Ushauri mchumba wangu anatembea na lecturer wake

Ushauri mchumba wangu anatembea na lecturer wake

We waongelea beautfl and dumb women kama kina lulu wanaotumia vajay kuishi mjini,am beautfl and smart so mtandaoni lazima niwemo ukizingatia nasoma masters yangu now.
hahha beautiful women wapo busy wanatogozwa watapata wapi muda wakuingia jf wabishane na mzabzab wewe
 
Achana nae. Utapata mwingine. Huyo mwanamke hakupendi na she's proved that she's not loyal. Kuwa mwanaume na think using your head and not your heart
 
We waongelea beautfl and dumb women kama kina lulu wanaotumia vajay kuishi mjini,am beautfl and smart so mtandaoni lazima niwemo ukizingatia nasoma masters yangu now.

they just street smary chezea bottom power weye!!! kwani wanabandua huo utamu wewe?
masters...hongera mwaya haya ngoja masters zipatikane jf
 
piga shule best!
huyo alikuwa ni girl friend ,ryt??
GROW UP!PIGA SHULE!mwache!una wazazi kibao wanakutegemea na kusubiri uwasaidie baada ya kumalzia shule yako!
mdogo wangu, siku hizi nimeamua kabla sijatoka sugu kushauri watu niwe na-google kwanza vizi story, nakushauri na wewe uwe unafanya hivyo
Ushauri mchumba wangu anatembea na lecturer wake | Udaku Specially

cc. Ablessed, Nivea, Smile, BAK, Dark City. watu8, Jiwe Linaloishi, cacico, Mamndenyi, King'asti, mwaJ, Kaunga, gfsonwin, Nyani Ngabu, Preta, sweetlady, dada white, Kongosho, ...........
 
Last edited by a moderator:
Kugombana si fani yangu....!mtu anaekwambia anakuona muda wote jf ujue nae yumo.Jf inaniongezea cku za kuishi,huwa nafurahi sana na vikwazo ni sehemu ya maisha.Vidole havilingan

Why huwaga mnapishana kauli wewe na nikiwe?back to topic,huyu dogo kapagawa tu,kwan kula na mtu ndo huyo mtu anakugegeda?msimtie pressure zaidi bwana mdogo!
 
Last edited by a moderator:
Habari za jioni wana JF!!
Mimi ni kijana wa kitanzania, najitokeza hapa mbele yenu kuomba ushauri kwa haya makubwa yaliyonikuta.

Nilianza chuo miaka mitatu iliyopita, nikimaanisha kwa sasa nipo mwaka wangu wa mwisho katika hii kozi ninayoichukua. Nilianza chuo bila kuwa na uhusiano wowote ule wa kimapenzi na msichana hapa chuoni kwa mwaka wote ule wa kwanza.

Hali hiyo ilibadilika baada ya kuingia mwaka wa pili, kwani kipindi hicho kukawa na mwaka wa kwanza wanaingia na bahati nzuri nikatokea kumpenda msichana mmoja mrembo wastani sema ni mstaarabu haswaa. Nilijaribu bahati yangu na mungu si athumani huyu msichana akanikubalia na tukaanza mahusiano yeye akiwa mwaka wa kwanza,mimi wa pili. Tuliishi kwa amani na -furaha kwa kipindi chote kile(nikimaanisha semester zote mbili za mwaka wangu wa pili).

Kinachonifanya kuandika hapa ni hiki sasa, mwanzoni mwa semester iliyopita nilianza kusikia tetesi kutoka kwa marafiki zangu ya kuwa huyu msichana niliye naye anatoka na mmoja wa ma-lecturer wanaomfundisha. Sikuliamini hilo, nikaamua kumuliza mwenzangu kwamba nimesikia hili na hili, je kuna ukweli wowote? Alikataa kata kata na kusema huo sio ukweli na nisiamini kila ninalolisikia, kwa kuwa ni mstaarabu sana na kwa jinsi alivyokuwa akiongea basi nikamuelewa kwa muda ule.

Ila sikuishia hapo nikaendelea na uchunguzi wa chini chini bahati mbaya sikuambulia lolote kuhusu uhusiano wake na- huyo lecturer zaidi ya yeye kuwa na ratiba ya -kwenda kwao kila baada ya wiki mbili kuanzia ijumaa jioni mpaka jumapili ambao ni utaratibu wake toka anaanza chuo. Na hiyo ijumaa mpaka jumapili akiwa nyumbani mawasiliano yalikuwa yakipungua sana kwa sababu alikuwa akisema anakuwa busy sana na shughuli za nyumbani kwao na hata usiku ukimpigia simu alikuwa hapokei kwa madai analala na ndugu yake na kwahiyo atakuwa anampigia kelele.

