Ushauri: Mjue kwa undani Agness Masogange

Ushauri: Mjue kwa undani Agness Masogange

Kweli angetafuta course asome
Maana biashara haitaki lelemama mwanzo alikuwa anauza perfume akaacha
Sahivi anapost make up na nguo kuwa anauza kwa order

Juzi aliandika comment Insta ya kiingereza nilichekaje? Yan kukaa kote south ata English ya form two inamshinda? Nilicheka aseeh
 
Yaani yeye ni full picha za makalio... kuna siku nilikua sehem nikawa nasikia wanavyohadithia walimpa pesa bidada akaliwa mtungo huko holiday in.... nikajisemea tu lahaulaa lakwata

Looh!! Kwli msambinungwa , aamke mapema maisha ya kupewa kila kitu sio kabisa then yupo nchi za watu yatamkuta makubwa atajuta
 
Mi cjui mshamba manake nikiona maburungutu kama hayo ya Masogange huwa hayanishtuagi hata kidogo... sana sana yakizidi sana huwa yananikata stimu!

Mmmmh!
 
Kazi kuganda lugha za watu afu wavivu kujifunza vitu wanapenda mteremko tuuuuu yaani hawataki tabu hawa wasichana
 
Hahahahah.. Mtoa mada.. Huwezi jua.. Maybe kaajiriwa.tayari ktk biashara ya ngono je?? ajira ni ajira bhana
 
hivi hanaga picha sizizo onyesha huo mtaji wake "matako" ?!
 
Ulivyoguna nikajua na we unalo la hivo!

Nimeguna maana wanaume wengi wa kiafrika ndio ugonjwa wao huo.Sasa nikimsikia mwanaume anayesema hayapendi nashangaa!
 
Kumebinuka huko nyuma dah! tafadhali usitutie majaribuni hapo south kukufata sio mbali ujue ohoo!
 
Back
Top Bottom