Kinjeketile
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 1,001
- 1,688
Bro kuwa kiume.....mimi naamini unao uwezo wa kupata mtoto, usiishie hapo tuu...japo sijajua uko mkoa gani, ila naamini ni wakati haujafika.. Usimuambie Mkeo na hili ni angalizo,,, Muamini Mungu anaweza. Kula vyakula vizuri, usikose glass ya maziwa daily,,,, fresh milk for ngombe,,,, mkeo akija piga mzigo kama kawa.....ondoa hofu kabisa.....yatatimia....
Ukweli daima umuweka mtu huru na kujiamini. Akikaa kimya ataipelekea mke wake adhani yeye ndiyo ana matatizo kwa sababu jamii ndiyo unaamini hivyo, hiyo itapelekea mke wake kuchepuka ili kuangalia kama ana tatizo kweli, mwisho wa siku atajikuta analea mtoto si wake na kujikuta anaumia zaidi.
Mwambie ukweli achague moja, japo Mungu nae anamipango yake munaweza kupata mtoto kwa njia za kawaida au mukajipanga pamoja kiuchumi na kufanya assistance fertilization kama IVF na nyingine. Hilo tatizo lako la sperms kukosa nguvu it's very easy to do IVF.