Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,411
- 82,338
Si kweli nifah!si kweli wanaume wengi african ndio ugonjwa wao~wengi wa wanaume hawaweki kalio type as a wife ndani~nami kwa kweli sipendi hao kalio type~kama masogange kwangu ni kinyaa!mfano niko kwenye taasisi ya kifedha~pale pool tuko kama 16 vijana na wanawake 9~vijana waliooa 11~tunakutana kwenye sherehe mwisho wa mwaka! almost wote wameoa vimbaumbau mpaka tunashangaana~lakini huku nje kwenye michepuko ndio utasikia huyu kavuta mzigo~kalio type~
Khaaaaa! Ngoja niishie hapa tu maana nina maswali lukuki.
Anyways,hongereni na lifestyle zenu.