Ushauri na Msaada wa kwenda masomoni Marekani

Kwanza jamaa anaitwa EBM na siyo IBM,jamaa huyu anaongea mambo mengi sana lakn yote ni magumu sana kwa wa Tz,anaongelea scholarship zenye masharti ya IELTS na TOEF yaani kiufupi yupo more complicated sana hana plan B kabisa.
Bora umeona hilo kiongozi EBM ana makelele sana na msaada hana!

Juzi alikuwa mwenge hapo niulize kifuatacho
 
Bora umeona hilo kiongozi EBM ana makelele sana na msaada hana!

Juzi alikuwa mwenge hapo niulize kifuatacho
emoji848.png
Tujuze yaliyojili huko
 
Mkuu nilifuata hii njia ulivyonishauri, hawa watu wamekuwa wema mno kwangu, Mungu yupo aisee, Mungu yupo, in short leo nimeona nifanye Personal Reflection kupitia hii thread ili kuniongezea hamasa zaidi ya kupambana, kujua na kukumbuka ulipotoka (siku mbaya ulizopitia) ni hatua bora ya kukumbuka ni nini unapaswa ufanye.
Sema unaonekana we jamaa ni mtu mwema sana!

Labda ndo maana umefanikiwa
 
Back
Top Bottom