Ushauri mchumba wangu anatembea na lecturer wake

Ushauri mchumba wangu anatembea na lecturer wake

pole sana jali masomo yako kaka hao wapo tu jiunge na chama chetu cha wagumu na utakua mgumu zaidi.


"jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza"
 
Hahahaaaa pole bwana kazana kusoma utoke na GPA ya ukweli nawe unaweza kuwa lekchala siku moja, utawamega hadi uachoka, Teheteheteheteheeeeeeeee Piga buku achana nae kiroho safi tena kimyakimya hata usimwambie chochote.
 
Mambo mengine bwana yanafurahisha,kuwa ww umegekwa? sasa unasubiri nini bro achana naye hayo yamekukuta wengi leo yalishakutawengi,wakaachana nayo leo hao ni wakurugenzi wanawakimbia wanawake kwani ni wengi ,achana, naye huyo soma haowako wengi utajawakimbia dogo take care
 
fuata kilicho kupeleka shule, kumbuka huyo mlikutana naye by chance and chances are still available for you to get the right one
 
Mungu si athumani na lecture akakubaliwa kama ulivyokubaliwa wewe, we mbuzi kweli ati una mchumba chuo? Afu huna mapele? Wenzio tunaparamia ma bar maid ili kumwaga oil, madent wa vyuo ni pasua vichwa na malaya,
 
Kwani kumwona anakula naye ndio anatembea naye. Kwani we umeshawahi kula na watu wangapi, ndio kusema wote hao umetembea nao? Akili za kuambiwa changanya na zako, tatizo umeshaamini umbea ndio maana unashindwa kuwa wise man. We umetuambia binti ni mstarabu, hivyo ndio anaonesha ustarabu kwa kila mtu akiwemo mwalimu wake.

mkuu jamaa aesema kuwa alimpigia sim akaiangalia hen akairudisha mfukoni.
 
Rafiki nimepita mitaa hii ya Udaku naona kama wanapakua habari toka hapa na kuziweka kule na baadhi ni kutoka jukwaa la siasa, labda wanadhani kwa kufanya hivyo umaarufu wa JF unaweza nao ukawagusa kwa namna moja au nyingine.

mdogo wangu, siku hizi nimeamua kabla sijatoka sugu kushauri watu niwe na-google kwanza vizi story, nakushauri na wewe uwe unafanya hivyo
..
 
.....nawe tafuta mnyonge wako ufutie machozi, huyo Lecturer hana binti (japo hse-gal?)....
 
nimezigundua nyingi sana ndo maana wala huwa sichangii serious, nikiingia ni kuchat tu na siyo kutoa ushauri
hii inaniudhi sana


Pia demand ya ushauri nayo imekuwa kubwa kuliko supply....

Ndiyo maana itabidi huko mbele ya safari tuanzishe business bereau ili walau wachangie gharama....

Babu DC!!
 
Pole mkuu! Mapenzi na shule bwana haviendi kbs. Nikiwa mwaka wa 2 nilipigwa chini na demu wangu kwa 7bu izo izo. Nikaamua kukomaa na shule tu. Sasa ivi nipo vzr basi nakomaa na watoto wazuri tu.

Ila nikwambie ukweli mdogo wangu, hakuna raha ninayosikia kama kumpora demu mwanafunzi wa chuo kisha kumuangalia anavyotapa tapa. Kuna dogo moja nilimpora demu wake, basi nikiwa na huyo demu dogo anapiga simu analia lia mwisho demu anamjibu broken thn anakata simu. Kuanzia hapo simu hazipokelewi tena...dogo anahamia kwny sms zisizo jibiwa...haaah haa hah!
Uwa nawa-enjoy sana awa watoto wa shule na nafanya ivyo ili waache tabia zao za mapenzi shuleni kama me nilivyoacha na sasa naona matunda yake.

Acheni ngono vyuoni
 
Kwa hiyo story za udaku special zinahamishiwa jf siku hizi??

Nadhani mods inabidi wajaribu kuangalia hili, story ikitokea udaku special wawe wanazifunga au zinapelekwa jukwaa la jokes

Watu tunatoka povu vichwani kushauri kumbe jamaa natuenjoi tu

Mtoa mada - Mafi yako

mdogo wangu, siku hizi nimeamua kabla sijatoka sugu kushauri watu niwe na-google kwanza vizi story, nakushauri na wewe uwe unafanya hivyo
Ushauri mchumba wangu anatembea na lecturer wake | Udaku Specially

cc. Ablessed, Nivea, Smile, BAK, Dark City. watu8, Jiwe Linaloishi, cacico, Mamndenyi, King'asti, mwaJ, Kaunga, gfsonwin, Nyani Ngabu, Preta, sweetlady, dada white, Kongosho, ...........
 
hko kidemu chako tamaa mbele,piga chini,heri dharau kuliko fedhea
 
Inzi hutua penye kidonda🙂 Pole ulifikiri umefika.. mwache mwenzio ajaribu bahati yake. Ni mapenzi ya muda. tafuta mwingine kijana.
 
Inzi hutua penye kidonda🙂 Pole ulifikiri umefika.. mwache mwenzio ajaribu bahati yake. Ni mapenzi ya muda. tafuta mwingine kijana.
 
mapenzi shida sana,sasa hapo unataka zaidi ya wewe kujiweka kando?mapenzi na shule havichangamani,kazanakusoma
 
"....kwakuwa ni mstaarabu sana..." stil waters run deep. never hunt what u cant kill, achana naye, kaa tulza kichwa, utampata akupendaye kwa dhat kwan warembo ni weng
 
Back
Top Bottom