Kuna siku nilishuhudia jamaa kaenda pale anasema nimekuja niliitwa sasa nimekuja, akaulizwa unaitiwa nini akasema mimi sijui lakini nimeambiwa nahusishwa na wizi wa laptop, akaulizwa aliyekushitaki yupo wapi? Akasema sijui? Wakamwambia basi kaa hapo usubiri yeye akasema mm sina muda nina mambo yangu mengine kama yeye hayupo basi ile kabla hajamaliza akaambiwa hiyo haya vua mkanda, vua viatu, weka mazaga pale alafu kachague selo.
Ko nijipeleke yaniCha kwanza, nenda jumatatu, usiende weekend hii fanya uwezalo waambie utafika kituoni jumatatu, pili unaitiwa mambo ya simu, hivyo hakikisha simu yako anzia sasa unaclear kila kitu yaani unachoona sio sawa clear it halafu weka simu yako password matata ambayo katu usiwape ilimradi kwa ridhaa yako wakitaka kitu au taarifa waambie, una haki ya faragha kisheria.( au nunua simu ya tochi weka laini yako)..zingatia ninachokuambia pia uende na ndugu au mtu mwingine au mwanasheria wako
Hiyo paragraph ya mwisho hiyo. Hizo chats zao zitaonekana wapi mkuu?. Kwa wahusika kama voda,airtel,tigo? Au kiaje mkuu?. Kama ni kwa mtandao hiyo nao si watakuwa na kesi ya kujibu. Kumpa mtu mwingine deteries za mwingine?Kuna jambazi/mhalifu unawasiliana naye au mtu wako wa karibu?
Aliyekuita alijitambulisha vipi na wewe unamwamini vipi kuwa ni polisi na si tapeli au mwenye nia mbaya na wewe?
Kama upo ok chukua mtu wa kukusindikiza ambaye atakuwa nawe in case of anything. Ili ukatoe ushirikiano kwa kile unachokifahamu.chukua jina la askari husika na namba yake. Nenda kituoni uliza kama kuna mtu mwenye jina na namba hiyo.then waambie amekuita kwa simu unataka onana naye ukiwa na mtu amekusindikiza na umeoa taarifa kwa watu wa karibu.
Then waoneshe ushirikiano.
Kama unatembea na mke wa mtu na chats zenu zimeonekana ni issue ujue. Ombea mwenye mke asiwe karibu akakuona na jinsi ulivyokuwa ukitamba kwenye chats kwa kumkunja mkewe pasipo huruma.
Hata akivunja simu washamtambua ni nani, so hawezi kurukaDogo kama ulinunua simu mkononi usiende vunja line na simu ipasue uendelee na mambo yako vingunevyo utapewa kesi ya mauaji na itakutoka zaidi ya M kadhaa kusawazisha mambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kesi za polisi unafikiri ni simu tu?Fikra ya haraka inanitumua kukuuliza kama hiyo simu unayotumia ulinunua dukani au kwa mtu? Hakikisha una risiti ya manunuzi. Kwa vyovyote vile ama wewe au huyo rafiki yako mmoja wenu anatumia simu yenye RB.
Msamehe mkuuUnapo ni quote andika kwa usahihi, maana mpaka nakujibu jua napoteza sekunde kadhaa za maisha yangu.
Hapa ni mtandaoni usipende kuita mtu dogo wakati humjui, huyo unayemuita dogo wenda baba yako au mjomba/baba mdogo au mkubwa wako.
MARAHABA.
Hilo ndilo la kuogopa sanaKumbuka unaongelea jeshi la polisi tanzania sio USA au UK!
Unaweza ukawa huna kesi ukabambikiwa kesi mauaji/wizi wa silaha nzito za kijeshi!
Wadau wamezungumza mengi na ushauri,kaa tuliza akili ikiwezekana shirikisha mtu wako wa karibu na toa taarifa kwa kiongozi wa mtaa wako,,inaonekana shida sio kubwa maana wangekuja bila wew kujua,,wakakuchukua mpaka ofisini,,lakini wameweka bayana kuwa kuna namba unawasiliana nayo,,hapa napo kupaamini ni shida kidogo,, yaweza kuwa njia rahisi ya wao kukupata wakuaminishe hivo ili wakupate kirahisi,,Dogo kama ulinunua simu mkononi usiende vunja line na simu ipasue uendelee na mambo yako vingunevyo utapewa kesi ya mauaji na itakutoka zaidi ya M kadhaa kusawazisha mambo
Sent using Jamii Forums mobile app