Ushauri: Mama mkwe kaniambia nimpe mwanae talaka

mysimu

Senior Member
May 2, 2017
151
44
Mama mkwe wangu ameniambia nimpe mwanae talaka yake!Kiufupi nilishaleta uzi wa swaala langu hapo nyuma.

Mke wangu alikua ananifitisha na familia yake hadi ikawa pande mbili za wazazi hazielewani.

Kwa ubusara nikaona nirudishe kwao akapumzike kidogo. Chakushangaza leo mama mkwe ananipigia simu nakuniambia kwa hasira na maneno makali sana nimpe mwanae talaka yake.

"Nikamuuliza mama unadai talaka wewe au mwanao?" Akanijibu ndio nimeshakuambia!

Na huyo mwanae akadakia ndio nataka talaka yangu! Sasa nikabaki njia panda ni kipi kiaendelea hadi saivi na kipi nikifanye?

NAOMBENI USHAURI
 
Sasa siumpe una ngoja nini? Si kataka mwenyewe? MPE baba wala usirudi nyuma. Wanataka uwabembeleze na wakupande kichwani sasa wanakutingishia kibiriti. Waonyeshe kuwa kimejaa full. Yani ningekua Mimi ni dk hiyo hiyo na nafata taratibu zote. Mwanamke anayedai talaka ni mzuri maana hawezi kudai chochote katika Mali zako.
 
Mama mkwe wangu ameniambia nimpe mwanae talaka yake!Kiufupi nilishaleta uzi wa swaala langu hapo nyuma.

Mke wangu alikua ananifitisha na familia yake hadi ikawa pande mbili za wazazi hazielewani.

Kwa ubusara nikaona nirudishe kwao akapumzike kidogo. Chakushangaza leo mama mkwe ananipigia simu nakuniambia kwa hasira na maneno makali sana nimpe mwanae talaka yake.

"Nikamuuliza mama unadai talaka wewe au mwanao?" Akanijibu ndio nimeshakuambia!

Na huyo mwanae akadakia ndio nataka talaka yangu! Sasa nikabaki njia panda ni kipi kiaendelea hadi saivi na kipi nikifanye?

NAOMBENI USHAURI
umezaaa naye? ni mke wako wa ndoa za kidunia au za kimila?
 
Pole sana...
Nimejikuta nacheka...

Washajazana maneno na ujinga... Chakufanya wewe usiandike talaka yoyote, kaa kimya tu, enedelea na issue zako...

Cc: mahondaw
Nashukuru nafuatilia sana ushaur wenu ndugu zangu maana nawaza hadi naona dunia chungu.
 
Je nitakavyo nyamaza na kufanya yangu mengine nini matokeo yake ndugu?
 
Hiyo ni njia ya kukushinikiza umrejeshee usajili mkeo arudi toka kijijini.. Kumbuka wanawake hupenda kuongea in opposite.
Sasa wewe badala ya kutuma talaka, tuma nauli uone kama hajarudi fasta...
 
Nashukuru nafuatilia sana ushaur wenu ndugu zangu maana nawaza hadi naona dunia chungu.

"Unawaza hadi unaona dunia chungu"
Pole anyway ww pambana na maisha yako kaa kimya usiwapigie
wala usiwatafute wakiona unaumuhimu watakutafutaa
Mwanamke mfitini wa kazi gani
 
Back
Top Bottom