kama haitoshi heri hata angezaa
Bibie busy 24hours kuji post makalio, loh!! Kajisahau mwenyewe wakati maisha yake anayajua yeye
Nimeguna maana wanaume wengi wa kiafrika ndio ugonjwa wao huo.Sasa nikimsikia mwanaume anayesema hayapendi nashangaa!
Huyu ndio alikamatwa na mwenzake kwa madawa ya kulevya airport huko South Afrika wakitokea TZ akafungwa then wakaachiwa. shepu kapewa ila sura mmmh no -wow
I see, unaguna vizuri; ila hako ndo kaukweli kenyewe!! Nakumbuka long time fulani hivi hivi, kulikuwa na mmoja hivi, mashallah... kajaaliwa kakatika barabara halafu ndo kafika sasa! Trust me, Unaweza kukuta nakuwa na usongo nae mbaya mno... basi nikikutana nae tu, stimu zinakatika hapo hapo! To cut story short, hayanipi stim!Mmmmh!
Yaani nasema hivi, kama nimerogwa sawa tu... sijawahi kuyahusudu hayo madude hata mara moja... tena afadhali mtu awe anayavalia nguo za staha lakini kama ndo anaamua kunitega kwa staili za Masogange, ajue atarudi nayo alikotoka nayo!Si kweli nifah!si kweli wanaume wengi african ndio ugonjwa wao~wengi wa wanaume hawaweki kalio type as a wife ndani~nami kwa kweli sipendi hao kalio type~kama masogange kwangu ni kinyaa!mfano niko kwenye taasisi ya kifedha~pale pool tuko kama 16 vijana na wanawake 9~vijana waliooa 11~tunakutana kwenye sherehe mwisho wa mwaka! almost wote wameoa vimbaumbau mpaka tunashangaana~lakini huku nje kwenye michepuko ndio utasikia huyu kavuta mzigo~kalio type~
Bibie busy 24hours kuji post makalio, loh!! Kajisahau mwenyewe wakati maisha yake anayajua yeye
Yaani yeye ni full picha za makalio... kuna siku nilikua sehem nikawa nasikia wanavyohadithia walimpa pesa bidada akaliwa mtungo huko holiday in.... nikajisemea tu lahaulaa lakwata
Mi nasubiri aanze kuigiza porn na mi nimwone vizuri maana mapicha yalishanichosha....
We konda nina kesi na wewe ndo nini kumsababishia ban binamu yangu? Nimeku mind
Hatari sana