Ushauri: Mimi mwajiriwa Serikalini, nataka nichukue mkopo (kwa kutumia ajira yangu) kisha niache kazi

ushauri wangu asifanye hivyo sababu mwajiri ndio mdhamini wa kwanza katika mkopo afu kwa mifumo ilivyo sasa hivi kila kitu kimesajiriwa kidigital ukikopa benki moja benk zingine wanakuona TRA wakihitaji data zako kwenye taasisi za kifedha utaonekana tu ukihitaji TIN no utahitaji kuwasilisha taarifa zako kuna maeneo watakupata tu labda uchukue hilo bumu ukawe mkulima huko mbwidu au matombo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…