Ushauri na Msaada wa kwenda masomoni Marekani

Dr Matola PhD Bufa Invigilator na wengineo, naombeni mawazo yenu...
Nataka kuomba visa ya kwenda kutembea Marekani, je ni nn natakiwa niwe navyo? Barua ya mwaliko inatakiwa iandikwe nini na nn?
NB: aliyenialika atasimamia show nzima Kila kitu,...so Nini anatakiwa kuambatanisha hapo kwenye barua? Hivi ni barua au email?
 
Anayekualika anajuwa vizuri invitation letter inaandaliwaje, hiyo siyo kazi yako.

Kazi yako ni kumshawishi consular a kuamini kama utarudi Tanzania baada ya short stay USA.

Hapo kikubwa ni bond yako Tanzania kama family ties na employment au biashara zako.

Hizo ndio point muhimu, kazi kwako.
 
I second this.
 
Yeye anasema hajui, nimpe mfano WA hiyo barua..ndo mana nimeuliza huku...au ni vitu Gani muhimu aambatanishe?
 
Mwambie aende kwa Attorney atamuandalia professional invitation letter.

Kama ana rafiki Mmarekani wanaivana atumie ID ya Mmarekani awe ndio anakualika wewe hii inakuwa ni strong invitation.

Zipo invitation za event mbalimbali za kununuwa, asikae Marekani kama mshamba.

Kabla ya kuomba viza ni lazima ujiasses mwenyewe ni invitation ya aina gani ukizama nayo embassy unatobowa?

Na supporting documents zako Bongo zimekaaje? Umeajiliwa? Na taasisi ya kueleweka? Kama hujaajiliwa utoww pesa udhaminiwe na kampuni ya mtu atakayekuandikia introduction letter ya kusubmit embassy.

Marital status yako ikoje? Marriage with children? hii inakupa advantage ya family ties huwezi kuabandom Family, wazungu wanathamini sana family they expect the same from you.

Kama wewe ni Mkristo kuna connection nzuri sana ya mialiko ya kanisa ambayo ni nadra sana kunyimwa viza ukijipanga na docs zako za Bongo.
 
Asante kaka mkubwa...
Yeye ni mmarekani... Mm pia nimeajiriwa, hapa ofisini hakuna shida nitapata likizo ya mwezi mmoja
 
Hapo shughuri imekwisha, Fanya viza appointment mapema, ubalozi unafloat application nyingi ili upewe interview appointment kwa good timing na leave yako.

Nakushauri tu wakati wa kujaza form tumia wale jamaa unawapa ela kidogo ya soft drink wakujazie form, sababu si kwamba hujui English, Bali kutofanya any technical mistake.

Consular akikuita kwenye interview maswali yote yanatoka kwenye form yako, ukijaza vizuri huwa hata supporting documents hawachukui anakwambia ubaki nazo tu na interview inakuwa ya muda mfupi tu unatobowa.
 
Sawa sawa ....nimekusoma! Asante kwa ushauriii ...
 
Anayekualika anajuwa vizuri invitation letter inaandaliwaje, hiyo siyo kazi yako.

Kazi yako ni kumshawishi consular a kuamini kama utarudi Tanzania baada ya short stay USA.

Hapo kikubwa ni bond yako Tanzania kama family ties na employment au biashara zako.

Hizo ndio point muhimu, kazi kwako.
Habari mkongwe!?
Nina shangazi yangu yupo US zaidi ya miaka 10 mpaka sasa, nimefanya naye mawasiliano hivi karibuni, nikamuomba kama ipo ndani ya uwezo wake anisaidie ili niweze kwenda US kutafuta maisha. Nilimuomba anisaidie kunitumia barua ya mwaliko, mambo mengine nitamaliza mwenyewe, yeye jukumu lake litakuwa kunitumia barua ya mwaliko na kunipa hifadhi nikifika US. Lakini shangazi alinijibu kuwa yeye hafahamu na hajawahi kufanya harakati za kumwalika mtu, hivyo hawezi kunisaidia upande wa kunitumia barua ya mwaliko, aliniambia anachoweza yeye ni kunipokea, kunipa hifadhi na kunisaidia kutafuta vibarua nikifika USA.
Naomba unipe maelekezo mkongwe, namna gani naweza kutoboa katika hii situation? Mimi nilitegemea nikipata barua ya mwaliko ingenipa unafuu katika mchakato mzima wa kufuatilia viza.
Naomba ushauri wako katika hili tafadhari.

Aione
Bufa
 
Mkuu, kwa kifupi shangazi yako hana nia.

Templates za barua za mwaliko zipo google kibao tu unabadilisha maneno na address tu. Needless to say lazima uweke maelezo yako kuonyesha uhalisia but that's the least thing to worry about. Wewe mwenyewe unaweza kujiandikia so long as amekubali utumie details zake na akutumie nakala ya kitambulisho chake.

Barua sio ishu, ishu ni swala gani linakupeleka huko. Shangazi yako anaweza kukupa hiyo barua ila safari yako lazima iwe na tija. Dhumuni la safari is what matters most. Kama utasema unaenda tu kumtembelea shangazi inabidi maelezo yako yawe yameshiba na uwe na strong ties bongo ili kuthibitisha huzamii na utarejea TZ.
 
Nimekuelewa vizuri chief, ila shida shangazi hayupo tayari kutoa ushirikiano kwenye hayo yote uliyonielekeza, yeye yupo tayari kunipokea tu. Kama kuna njia nyingine ambayo naweza kuitumia nielekeze, kitu cha msingi hiyo njia iwe affordable kwa raia wa kawaida.
Kuna watu wanaenda nchi za watu bila kuwa na watu wa kuwapokea wala kuwahifadhi, tumuache shangazi abaki kwenye msaada huo, nipe alternative ambayo itamuacha aunt abaki kwenye msaada wake huo aliokubali kuutoa.
 
Omba chuo karibu na anapoishi accommodation weka address yake. Bado utahitaji details zake. Otherwise itabidi upate mtu ambaye atakubali kuwa host wako.
 
Back
Top Bottom