Ushauri: Maalim Seif Sharif Hamad ahamie CHADEMA

MAALIM SEIF AKIHAMIA CHADEMA NINGEPENDA KUMUONA AKIWA MWENYEKITI WA CHAMA
 
Absolutely out of the question ,Maalim kutang'azwa rais wa Zanzibar siku si nyingi.
 
Baada ya kutafakari yanayoendelea ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) nimegundua kuwa mgogoro huo ni mkubwa mno na hakuna namna mgogoro huo utaisha na CUF kuwa kitu kimoja.
Kilichopo hapa kuna CUF mbili ya Lipumba na ile ya Maalim Seif. Katika hali kama hii ambayo kila mtu ana msimamo mkali na kama tunavyojua mafahali wawili hawakai zizi moja mgogoro huu ungeisha kama mambo mawili yangewezekana;

Jambo la kwanza ni endapo pande mbili zingekuwa tayari kukaa chini na kuzungumza na kuamua kuumaliza huo mgogoro. Jambo hili kwa maoni yangu ni kwamba haliwezekani kabisa kwani pande hizo mbili haziaminiani hata kidogo.

Jambo la pili ni endapo fahari mmoja angeweza kuhama au kuhamishwa zizi. Hapo awali nilidhani kuwa CUF ya akina Maalim Seif ina nguvu hivyo nilidhani wangeweza kumwondosha Lipumba kumbe I was wrong Seif na kundi lake wameshindwa kumwondosha Lipumba badala yake anazidi kujichimbia chini kabisa kama mhimili wa Trumprapa. Na hii inachangiwa na sapoti anayopata kutoka kwa msajili wa vyama vya siasa na kutoka kwa wafuasi wake waliopo Tanzania bara.

Kwa kuwa Lipumba anang'ang'ania kubaki Chamani jambo linalowezekana ni Seif kuhama chama na kumwachia Lipumba chama cha CUF. Siyo kwamba ni kuonesha udhaifu bali nina uhakika Seif akihama chama na wafuasi wake wa Zanzibar itakuwa ndiyo mwisho wa CUF. It is better akihamia CHADEMA na wafuasi wake maana itasaidia kujenga upinzani imara nchini na kuwa na chama kikuu cha upinzani chenye nguvu pande zote mbili za muungano.

Nashauri viongozi wa CHADEMA wamsaidie Seif kurealize hii potential,

Hiyo siku ambayo naamini ii karibu ambayo Maalim Seif atachukua uamuzi huu naisubiri kwa hamu sana.
Haha kijana Maalim yuko makao makuu ya Chama na lipumba yuko ofisi kuu ya Chama. Jiulize nani mtolo kazini? Makao makuu ya cuf yako vuga Zanzibar soma katiba ya CUF. Ngoja kwanza amuonyooshe professor uchwara
 
Baada ya kutafakari yanayoendelea ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) nimegundua kuwa mgogoro huo ni mkubwa mno na hakuna namna mgogoro huo utaisha na CUF kuwa kitu kimoja.
Kilichopo hapa kuna CUF mbili ya Lipumba na ile ya Maalim Seif. Katika hali kama hii ambayo kila mtu ana msimamo mkali na kama tunavyojua mafahali wawili hawakai zizi moja mgogoro huu ungeisha kama mambo mawili yangewezekana;

Jambo la kwanza ni endapo pande mbili zingekuwa tayari kukaa chini na kuzungumza na kuamua kuumaliza huo mgogoro. Jambo hili kwa maoni yangu ni kwamba haliwezekani kabisa kwani pande hizo mbili haziaminiani hata kidogo.

Jambo la pili ni endapo fahari mmoja angeweza kuhama au kuhamishwa zizi. Hapo awali nilidhani kuwa CUF ya akina Maalim Seif ina nguvu hivyo nilidhani wangeweza kumwondosha Lipumba kumbe I was wrong Seif na kundi lake wameshindwa kumwondosha Lipumba badala yake anazidi kujichimbia chini kabisa kama mhimili wa Trumprapa. Na hii inachangiwa na sapoti anayopata kutoka kwa msajili wa vyama vya siasa na kutoka kwa wafuasi wake waliopo Tanzania bara.

