Ushauri mchumba wangu anatembea na lecturer wake

Ushauri mchumba wangu anatembea na lecturer wake

Msichana kama huyo unamuandikia barua ya kibuti kwenye zile karatasi za kuchambia, sijui watu wa mjini huwa mnaziita toilet paper...
 
Kugombana si fani yangu....!mtu anaekwambia anakuona muda wote jf ujue nae yumo.Jf inaniongezea cku za kuishi,huwa nafurahi sana na vikwazo ni sehemu ya maisha.Vidole havilingan

ebu nipe tano umetoa point weye balaa...kumbe nae anashinda jf alafu anakushangaa weye lol...nimekupa round ya kwanza...mpambano unaendelea
 
Ha ha ha huyu mtoto mdogo mno namchapa na pesa ya matumizi chuoni asome bila stress ili kina mzabzab msimdanganye na chipsi kuku

hahha sie tutaweza wapi wahonga wakina nikiwe wanaotaka pelekwa kwa madiba ndio atoe papuchi ..sasa nikitaka 0713 sii itabidi nimpeleke mwezini...wacha tuenjoy na hawa wa chips yai la msingi tumekojoa
 
Chakula hiyo ya wakubwa hiyo, achana naye kwani hakupendi anakuzingua huyo wewe piga shure
 
Aahhh wapi haijawahi tokea trace movement zangu humu uone ka nakesha ka huyo mtoto wa chuo
ebu nipe tano umetoa point weye balaa...kumbe nae anashinda jf alafu anakushangaa weye lol...nimekupa round ya kwanza...mpambano unaendelea
 
Ha ha ha we si ushazoea wale wa buku2?cha muhimu dushe ipate vajay haijalish umeiokota wapi
hahha sie tutaweza wapi wahonga wakina nikiwe wanaotaka pelekwa kwa madiba ndio atoe papuchi ..sasa nikitaka 0713 sii itabidi nimpeleke mwezini...wacha tuenjoy na hawa wa chips yai la msingi tumekojoa
 
Ha ha ha we si ushazoea wale wa buku2?cha muhimu dushe ipate vajay haijalish umeiokota wapi

ah tabu za nini nyie mwataka mpelekwe elements mara serengeti sie tutaweza wapi....angalau uzuri mgekuwa nao uzuri wenyewe hamna
 
Simple nikitoka job huwa nazama jf so kila sred nigusayo mida hiyo nakuta ashapita kitambo tena nite kali iwe mchana monie yani she is everywhere all the time
hahha nikiwe anakutishia maimbazi ebu mwambie akujibu kwanza amejuaje kiwa wee wakesha jf kama sio kwamba nae anakesha
 
Simple nikitoka job huwa nazama jf so kila sred nigusayo mida hiyo nakuta ashapita kitambo tena nite kali iwe mchana monie yani she is everywhere all the time

hahha well wacha ajienjoy bwana ....ndii raha ya jf....alafu ebu msaidie jamaa bwana wacha kuleta bif kwenye thread ya mwenzio
 
Mie mzuri balaa na hela ninayo na wanaume ka wewe wananiogopa balaa wataanzaje kunitongoza ilhali wachovu tu?
hahha mie kweli hela ya kuhonga wazuri sina ila am sure wee sio mzuri
 
Mzab angalie nisijekualika kwangu ukaondoka ukijiona ka piriton yani utajiuliza if we ni mwanaume au wa kiume utaishia getini ohooo
 
Mie mzuri balaa na hela ninayo na wanaume ka wewe wananiogopa balaa wataanzaje kunitongoza ilhali wachovu tu?

hahha beautiful women wapo busy wanatogozwa watapata wapi muda wakuingia jf wabishane na mzabzab wewe
 
Mzab angalie nisijekualika kwangu ukaondoka ukijiona ka piriton yani utajiuliza if we ni mwanaume au wa kiume utaishia getini ohooo

nialike bwana nije ninuwe juice za liquifruit za sauz nikiwe lol
 
Nianziye na mwisho unapotafakaru umfanye nini? Tafadhali usimfanye chochote kile.
Kwako mwenyewe- kama ulivyoanza yaani ulikuja hapo chuoni mwenyewe na huyo umekutana naye tu hapo chuoni. Fanya kilichokuleta hapo chuoni kwanza; First things First.
Urembo unapita huo; maliza masomo yako; vizuri ujiandaye na maisha yako - hao warembo wapo wengi sana. Lakini sina uhakika kama unao muda mwingi wa kupoteza.
You determine your destiny; the rest will only facilitate if need be! Tafakari
 
Habari za jioni wana JF!!
Mimi ni kijana wa kitanzania, najitokeza hapa mbele yenu kuomba ushauri kwa haya makubwa yaliyonikuta.

