Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,632
- 9,445
Habari za mida? Mimi ni Daktari ,doctor of medicine nina umri wa miaka 28yrs nimejiajiri nina pharmacy moja na maabara moja na nipo mbioni kufungua dispensary na pharmacy nyingine faida ninayopata kwa siku wastani ni laki 5, hapa kati imetokea changamoto mzee aliniambia niandae CV zangu ana rafiki yake jeshini yupo ngazi za juu kabisa amesema anataka vyeti.. haraka tu natinga gwanda za mabaka.
Mzee nilimkatalia nikamwqmbia hapana siwezi kuingia jeshi sababu ya kwanza faida ninayopata kwa mwezi ni mara *6 ya mshaara wa jeshi, pili nipo huru sana na biashara zangu ninaweza kufanya chochote bila shuruti ya mtu,tatu naifurahi kazi yangu.
Mzee amekuja na sababu zake kwanza amesema kwa nchi kama tanzania biashara hazitabiriki hakuna sera nzuri kwa wafanyabiashara akatoa mfano yeye biashara zake zilivyofungwa na TRA, pili jeshini kuna security kubwa iwe kuumwa au laah lakini mshahara upo pale pale tofauti na kujiajiri ukiumwa tu ukipatwa na majanga biashara lazima itetereke, tatu ni heshima,nne unakuwa na uhakika wa maisha hata biashara zangu zikiyumba basi ajira itanipa back up.
NB: Mwisho kabisa amesema niende jeshini uku nikiendelea kusimamia biashara zangu.
Naombe ushauri wenu niende jeshi huku nikiendelea na biashara zangu au nitulie na biashara zangu niachane na jeshi?