LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,513
Mungu amhurumie jmn,..mana dahhMara nyingi male infertility ni ngumu zaidi kutreat. Ila kwa Mungu yote yanawezekana.

Sperms aspiration ndo ikoje mkuu,uwezo wa kupandikiza hata mbegu kwny mayai je?Nilifanya seminal analysis katika hospitali tatu tofauti, then scrotum ultrasound. At the end of the treatment advice is IVF by sperms aspiration. Do you have any other treatment optional?
Mwamini Mungu, wapo wengi waliowahi kuambiwa na madaktari kuwa hawatapata watoto lakini Mungu atendaye makuu aliwapa watoto....hata hivyo sisemi kuwa ni rahisi kuishi katika hali hii na kuwa na imani ya jinsi hii; pia kuondoa misuguano isiyo na sababu mshirikishe mkeo!Habari za mchana,
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeoa miaka miwili iliyopita na nampenda sana mke wangu.Nimejaribu kumpa mimba mke wangu kwa miaka 2 hiyo lakini imeshindikana, ilinibidi niende kwa doctor katika hospitali moja hapa jijini lakini baada ya vipimo ilionekana sitoweza pata Mtoto maishani mwangu, nimeumizwa sana na hili tatizo.
Ninahitaji ushauri kama nimwambie mke wangu juu ya hili au nikae tu kimya? Ikumbukwe kwamba tupo mikoa tofauti kwa ajili ya majukumu ya kikazi na yeye kapania sana kupata mtoto December hii kwamba kajiandaa kuchukua likizo ili abebe mimba atakapokuja.
Naombeni mnishauri nifanye nini juu ya hili maana yeye hana tatizo lolote kwenye kizazi chake ila mimi ndio kwenye tatizo.
Nipo tayari kushauriwa hata kukejeliwa pia.
Asante kwa ushauri.Mwamini Mungu, wapo wengi waliowahi kuambiwa na madaktari kuwa hawatapata watoto lakini Mungu atendaye makuu aliwapa watoto....hata hivyo sisemi kuwa ni rahisi kuishi katika hali hii na kuwa na imani ya jinsi hii; pia kuondoa misuguano isiyo na sababu mshirikishe mkeo!
Niamka nitajib
Amina na ubarikiweSoma Isaya 54:1 na 4....pray hard utapata watoto
Fact...furaha ya maisha sio mtoto pekee yapo mambo mengi ya kukupa furaha ukikubaliana tu na hali yako utaishi kwa furaha...umemshauri vizuri kakaHii mambo ni ngumu sana. Huyo mkeo mwambie ukweli ili afanye maamuzi yeye mwenyewe kubaki au kuondoka. Alafu wewe mwenyewe jikubali tu maisha yasonge mbele, nani kaniambia furaha ya maisha lazima uwe na mtoto? Tafuta pesa wewe ufaidi maisha.
Niliishi kwenye ndoa miaka mitatu bila ya kupata mtoto, mke wangu akaingiwa na wasiwasi uenda yeye ndiyo ana matatizo maana mimi napiga mzigo mpaka ile nikiingia ndani ya nyumba mke wangu anaogopa. Sasa kwenda kupima mimi ndiyo nikakutwa na tatizo azospemia. Nikamuambia mke wangu kama anataka kuondoka na aende mimi sina shida, akachagua kuishi na mimi mpaka sasa huu ni mwaka wa sita wa ndoa bila ya mtoto. Changamoto ni nyingi sana na ngumu, tumeshaachana mara mbili na kurudiana (sisi ni waislamu).
Duh pole sana ndugu yangu......mpe ukweli shem japo atapanic sana ila atatuliaHabari za mchana,
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeoa miaka miwili iliyopita na nampenda sana mke wangu.Nimejaribu kumpa mimba mke wangu kwa miaka 2 hiyo lakini imeshindikana, ilinibidi niende kwa doctor katika hospitali moja hapa jijini lakini baada ya vipimo ilionekana sitoweza pata Mtoto maishani mwangu, nimeumizwa sana na hili tatizo.
Ninahitaji ushauri kama nimwambie mke wangu juu ya hili au nikae tu kimya? Ikumbukwe kwamba tupo mikoa tofauti kwa ajili ya majukumu ya kikazi na yeye kapania sana kupata mtoto December hii kwamba kajiandaa kuchukua likizo ili abebe mimba atakapokuja.
Naombeni mnishauri nifanye nini juu ya hili maana yeye hana tatizo lolote kwenye kizazi chake ila mimi ndio kwenye tatizo.
Nipo tayari kushauriwa hata kukejeliwa pia.
Ushauri mzr sanaGo n get anointed water from tb Joshua use it,read the bible and have faith,God will give you kids.
nenda ufanyiwe maombi kwa jina la YESU alafu njoo ulete mlejesho!Habari za mchana,