Ushauri na Msaada wa kwenda masomoni Marekani

Ushauri na Msaada wa kwenda masomoni Marekani

Kwa uzoefu wangu na nilichokiona ni kwamba sio wote waliofanikiwa kupata us visa walienda ama hua wanaenda na bank statement yenye kiwango halisi cha pesa, kikubwa account ya bank iwe ya ukweli yaan iwe active then inatengenezwa kwa kuongezewa hela, during the interview consular officer anaweza kukuomba na kupitisha macho kwa kuangalia amount iliyopo then anakurudishia. narudia kikubwa account iwe active, wapo watu hua wanaziongezea ela, na wengi wamefanikiwa na kupata visa. kwa reference wapo pia nawajua walofanya ivo na visa zao zikawa approved
Shukran kwa ushauri mzuri Boss
 
Kikubwa uwe umelipia SEVI FEE yao dola 350, na kama ukienda lipia western union watakukata transfer charge ambayo ni dola 18, na ukiwa umelipa pia ela ya visa laki tatu na elfu 84 pale Citi bank coco beach road. nafikili apo mamb yatakua yamenyooka
Ahsante sana Mkuu.
 
Mkuu yaani hadi nashangaa,yaani jamaa kanikomalia kweli, anaharibu hadi flow ya thread, ukiangalia kazi yake kubwa ni kutafuta wanawake, nothing worth, ametembea mwisho KENYA kupitia Namanga. Anafanya yote haya ili mradi aonekane wa maana tu, nilimpa airtime naona anazidi kunichimba tu, anyway ngoja niishie hapa siwezi verbal arguments.
Mkuu wajinga dunia hii hawatakaa waishe hadi dahari,,,,achana nae maana kuelimisha kilaza ni kupoteza mda,,Kuna wengine Wana DNA za ubishi wa kijingaaa..
 
Ingia YouTube search IBM scholar, kuna huyo jamaa anatoa maelezo mazuri sana namna ya kwenda marekani ki masomo nk. Yeye mwenyewe yuko marekani na alikwenda huko kupitia masomo
Sio IBM ni EBM Mswahili anatoa maarifa jinsi ya kupambana USA kihalali na ukatoboa,amejitolea kuwasaidia watanzania wanaochelewa fursa nje
 
Uko sahihi pia, lakini maadam nimeamua nitakwenda na nitafanikiwa kwa kudra za M . Mungu.
Lakini ni angalau uwe na akiba maana mwanzoni mambo magumu sababu ya ugeni.
Pili tafuta diaspora connection kwa nchi husika andika TANZANIA community watu awafanani wapo wabongo Wana roho nzuri watakupa maarifa walivyotumia wao
 
Kwanza jamaa anaitwa EBM na siyo IBM,jamaa huyu anaongea mambo mengi sana lakn yote ni magumu sana kwa wa Tz,anaongelea scholarship zenye masharti ya IELTS na TOEF yaani kiufupi yupo more complicated sana hana plan B kabisa.
Isikatishe tamaa watu,magumu kwako na sio kwa wengine.
Pia awachek maagent wa vyuo vya nchi nao wanaweza mpa taarifa nzuri tu
 
Lakini ni angalau uwe na akiba maana mwanzoni mambo magumu sababu ya ugeni.
Pili tafuta diaspora connection kwa nchi husika andika TANZANIA community watu awafanani wapo wabongo Wana roho nzuri watakupa maarifa walivyotumia wao
Ahsante sana, nashukuru kwa ushauri wako, nitafanya hivyo.
 
Mifumo ya ulaya na USA ni ngumu Sana kuishi bila kufanya Kazi, tofauti na afrika unaweza ukaishi bila kazi. Kule Hakuna mjomba wala shangazi, pesa yako ndio ndugu yako. Uzuri mifumo yao ipo programmed huwezi kosa cha kufanya.
 
Kazi nyingi ngumu ngumu za suluba za hatari ufanywa na wageni mfano mashambani, kuchunga na kulisha mifugo, kukata mbao, udereva wa masafa, kusafisha ma kreni, Kazi za kuning'ia juu, usafi, ulezi,kubeba box, derivery yaani kutumwa usambaze vitu, nk malipo ni kwa masaa unajumlishiwa unapewa kwa wiki, au kama ni deiwaka unalipwa baada ya kazi inategemea kuanzia dola 10 kwa saa. Watz wengi awafanikiwi nje hawana malengo wakifika nje wao ni kufungua zipu na chupa tu.
Kazi ya udereva ni nzuri unalipwa kwa maili plus uzoefu na masaa ukiwa skilled unauzoefu unaenda kwa wauza matruck unalipa kwa Mkopo unamiliki truck kwa mwezi unaingiza dollar elf 10.
Nje msingi wako mkuu ni uaminifu ,bidii na uvumilivu hivi vitatu ndo siri ya kutajirika nje. Kikubwa Sana cha kuweka kichwani mwako nchi usitafute shortcut au mambo ya illegal illegal tii sheria na toa ushirikiano, ukileta ubongo utapigwa patration to bongo.
 
Msome huyu jamaa video zake zitakusaidia.
Screenshot_20220619-190557_YouTube.jpg
 
Mifumo ya ulaya na USA ni ngumu Sana kuishi bila kufanya Kazi, tofauti na afrika unaweza ukaishi bila kazi. Kule Hakuna mjomba wala shangazi, pesa yako ndio ndugu yako. Uzuri mifumo yao ipo programmed huwezi kosa cha kufanya.
Nafurahi sana kupata watu wanaotia moyo na walio na mawazo chanya mfano wako, ahsante nitaendelea kujifunza,naamini nitafanikiwa.
 
Kazi nyingi ngumu ngumu za suluba za hatari ufanywa na wageni mfano mashambani, kuchunga na kulisha mifugo, kukata mbao, udereva wa masafa, kusafisha ma kreni, Kazi za kuning'ia juu, usafi, ulezi,kubeba box, derivery yaani kutumwa usambaze vitu, nk malipo ni kwa masaa unajumlishiwa unapewa kwa wiki, au kama ni deiwaka unalipwa baada ya kazi inategemea kuanzia dola 10 kwa saa. Watz wengi awafanikiwi nje hawana malengo wakifika nje wao ni kufungua zipu na chupa tu.
Kazi ya udereva ni nzuri unalipwa kwa maili plus uzoefu na masaa ukiwa skilled unauzoefu unaenda kwa wauza matruck unalipa kwa Mkopo unamiliki truck kwa mwezi unaingiza dollar elf 10.
Nje msingi wako mkuu ni uaminifu ,bidii na uvumilivu hivi vitatu ndo siri ya kutajirika nje. Kikubwa Sana cha kuweka kichwani mwako nchi usitafute shortcut au mambo ya illegal illegal tii sheria na toa ushirikiano, ukileta ubongo utapigwa patration to bongo.
Ubarikiwe sana aisee,nimekuelewa vyema, nashukuru Mungu me si mtumiaji wa kileo chochote wala sigara,pia sio mtu wa starehe kabisa, nipo huku bado naweza ku sustain kutofungua zipu kwa kipindi kirefu, naamini nikienda na mentality hii nitafanikiwa na kufanya savings.
 
Back
Top Bottom