Leo mchana sasa, nilimpigia simu twende tukapate chakula cha mchana lakini alikataa na kuniambia kuna kazi anaifanya kwanza mpaka aimalize ndio ataenda kula, mimi nikatangulia kwenda kula ila wakati narudi nikakutana na rafiki yangu, akaniuliza mbona nimekutana na bibie(mchumba wangu) anakula na Mr. X (huyo lecturer niliyeambiwa anatembea naye ) sehemu flani(ma-lecturer wengi ndio wanapokula hapo na kama utakuta wanafunzi basi ni mmoja mmoja ambao wako vizuri sana kifedha)… sikuamini, nikaenda kuhakikisha… Nilichokiona aisee sikuamini macho yangu, wote wawili walikuwa wamekaa wakipata lunch tena wakionekana wenye furaha.

Nilimpigia simu lakini hakupokea, aliishia kuiangalia tu simu yake na kuirudisha kwenye meza… Nikamtumia meseji ya kwamba nimemuona na nimezima simu yangu mpaka sasa, hapa natafakari nimfanyaje huyu msichana kwa hili alilonifanyia??? It hurts kwa kweli ikizingatiwa huyu lecturer ana mke kabisa so what if ndio tabia yake hiyo kutemebea na wanafunzi? Si -ndio kuambukizana magonjwa huku??

Naombeni ushauri wenu wana -JF, nimfanyeje huyu kiumbe??

Hivi mkuu kweli unataka ushauri au basi tu!.
Umeshayaona yote hayo unasubiri nini?
Tupa nje huyo mchafuzi wa mazingira. Chukua chuma kingine swaaafi. Plenty of fish in the ocean. We tupa ndoano tu. Wanakuja hade hade!!
Na huyo lecturer unamtaftia wababe wambake ndo ataacha kudokoa vya watu!
 
mdogo wangu, siku hizi nimeamua kabla sijatoka sugu kushauri watu niwe na-google kwanza vizi story, nakushauri na wewe uwe unafanya hivyo
Ushauri mchumba wangu anatembea na lecturer wake | Udaku Specially

cc. Ablessed, Nivea, Smile, BAK, Dark City. watu8, Jiwe Linaloishi, cacico, Mamndenyi, King'asti, mwaJ, Kaunga, gfsonwin, Nyani Ngabu, Preta, sweetlady, dada white, Kongosho, ...........

Hahahahaa daaah! Umemkamata huyo.

Halafu hiyo style yako nimeipenda. Nami huwa naitumia sana.
 
Achana naye Mpenzi wa Chuoni sio Mke
Kila mtu yupo hapo kwa ajili ya kutafuta maisha huyo Dada hawezi kufeli wakati raslimali anazo na ukijaribu kumfuatilia Mke wa Lecture utapigwa Disco mahali usipopategemea
 
Nashukuru,kumbe tuna play game hatumshauri mtoa mada

Hahahahaa daaah! Umemkamata huyo.

Halafu hiyo style yako nimeipenda. Nami huwa naitumia sana.
nimezigundua nyingi sana ndo maana wala huwa sichangii serious, nikiingia ni kuchat tu na siyo kutoa ushauri
hii inaniudhi sana
 
Acha binti atafute cheti aishie zake.
unataka umfanye nini sasa?
Kwani mmefunga ndoa?
Endelea kula mzigo, upunguze stress za chuo, mkimaliza kila mtu anarudi kwa mpenzi wake wa zamani.
halafu kwanini unapenda kupiga kavukavu?
 
Ngoja nikupe LIKE LIKE LIKE LIKE LIKE
nimezigundua nyingi sana ndo maana wala huwa sichangii serious, nikiingia ni kuchat tu na siyo kutoa ushauri
hii inaniudhi sana
 
Mwambie yake sabuni hela ya salon hana afu anataka demu mkali usijidanganye dogo kuwa na demu mjini garama soma ukomboe familia yako toka lindi la umaskini
mwenzio alijua kapata mchumba.
alikuwa anasubiri amalize akamtambulishe nyumbani.
kumbe kakutana na dege lisiloliwa.
 
Ngoja nikupe LIKE LIKE LIKE LIKE LIKE

hahha ulikuwa hujui hapa birudisha balaza lol pole
asante mdogo wangu....
Ila inaudhi sana unapoona story ukadhani ya uweli ukataka kushauri.
Mi nadhani wangekuwa wanasema kuwa wameikuta sehemu.......
mbona kama mimi nikiweka story niliyoikuwa sehemu huwa nasema hii nimekutana nayo sehemu ili wachangiaji wachangie tu siyo kwa kunishauri mimi......
hapa unajua kuna watu watakuwa na shida kweli watakosa ushauri mzuri kwa sababu hii
 
Habari za jioni wana JF!!
Mimi ni kijana wa kitanzania, najitokeza hapa mbele yenu kuomba ushauri kwa haya makubwa yaliyonikuta.

Nilianza chuo miaka mitatu iliyopita, nikimaanisha kwa sasa nipo mwaka wangu wa mwisho katika hii kozi ninayoichukua. Nilianza chuo bila kuwa na uhusiano wowote ule wa kimapenzi na msichana hapa chuoni kwa mwaka wote ule wa kwanza.

