Ushauri; Nasoma sound enginering online

Ushauri; Nasoma sound enginering online

young baba tz

Senior Member
Joined
Aug 30, 2017
Posts
100
Reaction score
141
Wakuu salama,

Baada ya kumaliza chuo nimeona ajira ngumu nikaona nijikite kwenye uproducer wa music kwani ndo kitu. Ninachopenda sasa baada ya kujifunza vizuri kupiga kinanda na instrumental nyinginezo sasa kabla ya kufungua studio naona ni vizuri nikasoma kidogo sound enginering.

Sasa najiuliza hivi ninaweza ku gain kitu au mpaka niende chuo kabisa, ushauri.
 
Back
Top Bottom