Sijafanya Sensa ya wapiga debe pia media zitaripotije kuwa Mpiga debe wa Ubungo kafa? Acha hasira ya kutokua na ACLabda wewe utakuwa mhanga wa AC. Au unatumiwa na mabeberu.
Km wewe unajua basi nijibu swari hili.
kwanini wahanga wengi wa c.19 niwatu wenye madaraka ya juu , matajiri, nawatu wa kishua?
km upo dar, niambie hapo ubungo niwapiga debe au walala hoi wangapi wamekufa wakati ndo wapo mazingira hatarishi wakisaka mkate wao wakila siku?
niambie kule kijijini kwenu mwasinasi simiyu niwazee wangapi wanachomoka pamoja nakula vipolo bila kusahau tumbaku, gongo nk.?
niambie niwazee wangapi maeneo ya mjini wanaochomoka ambao wanaonekana ni wazee wakishua wazee wa nyumba za vioo na kula chips?
..................................................