Hali hiyo ilibadilika baada ya kuingia mwaka wa pili, kwani kipindi hicho kukawa na mwaka wa kwanza wanaingia na bahati nzuri nikatokea kumpenda msichana mmoja mrembo wastani sema ni mstaarabu haswaa. Nilijaribu bahati yangu na mungu si athumani huyu msichana akanikubalia na tukaanza mahusiano yeye akiwa mwaka wa kwanza,mimi wa pili. Tuliishi kwa amani na  furaha kwa kipindi chote kile(nikimaanisha semester zote mbili za mwaka wangu wa pili).

Kinachonifanya kuandika hapa ni hiki sasa, mwanzoni mwa semester iliyopita nilianza kusikia tetesi kutoka kwa marafiki zangu ya kuwa huyu msichana niliye naye anatoka na mmoja wa ma-lecturer wanaomfundisha. Sikuliamini hilo, nikaamua kumuliza mwenzangu kwamba nimesikia hili na hili, je kuna ukweli wowote? Alikataa kata kata na kusema huo sio ukweli na nisiamini kila ninalolisikia, kwa kuwa ni mstaarabu sana na kwa jinsi alivyokuwa akiongea basi nikamuelewa kwa muda ule.

Ila sikuishia hapo nikaendelea na uchunguzi wa chini chini bahati mbaya sikuambulia lolote kuhusu uhusiano wake na  huyo lecturer zaidi ya yeye kuwa na ratiba ya  kwenda kwao kila baada ya wiki mbili kuanzia ijumaa jioni mpaka jumapili ambao ni utaratibu wake toka anaanza chuo. Na hiyo ijumaa mpaka jumapili akiwa nyumbani mawasiliano yalikuwa yakipungua sana kwa sababu alikuwa akisema anakuwa busy sana na shughuli za nyumbani kwao na hata usiku ukimpigia simu alikuwa hapokei kwa madai analala na ndugu yake na kwahiyo atakuwa anampigia kelele.

Leo mchana sasa, nilimpigia simu twende tukapate chakula cha mchana lakini alikataa na kuniambia kuna kazi anaifanya kwanza mpaka aimalize ndio ataenda kula, mimi nikatangulia kwenda kula ila wakati narudi nikakutana na rafiki yangu, akaniuliza mbona nimekutana na bibie(mchumba wangu) anakula na Mr. X (huyo lecturer niliyeambiwa anatembea naye ) sehemu flani(ma-lecturer wengi ndio wanapokula hapo na kama utakuta wanafunzi basi ni mmoja mmoja ambao wako vizuri sana kifedha) sikuamini, nikaenda kuhakikisha Nilichokiona aisee sikuamini macho yangu, wote wawili walikuwa wamekaa wakipata lunch tena wakionekana wenye furaha.

Nilimpigia simu lakini hakupokea, aliishia kuiangalia tu simu yake na kuirudisha kwenye meza Nikamtumia meseji ya kwamba nimemuona na nimezima simu yangu mpaka sasa, hapa natafakari nimfanyaje huyu msichana kwa hili alilonifanyia??? It hurts kwa kweli ikizingatiwa huyu lecturer ana mke kabisa so what if ndio tabia yake hiyo kutemebea na wanafunzi? Si  ndio kuambukizana magonjwa huku??

Naombeni ushauri wenu wana  JF, nimfanyeje huyu kiumbe??
Mtombe sasa mpaka umchubue ----,hawezi kwenda kuitombesha kwingine!
 
kuna siku nilikuwa nabishana sana humu ndani na C.T.U alileta habari kutoka hukohuko udaku special nikamwambia ungeedit au ungeirepresent tofauti tupate maudhui ila si kama unavyoleta wewe nakumbuka watu wakanishambulia sana walitokaje na povu hata Mamndenyi nae alikuwa mmojawapo.
Haya mambo yanaboa sana
asante mdogo wangu....
Ila inaudhi sana unapoona story ukadhani ya uweli ukataka kushauri.
Mi nadhani wangekuwa wanasema kuwa wameikuta sehemu.......
mbona kama mimi nikiweka story niliyoikuwa sehemu huwa nasema hii nimekutana nayo sehemu ili wachangiaji wachangie tu siyo kwa kunishauri mimi......
hapa unajua kuna watu watakuwa na shida kweli watakosa ushauri mzuri kwa sababu hii
 
Last edited by a moderator:
asante mdogo wangu....
Ila inaudhi sana unapoona story ukadhani ya uweli ukataka kushauri.
Mi nadhani wangekuwa wanasema kuwa wameikuta sehemu.......
mbona kama mimi nikiweka story niliyoikuwa sehemu huwa nasema hii nimekutana nayo sehemu ili wachangiaji wachangie tu siyo kwa kunishauri mimi......
hapa unajua kuna watu watakuwa na shida kweli watakosa ushauri mzuri kwa sababu hii

:hug::gossip::first::first:
 
Hayo ndio mapenzi yalivyo huna sababu ya kuendelea kuumiza kichwa kwa ajili ya kuwazia haya mambo, huenda ulichokiona ni kidogo ila kuna mengine mengi.
 
Back
Top Bottom