hata mkono wa kushoto usijue. LOL)
Mambo dearest?