Ushauri: Mke wangu mchafu

Sikunyingine jifanye umefyatuka kama mvuta bangi kisha mwashe makofi kidogo , na hauhitaji kuongea sana maana kasha kusoma unamlalamikia tu!
 
Ni rahisi sana kumbadilisha mwanaume mchafu kuwa msafi kuliko mwanamke mchafu kuwa msafi.

Inachukua muda,pesa na hata nguvu. Kuloweka nguo mpaka funza wanatokea huyo ni mchafu mzoefu kabisa harekebishiki.
 
Sio kwa uchafu huo.Sina hakika sana kama hiki ulichoeleza ni ukweli asilimia mia.Mtu gani huyo asieweza kutandika hata kitanda alicholala.
 
pole sana KAMA HAKUWA IVYO BEFORE LABDA ANA STRESS NA HUJAGUNDUA. jaribu kuongea nae taratibu au
cjui muwaite tu wadhamini wa ndoa na wazazi?
kumfundisha mtu mzima usafi ten a mwanamke uwiii ni shida
 
Watu aina ya mke wa mtoa mada hawarekebishiki. Ukikaa nae wiki moja tu unanyanyua mikono hata kama una uvumilivu kiwango cha juu. Kwanza kuoga mbinde mno.

Nasikitishwa sana na wanawake wanaoponda huyo make ya mtoa siredi

Ukimwelimisha mwanamke umeelimisha ulimwengu jamani
Let's try to solve/ help our fellow women's problem ..yes try .ni mtazamo lakini

Opinions are not facts

Cc Smart911
 
Mwanamke kukaa mitandaoni afu ndani kwake kuko ovyo, kama ulivyosema muda ikienda anaparamia kazi tu
Exactly ndio ulimwengu wa sasa ulivo,lazma mwanamke amanage time ,asispend mda wote mtandaoni ,ndo mana ndoa nyingi skuizi zinaharibika
 
Vp papauchi yake hainuki?
 
hii post haina mashiko yoyote zaidi kutafuta kick tu kwenye mtandao☹️
 
Pole sana Mkuu, kwa sababu ni mke wako wa ndoa, jitahid tu kumfundisha na kumuelekeza kama n muelewa ataelewa.
M nishawah kuwa na girl frnd dizain ya huyo mkeo, sema tatzo lake alikuwa hapendi kuelekezwa.
 
Yaani hadi kopo la chooni kwenye chombo cha maji ya kunywa!! Huyo sasa inabidi apewe tuzo yake aisee!
 
Badilishana na hela huyo, hana faida.Tema kulia fukia kushoto kama vipi.
 
Pole sana...
Samaki anakunjwa angali mbichi... Huyo kashakomaa kwa hiyo huwezi kumbadiliasha kwa lolote... Tabia ni kama ngozi...


Tafuta madada wa kazi aliye msafi na mstaarabu awe anasaidia kazi hapo...



Cc: mahondaw
Mdada wa kazi anamipaka yake,mdada wa kazi anatandikaje kitanda unacholala na mkeo?au kufua nguo zako?sema wanawake siku hizi tunajisahau sana mdada wa kazi ndo mambo yote
 
Mdada wa kazi anamipaka yake,mdada wa kazi anatandikaje kitanda unacholala na mkeo?au kufua nguo zako?sema wanawake siku hizi tunajisahau sana mdada wa kazi ndo mambo yote
Mke atulie na uvivu wake mwisho dada wa kazi ajimilikishe mume
 
Na siku mnakuwa na mtoto ndio utakutana na nepi za mikojo kwenye sahani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…