Umejaribu kuangalia huu uzi umeletwa lini humu?mkuuu ulishindwa kutoa uo ushauli wakati akiwa hai sasa Ameshakwenda muache a rest in peace mengine ayatuhusu ...na hizo na fasi naona ata kina wema kina tunda na wengine hawazitendei haki... God bless the dead.
to late mkuuUmejaribu kuangalia huu uzi umeletwa lini humu?
Mbona pako sawa tu kwa hali ya kijijini jamani? Uliona walipomzikia mamake na Le Kokabangaz Mobimba? Angalau binti alijitahidi akajenga kajumba kwa wazazi wake. Tumwache apumzike kwa amaniwarumi ana maono, ona sasa nyumbani kwao wanapomzikia ni tofauti kabisa na maisha ya kifahari alokuwa anaishi.




vizuri hili bango tangu may 2015 limefufuliwa tumkuuu ulishindwa kutoa uo ushauli wakati akiwa hai sasa Ameshakwenda muache a rest in peace mengine ayatuhusu ...na hizo na fasi naona ata kina wema kina tunda na wengine hawazitendei haki... God bless the dead.
Mkuu, wewe inaonekana ni mpiga ramli. Walisema alikuwa anaumwa pumu (kifua)Umri kusonga.! Siyo yale magonjwa yetu mkuu? Hawakawii kusema alikuwa anaumwa kifua ilhali anakonda mapaja


Wewe mtu!!!! Si kwa utabiri huo!Umri kusonga.! Siyo yale magonjwa yetu mkuu? Hawakawii kusema alikuwa anaumwa kifua ilhali anakonda mapaja
Huu ushauri alipewa mwaka 2015 wakati huo yuko kwenye Peak!! Labda aliutumia kwa kiasi fulani,kamjengea mama kibanda cha haja!!kwa level za kijijini si haba! Sasa huu ushauri uelekezwe kwa wengine ambao bado wanapumua kama akina Sepenga!life is too short to catch all the hanging branches!! Rip aggy!!mkuuu ulishindwa kutoa uo ushauli wakati akiwa hai sasa Ameshakwenda muache a rest in peace mengine ayatuhusu ...na hizo na fasi naona ata kina wema kina tunda na wengine hawazitendei haki... God bless the dead.
March 2015!!soma
vizuri hili bango tangu may 2015 limefufuliwa
tu
AiseeWatu wanasahau kuwa hao wanaokusaidia kuna siku hautamwona hata mmoja unajikuta upo peke yako.
Msisahau tu Ukimwi hauuwi hata siku moja. Sio ugonjwa, ni hali. Kinachouwa mara ukiwa na U.KI.MWI ni magonjwa haya haya tunayoyajua...malaria, etc.Mkuu, wewe inaonekana ni mpiga ramli. Walisema alikuwa anaumwa pumu (kifua)![]()
Mie hapaTusidanganyane hapa.. Hakuna mwanaume wa kiafrika asyevutiwa na makalio makubwa linapokuja suala la tamaa ya kimwili.....
Unless uwe na matatizo.
Anyway namshauri agness masogange atizame miaka walau miaka 5 ijayo ataishi maisha gan... Maana kuna umri ambai watu hawatavutiwa naye
jamaa wengine kama wagangaAkifa utasikia changeni tumrudishe bongo
Kifo hakina haya wallahKwa mtu ambaye ametokea kwenye maisha ya kawaida kama Aggy, bila shaka nafasi hiyo adimu aliyoipata angeitendea haki, either kwa kujiendeleza kielimu au kibiashara. Ni mda mrefu umepita toka binti huyo mrembo apate shavu la kuishi kwenye ardhi ya Madiba yenye kila aina ya starehe bila kufanya kitu chochote cha maendeleo.
Ki ukweli Dada yetu huyu kajibweteka mno, hata kama umepata mwanaume mwenye Pesa kama Bakhresa, kujituma muhimu. Umebahatika kupata Uraia uko na watu ambao wanakusaidia kusogeza maisha mbele lakini naona mwenzetu umekazana kupost picha za makalio mpaka tunaona kizunguzungu huko Insta.
Kuna watu wanatamani hizo nafasi usiku na mchana ila hawazipati. Mbaya zaidi ni lugha ambayo unatumia siku hizi huko Insta yani hadi aibu kuongea, mtu unakaa nchi za watu kwa miaka zaidi ya mitatu unashindwa kufanya juhudi za kujua lugha za wenzetu ambao wameendelea? Sio wote wanaoenda nchi za watu wanafanikiwa kimaisha ila pia kuna vitu tunajifunza tunapotembelea nchi za watu either viwe vizur au vibaya.
Kuna watanzania wengi tu ambao wamefanya mabadiliko kwa kuzitumia fursa za kutembelea nchi za watu na kuleta mabadiliko kwenye maisha yao na jamii kwa ujumla, mfano halisi Sporah Njau na Watanzania wengine ambao hawajulikani.
Tunajua wazi kuwa Elimu yako haitoshi na wala hauna kipato kikubwa cha kuweza kusababisha uishi maisha bila kumtegemea mtu. Ila ni vizur ukajikumbusha ulipotoka, umepata bahati jiongeze, maisha yanabadilika ipo siku watu unaowategemea hawatakuwepo tena. Soma hata vi short course vikusaidie kukabiliana na maisha au fungua hata biashara.
Bahati haiji Mara Mbili..
Le tumbozMbona pako sawa tu kwa hali ya kijijini jamani? Uliona walipomzikia mamake na Le Kokabangaz Mobimba? Angalau binti alijitahidi akajenga kajumba kwa wazazi wake. Tumwache apumzike kwa amani![]()