Kwa kuwa Lipumba anang'ang'ania kubaki Chamani jambo linalowezekana ni Seif kuhama chama na kumwachia Lipumba chama cha CUF. Siyo kwamba ni kuonesha udhaifu bali nina uhakika Seif akihama chama na wafuasi wake wa Zanzibar itakuwa ndiyo mwisho wa CUF. It is better akihamia CHADEMA na wafuasi wake maana itasaidia kujenga upinzani imara nchini na kuwa na chama kikuu cha upinzani chenye nguvu pande zote mbili za muungano.

Nashauri viongozi wa CHADEMA wamsaidie Seif kurealize hii potential,

Hiyo siku ambayo naamini ii karibu ambayo Maalim Seif atachukua uamuzi huu naisubiri kwa hamu sana.
Mzee Duni alishakwambia kuwa CHADEMA wote wanandevu km kambale. Au haukumwelewa....?
 
Ni kweli Maalimu akihama CUF itakufa. 2020 Cuf haitapata mbunge hata mmoja. Safari hii walipata sababu ya UKAWA. kama CDM wanfesimamisha wagombea kwenye yale majimbo CUF isingepata kitu. Lipumba asione kapata ruzuku mwisho wake ni 2020 kama seif atahama
 
wazo zuri sema vile vilivyo asijiunge na chadema ila waanzidhe chama kipya kitakachojumuisha wapinzani wote ambao wana nia ya dhati ya kuitoa ccm madarakani na kuleta mabadiliko ya kweli!! hapo ndio itakuwa mtego kwa lipumba kma atakubali kupoteza uenyekiti wake kma aking'ang'ania ataonekana pandikizi hivyo popote ambapo maalim ataenda atakuwa na ufuasi mkubwa na 90% ya CUF itamfuata !!!

muhim ni chama kipya kisajiliwe ila akisema ajiunge na chadema itaonekana kma amenunuliwa au ni kweli chadema ilivuruga cuf

Kwani nani ambaye anasajili chama kipya? Na huu mgogoro unachochewa na nani?
 
Huyu Maalim sasa apishe wengine. MTU anashindwa uchaguzi mara 5 bado yupo tu. Aondoke zake huko!!
Acha Ujinga nani kakwambia kashindwa Mara zote hizo, kila siku maccm yanamuibia tuu, au unasema atoke kwa sababu ameshaikaba koo ccm, hili zengwe mnaanzisha ccm ili cuf iwe haina nguvu zanzibar kwa taarifa yenu mmenoa
 
Baada ya kutafakari yanayoendelea ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) nimegundua kuwa mgogoro huo ni mkubwa mno na hakuna namna mgogoro huo utaisha na CUF kuwa kitu kimoja.
Kilichopo hapa kuna CUF mbili ya Lipumba na ile ya Maalim Seif. Katika hali kama hii ambayo kila mtu ana msimamo mkali na kama tunavyojua mafahali wawili hawakai zizi moja mgogoro huu ungeisha kama mambo mawili yangewezekana;

Jambo la kwanza ni endapo pande mbili zingekuwa tayari kukaa chini na kuzungumza na kuamua kuumaliza huo mgogoro. Jambo hili kwa maoni yangu ni kwamba haliwezekani kabisa kwani pande hizo mbili haziaminiani hata kidogo.

Jambo la pili ni endapo fahari mmoja angeweza kuhama au kuhamishwa zizi. Hapo awali nilidhani kuwa CUF ya akina Maalim Seif ina nguvu hivyo nilidhani wangeweza kumwondosha Lipumba kumbe I was wrong Seif na kundi lake wameshindwa kumwondosha Lipumba badala yake anazidi kujichimbia chini kabisa kama mhimili wa Trumprapa. Na hii inachangiwa na sapoti anayopata kutoka kwa msajili wa vyama vya siasa na kutoka kwa wafuasi wake waliopo Tanzania bara.

Kwa kuwa Lipumba anang'ang'ania kubaki Chamani jambo linalowezekana ni Seif kuhama chama na kumwachia Lipumba chama cha CUF. Siyo kwamba ni kuonesha udhaifu bali nina uhakika Seif akihama chama na wafuasi wake wa Zanzibar itakuwa ndiyo mwisho wa CUF. It is better akihamia CHADEMA na wafuasi wake maana itasaidia kujenga upinzani imara nchini na kuwa na chama kikuu cha upinzani chenye nguvu pande zote mbili za muungano.

