Ushauri: Kwenda kusoma Iran

Ushauri: Kwenda kusoma Iran

hakika BABA AFRIKA umenpa ushaur mzuri,mungu aendelee kukulinda na mafanikio yaambatane nawe kwa kila jambo ambalo moyo wako unataman liwe
Habari yako kk!
Kwanza nikupongeze kwa kuchaguliwa kwenda kusoma Iran.
BINAFSI mm ni mwanafunzi nasoma Biomedical engineering huku Russia.Mara ya kwanza nilipopata chua watu wakaanza kunishauri vitu vingi ambavyo vilikuwa negative kama mambo ya ubaguzi,usalama na baridi.nikisikiliza ushauri wao na baada ya muda nikaamua kwenda kusoma russia mji mmoja unaitwa Tambov.nikisoma lugha huko tambov na baada ya mwaka nikamaliza.nikiwa tambov sikuwai kupata tatizo lolote la ubaguzi,usalama au hata michongo ya baridi.nilipo maliza lugha Tambov nikaamua kuama mji kwenda kusoma mji mwingine unaitwa Vladivostok.mjii huu wa Vladivostok ni mji ulipo mbali sana KUTOKA mji mkuu wa urusi moscow na mji ambao nilikuwa nasoma mwanzo.watu wakaanza kunishauri mambo kibao kuhusu kuama kwangu kwani mji huu wa Vladivostok haukua na mwafrika hata mmoja na mi ndo nikikuwa wakwaza kwanza.lakini nikaamua kwenda na nilipofika huko nikakutana na mambo ambayo sikutegemea maana nilikuta watu wa huko ni wakarim sana na maisha ya huko yalikuwa mazuri kuliko sehemu yoyote ile niliopata kushi ndani ya urusi japo mwafrika nilikuwa peke yangu.
Hoja yangu ni kuwa ni vizuri kuomba ushauri but unapofanya maamuzi jalibu kuangalia ni kipi moyo wako unataka mana wao wanaokupa ushauri wanasema ivyo labda kwa kusikia sikia tu au kwa jinsi walivyo jionea japo kila mtu anastail tofauti za kuishi so haimaanishi jinsi alivyoishi au yaliyomtokea fulani na ww yatakutokea.
Ushauri wangu nenda kasome mana KUTOKA tu nje ni faida sana hasa kama unajitambua mana licha ya masomo utajifunza mengi sana
 
nenda tu iran ni salama sio kama iraq...pia iran sio nchi ya kiarabu ila ni waislam( Islamic Republic of Iran) so fata tu sheria zao hutopata tatizo
 
anhaa nmekupata kaka kwaiyo iran ni islamic state?kumbe nikufwata sheria tu itabid apo na dini kubadili il kuendana nao au unaweza ukawa ni Christian naukafata tratibu zote bila kupata shida yoyote?
nenda tu iran ni salama sio kama iraq...pia iran sio nchi ya kiarabu ila ni waislam( Islamic Republic of Iran) so fata tu sheria zao hutopata tatizo
 
Habari zenu wakuu!

Mimi ni mtanzania niliefadhiliwa kwenda kusoma Iran, program DOCTOR OF MEDICINE.

Kwa nyie mnavyoijua Iran,mungenishauri niende au niikache mana sina aidia yoyote kuhusu Iran.
Kama wewe ni muisilamu nenda
 
badili chuo wewe utauliwa huko jamaniii ndio ni kuzuri kimasomo ila ni hatari mnoooo wenyewe tu wanakimbilia ulaya as refugeees ww wa tz? tafuta kingine nje,au fika katka baloz zao kwa uhakika zaidi
 
Well kitaalamu sina hakika maana sina data za kutosha. Ila kama ni mkristo wa kweli utakuwa na wakati mgumu sana, hiyo siyo Tanzania. Unaweza kufa kirahisi sana au hata kufungwa kienyeji sana kwa sababu ambazo Tanzania ni za kipuuzi. Pia ukiwa muislam lakini sio Shia, uko mashakani sana na hasa ukiwa Sunni. Usishangae ukawa unafuatiliwa na mashushushu kwa kutiliwa shaka kuwa ni "traitor". Imani nyingine sina hakika wanawachukuliaje.

So ningekushauri ufanye utafiti wa kijamii/kiimani na kuamua mwenyewe. Za kuambiwa changanya na zako.
Kila lakheri!
 
labda nikifika kwenye ubalozi wao kwa maswali yapi ambayo nikiulza majibu yao yatakua yamelenga katika kujua how the people of iran live?mana nikiwajengea oja ya kwamba naofia usalama kwenye nchi tayari watajjengea picha kua cna imani na nchi yao ivo ata majibu ntayopewa yanaweza yaclenge ukwel
badili chuo wewe utauliwa huko jamaniii ndio ni kuzuri kimasomo ila ni hatari mnoooo wenyewe tu wanakimbilia ulaya as refugeees ww wa tz? tafuta kingine nje,au fika katka baloz zao kwa uhakika zaidi
 
Well kitaalamu sina hakika maana sina data za kutosha. Ila kama ni mkristo wa kweli utakuwa na wakati mgumu sana, hiyo siyo Tanzania. Unaweza kufa kirahisi sana au hata kufungwa kienyeji sana kwa sababu ambazo Tanzania ni za kipuuzi. Pia ukiwa muislam lakini sio Shia, uko mashakani sana na hasa ukiwa Sunni. Usishangae ukawa unafuatiliwa na mashushushu kwa kutiliwa shaka kuwa ni "traitor". Imani nyingine sina hakika wanawachukuliaje.

So ningekushauri ufanye utafiti wa kijamii/kiimani na kuamua mwenyewe. Za kuambiwa changanya na zako.
Kila lakheri!
nashukuru kaka stephano kwa ushauri wako
 
Mi sikushauri uende kwasababu siamini kama ni salama kwako wala kwa mtu yoyote yule
 
Habari zenu wakuu!

Mimi ni mtanzania niliefadhiliwa kwenda kusoma Iran, program DOCTOR OF MEDICINE.

Kwa nyie mnavyoijua Iran,mungenishauri niende au niikache mana sina aidia yoyote kuhusu Iran.
iran? dah hizi nchi za mashariki ya kati na za kiarabu kwa ujumla hazieleweki bro, hazipo stable kabisa kuanzia misri, libya, iraq, syria, tunisia, n.k hawa iran wanaanza figisu figisu na saudia arabia hujui itaishaje, hawa jamaa sio wema saana kwa wageni pia (hasa weusi na ukiwa mkiristo ndio balaa) kwa hiyo broh kama una mbadala mwingine achana na hiyo mambo
 
enx real G kwa kunijuza
 
Mm nawaza ndege kabla haija tua uwanja wa Tehran si itakuwa imesha tunguliwa na wa Israel!!
 
Udini udini ni Tatizo kule... ila raia wengi ni wazembe wazembe... ndio maana hutawaliwa kirahisi.. Kwenye Sayansi wanajitahidi hata ukiwa na cv ya kule hukosi kazi... ila lazima ujifunze wizi wa kimasomo... unachukua majarida ya kisayansi unageuza geuza na wewe unaitoa kivyako ndio mfumo halisi wa Iran wanatumia ule mfumo wa kale wa Japan na China.. And kitu kikubwa kuhusu Iran Hawaaminiki hii ni sifa yao kuu Duniani... tokea Enzi na Enzi
 
Back
Top Bottom