Picha ninayoipata hapa ni kwamba nyinyi wote vijana, mke anatoka familia yenye uwezo hivyo kazoea kufuliwa na chupi, na kupika je? Mtu anafikia kukushtaki kwa mama yake, yawezekana hamkupitia njia zote za ndoa. Je alipata muda wa kufundwa kabla ya harusi na labda shangazi au ndugu wa karibu? Je kazini kwake ana cheo au ni mtu wa kawaida? Nina maswali mengi kuliko msaada. Pole.Wakuu nnamachungu sana nataman kuondoka daah sjui nfanyaje na nkimfokea tu anampgia cm MAMA ake japo MAMA ake ni mtu mwema sana kwangu
KwannNimegundua wanaume wengi waliooa wanawake wenye mapungufu yaliyopitiliza hawanaga mpango na wanawake wengine.
sipati Picha hicho chumba haruf yake
Hahahaaha unaoa mwanamke hadi wazazi wanamshangaa na kumsikitikia mwooaji.......kwa uchafu huo ningekuwa nisharudisha kwao nikileta uzi hapa anakuwa kwao kwa mafunzoKama ni hivyo.....
Huyo hata wazazi wake waliyajua hayo, na ulipo jitokeza kumuoa..... Ama kwa hakika wazazi walipumua
Aiseh,mungu asaidie kupata mke aliye boraMwanamke mchafu 90%wanakua wavivu wavivu,ukiona mtu kila kitu anakujib kachoka au hapend kujishuulisha 24hrs simu tu uyo miongon mwa waviv pia
Wewe upo Kundi Gani nijue kabisa Kablla siajajaa arusshaDuuuh hatar hyo..wanasema mwanaume msafi anapataga mke mchafuu kutokana hyo story yako naona ka ukweli
Me nilivo msafi tutagombana nataka ata soksi ufue kila sikuWewe upo Kundi Gani nijue kabisa Kablla siajajaa arussha
ananyookaje SAS hapoDawa yake mbona ndogo Sana... Tafuta poneo" atanyooka mwenyewe..
ndugu,wengi sana tunayo madhaifu ya wake zetu na wao wanayo ya kwetu, jitahidi uwe na uwezo wa kuficha mapungufu ya mwenza wako ata kama unatumia id fake maana ni aibu.simama kama mwanaume ndani ya nyumba na usimuogope mwambie ukweli abadilike,kama hataki (kiburi ) chukua hatua nyingine. ata ikiwezekana toka njia kuu(kama mazuri vile)