Nashauri viongozi wa CHADEMA wamsaidie Seif kurealize hii potential,

Hiyo siku ambayo naamini ii karibu ambayo Maalim Seif atachukua uamuzi huu naisubiri kwa hamu sana.
Usiwe na haraka wenzio wameshaona mbali, uchaguzi bado miaka miwili na nusu. Goli la ushindi ufungwa 1 minutes na mpira kwisha
 
Maalim Sefu Sharrif Hamad si mtu anayeweza kuwa chini ya mtu.... njia ya yeye kuwa comfortable ni kuanzisha chama chake cha siasa. Hawezi kujiunga na chama chochote cha siasa chenye machinery ya uongozi akawa comfortable bila yeye kutafutiwa authoritative position
 
Huyu Maalim sasa apishe wengine. MTU anashindwa uchaguzi mara 5 bado yupo tu. Aondoke zake huko!!

Seif hakuwai kushindwa uchaguzi. Mara zote amepokonywa ushindi wake na wale jamaa. Hii Watanzania wanajua na dunia inajua. Ni haki yake kuendelea kujaribu mpaka apewe haki yake. Ila kutokana na umri, nafikiri ana nafasi ya mwisho 2020.
 
Kwani mpaka sasa wewe unasubiri ishara gani ili kujua Lipumba ni pandikizi? Kwa haya anayoyafanya Lipumba na kuungwa mkono na msajili, ni wazi kuwa anatumika kisiasa. Wala tusisubiri mpaka chama cha "wapinzani wote" kuundwa ili kujua kwamba Lipumba ni msaliti. Inasikitisha sana...
hoja yangu ni kwamba sawa lipumba ni pandikizi ila kuondoka na kumuachia CUF yake ni suluhisho ila kuunda chama kipya ndio kutaimmaliza lipumba kabisa maana atakimbiwa na wanachama wote wa CUF ila akihamia chama kingine kilichopo propaganda zitaendeshwa na mgogoro kukua zaidi mara oooh si mnaona kanunuliwa sijui si mnaona kawafuata waliomtuma n.k!!!! ila kwenye chama kipya hatoweza kuunda propaganda yotote na ikafanikiwa!
 
Kwani nani ambaye anasajili chama kipya? Na huu mgogoro unachochewa na nani?
whatever the case maalim akibakia CUF ndio atazikwa kisiasa maana ccm wameshapata tundu walilotaka ili kuiua CUF na unaweza shangaa inafika 2020 lipumba anaweka mgombea urais na wawakilishi anaowataka yye hapo utatokea vurugu kubwa na inaweza ikamdhoofisha maalim maana lipumba hana cha kupoteza!!!!

Ndo maana nikasema basi wakubali tu kumuachia chama wao waunde chama kipya kitakachounganisha wapinzani wote iwe chadema iwe act iwe nld sijui nccr ili tuwe na chama kimona kikubwa chenye nguvu na huo ndio utakuwa mwisho wa lipumba na CUF yake na bado nguvu ya seif itapaa mara dufu
 
Nafikiri si wazo baya, nakubaliana nawe.... Ila target ni huyo Sefu. Point yangu figusu hazitamuacha, bado atafanyiwa..

Isipokuwa, believe me hii picha ndio kwanza imeanza
 
upande wangu nisingependa maalim ahame ila waendelee na mapambano ili waingoe cuf feki na ipatikane cuf original
lipumba amekuja kuivunja cuf kama sio kuimaliza kabisa kama alivyoagizwa na mabosi wake wakishirikiana na msajili ambaye amekuwa ni mmiliki wa vyama vya siasa na baadala ya kuwa mshauri
upinzani uliopo tanzania wote tunahitaji uongozi bora
 
Kwa jinsi hali ya siasa ilivyo CCM itaongoza Nchi hii hadi ichoke yenyewe
 
Huo mgogoro umepandikizwa na ccm lipumba kashanunuliwa kuvuruga upinzani
UKIFIKIRIA KWA KUTUMIA KICHWA HUWEZI KUTAMKA UPUUZI HUU. TATIZO NI VIROBA NA MATUMIZI YA MASABURI KATIKA KUFIKIRI
 
wamejikologa wenyewe, hawana namna, Kwa nini walimkubali mamviiiii, imekula kwao
 
Back
Top Bottom