Nilianza chuo miaka mitatu iliyopita, nikimaanisha kwa sasa nipo mwaka wangu wa mwisho katika hii kozi ninayoichukua. Nilianza chuo bila kuwa na uhusiano wowote ule wa kimapenzi na msichana hapa chuoni kwa mwaka wote ule wa kwanza.

Hali hiyo ilibadilika baada ya kuingia mwaka wa pili, kwani kipindi hicho kukawa na mwaka wa kwanza wanaingia na bahati nzuri nikatokea kumpenda msichana mmoja mrembo wastani sema ni mstaarabu haswaa. Nilijaribu bahati yangu na mungu si athumani huyu msichana akanikubalia na tukaanza mahusiano yeye akiwa mwaka wa kwanza,mimi wa pili. Tuliishi kwa amani na  furaha kwa kipindi chote kile(nikimaanisha semester zote mbili za mwaka wangu wa pili).

Kinachonifanya kuandika hapa ni hiki sasa, mwanzoni mwa semester iliyopita nilianza kusikia tetesi kutoka kwa marafiki zangu ya kuwa huyu msichana niliye naye anatoka na mmoja wa ma-lecturer wanaomfundisha. Sikuliamini hilo, nikaamua kumuliza mwenzangu kwamba nimesikia hili na hili, je kuna ukweli wowote? Alikataa kata kata na kusema huo sio ukweli na nisiamini kila ninalolisikia, kwa kuwa ni mstaarabu sana na kwa jinsi alivyokuwa akiongea basi nikamuelewa kwa muda ule.

Ila sikuishia hapo nikaendelea na uchunguzi wa chini chini bahati mbaya sikuambulia lolote kuhusu uhusiano wake na  huyo lecturer zaidi ya yeye kuwa na ratiba ya  kwenda kwao kila baada ya wiki mbili kuanzia ijumaa jioni mpaka jumapili ambao ni utaratibu wake toka anaanza chuo. Na hiyo ijumaa mpaka jumapili akiwa nyumbani mawasiliano yalikuwa yakipungua sana kwa sababu alikuwa akisema anakuwa busy sana na shughuli za nyumbani kwao na hata usiku ukimpigia simu alikuwa hapokei kwa madai analala na ndugu yake na kwahiyo atakuwa anampigia kelele.

Leo mchana sasa, nilimpigia simu twende tukapate chakula cha mchana lakini alikataa na kuniambia kuna kazi anaifanya kwanza mpaka aimalize ndio ataenda kula, mimi nikatangulia kwenda kula ila wakati narudi nikakutana na rafiki yangu, akaniuliza mbona nimekutana na bibie(mchumba wangu) anakula na Mr. X (huyo lecturer niliyeambiwa anatembea naye ) sehemu flani(ma-lecturer wengi ndio wanapokula hapo na kama utakuta wanafunzi basi ni mmoja mmoja ambao wako vizuri sana kifedha)… sikuamini, nikaenda kuhakikisha… Nilichokiona aisee sikuamini macho yangu, wote wawili walikuwa wamekaa wakipata lunch tena wakionekana wenye furaha.

Nilimpigia simu lakini hakupokea, aliishia kuiangalia tu simu yake na kuirudisha kwenye meza… Nikamtumia meseji ya kwamba nimemuona na nimezima simu yangu mpaka sasa, hapa natafakari nimfanyaje huyu msichana kwa hili alilonifanyia??? It hurts kwa kweli ikizingatiwa huyu lecturer ana mke kabisa so what if ndio tabia yake hiyo kutemebea na wanafunzi? Si  ndio kuambukizana magonjwa huku??

Naombeni ushauri wenu wana  JF, nimfanyeje huyu kiumbe??

Ushauri wa bure kabisa, kapime afya yako ukikuta uko poa piga shule uende zako mtaani ukatafute ajira ya kuajiriwa/kujiajiri maisha yasonge mbele.

Kama uko mwaka wa mwisho, kwa vyuo vingi hapa kwetu inaonesha umebakiza si zaidi ya mwezi mmoja kuanza na mitihani ya mwisho i.e UEs kama ni University student or End of Semester kama ni non- University student, mdogo wangu huyo sio wako tena, mshukuru Mungu amekuonesha mapema, kuna jambo baya anakuepusha nalo, acha ubishi, piga chini ondoka, ukamshukuru Mungu hata kwa hilo tu.

Mwisho hao viumbe haishi, wapo wengi wazuri, wastaarabu huwezi amini, rudi mtaani saka pesa utaamini mwenyewe haya ninayokuambia.
 
Back
Top Bottom